NIMEGUSWA KWAKWELI!
FIDEL NASHUKURU KWA KULIFIKIRIA HILI!
naahidi 10,000/=
niambie utaratibu wa ukusanyaji michango
TZS 50,000 From Superman
Ca I also request a Winner of 2009 JF Superlady and Celebrity to Contribute?
Msimamizi wa Uchaguzi ZeMarcopolo na Pia Mwanafalfasa, please come forth.
Please people, come up, let us show a way that JF is practical serious on sensitive issues as well.
Big Up Fidel for this idea!
Nashukuru sana Superman.
Sijui Nyani Ngabu kaona? Wakati tunaendelea kuwatafuta mods watupe njia mbadala wataweka utaratibu hapa jinsi ya kupekea misaada hii.
Shida ya Nyani Ngabu na Yo Yo ni Ma-Anti sana kwa vitu vingi.
We subiri tu waje, utawasikia mwenyewe . . . .
LOL
Au contraire!
I, The outstanding Nyani son of Ngabu, pledge $100.00 to the afftected.
Au contraire!
I, The outstanding Nyani son of Ngabu, pledge $100.00 to the afftected.
jamani mimi naona maxence apigiwe simu,ili akusanye hiyo michango kwa utaratibu stahili,
INVISIBLE TUNAOMBA MLISHUGHULIKIE HILI
Come ON my boy, you Did IT!
Big Up!
Sasa nimeshajua gia za kukufikia kiulaini!
Stay blessed!
thanks a lot NN
Mungu amekuona.
Tuko pamoja komredi. Leo kwako kesho kwangu kwa hiyo ni muhimu kuwa moyo wa utoaji