Mwitikio wa serikali na wananchi kusaidia wahanga wa milipuko ya Mbagala

Mwitikio wa serikali na wananchi kusaidia wahanga wa milipuko ya Mbagala

Habari wana JF, I am in a great need of a certain picture which was posted in a certain issue in JF thread.

Ilikuwa inawaonyesha watoto wamekaa chini kwenye michanga as a result of the bombings which destroyed their classrooms na desks.

Nataka niisambaze kwa wafanyakazi wenzangu hapa NBC makao makuu ili kuwahamasisha wafanyakazi na management kuchangia madawati kwa ajili ya wadogo zetu/watoto wenu.

If you come across it or you know to which threat I can find it please let me know tuwasaidie watanzania wenzetu.
 
Nakumbuka kuna mtu alipost hio picha na watu walichangia sana sasa sijui jina linaitwaje labda mode akusaidie kwa hilo
 
Jamani haya mabomu Mbagala yatatumaliza. Je wanaopatwa na mshtuko watalipwa fidia au ni kupewa pole na kutembelewa na viongozi mashuhuri wa nchi?

Kinachonishangaza ni je! hayo mabomu yanayookotwa maeneo ya Mbagala ambayo kwa sasa inajulikana kama Bagdadi yanatoka wapi? Ina maana wakati mabomu yalipolipuka kwa mara ya kwanza kuna mabomu yalikimbia kutoka ghalani? Au nini kilitokea. Naomba nielimishwe kwani mimi sio mtaalamu wa mabomu.
 
Nina imani kubwa sana kila mmoja wetu hapa JF ameguswa sana na kilicho watokea ndugu,jamaa,rafiki,watanzania wenzetu kule Mbagala baada ya maafa ya yale mabomu.
Hivyo basi kama umeguswa kwa namna yoyote ile tunaomba kama wana JF tutoe kile kidogo tulicho nacho ili kuwakumbuka na kuweza kuwasaidia wenzetu kule maana wote na uhakika ni watanzania wanao teseka kwa kulala nje ,kuwakiwa na jua mchana wengine huibiwa vitu na mali zao kwa nyakati tofauti.
Binafsi naomba wana JF wenzangu kama umeguswa tunaomba mchangie ili tuweze kuwasaidia wenzetu hawa. Naomba mods mtafute njia ili tuweze kuleta michango yetu au tutumie ile ile njia ya changia JF?
Mi mwanzilishi najitolea 20,000/= kwa ndugu zetu wahanga wa mabomu.
Karibuni nyote.
 
NIMEGUSWA KWAKWELI!
FIDEL NASHUKURU KWA KULIFIKIRIA HILI!
naahidi 10,000/=
niambie utaratibu wa ukusanyaji michango
 
NIMEGUSWA KWAKWELI!
FIDEL NASHUKURU KWA KULIFIKIRIA HILI!
naahidi 10,000/=
niambie utaratibu wa ukusanyaji michango

Nashukuru mkuu kwa msaada wako.
Najaribu kuwasiliana na mods watupe njia mbadala ya kupeleka misaada yetu pale.
 
TZS 50,000 From Superman

Ca I also request a Winner of 2009 JF Superlady and Celebrity to Contribute?

Msimamizi wa Uchaguzi ZeMarcopolo na Pia Mwanafalfasa, please come forth.

Please people, come up, let us show a way that JF is practical serious on sensitive issues as well.

Big Up Fidel for this idea!
 
jamani mimi naona maxence apigiwe simu,ili akusanye hiyo michango kwa utaratibu stahili,

INVISIBLE TUNAOMBA MLISHUGHULIKIE HILI
 
TZS 50,000 From Superman

Ca I also request a Winner of 2009 JF Superlady and Celebrity to Contribute?

Msimamizi wa Uchaguzi ZeMarcopolo na Pia Mwanafalfasa, please come forth.

Please people, come up, let us show a way that JF is practical serious on sensitive issues as well.

Big Up Fidel for this idea!

Nashukuru sana Superman.
Sijui Nyani Ngabu kaona? Wakati tunaendelea kuwatafuta mods watupe njia mbadala wataweka utaratibu hapa jinsi ya kupekea misaada hii.
 
Nashukuru sana Superman.
Sijui Nyani Ngabu kaona? Wakati tunaendelea kuwatafuta mods watupe njia mbadala wataweka utaratibu hapa jinsi ya kupekea misaada hii.


Shida ya Nyani Ngabu na Yo Yo ni Ma-Anti sana kwa vitu vingi.

We subiri tu waje, utawasikia mwenyewe . . . .

LOL
 
Shida ya Nyani Ngabu na Yo Yo ni Ma-Anti sana kwa vitu vingi.

We subiri tu waje, utawasikia mwenyewe . . . .

LOL

Au contraire!

I, The outstanding Nyani son of Ngabu, pledge $100.00 to the afftected.
 
mod afanye haraka kutujulisha namna ya kuchangia
niko mbali (oslo norway)

TSh. 50,000/= ndo mchango wangu
 
jamani mimi naona maxence apigiwe simu,ili akusanye hiyo michango kwa utaratibu stahili,

INVISIBLE TUNAOMBA MLISHUGHULIKIE HILI

Tafadhali wahusika,
Tufahamisheni namna ya kufikisha michango yetu.JF tulichelewa sana kuona umuhimu wa kutoa mchango wetu KUWASAIDIA waathirika wa mabomu- Mbagala.
Fidel,
Asante kwa kuliona hili.Pledge yangu iko mbioni baada ya kujua utaratibu.
WoS
 
Jamani nimemtumia Maxence sms ili aweke bayana wapi michango yetu tutumbukize ndo tunasubili labda wapo busy. Ngoja twendelee kusubili jamani.
 
Tuko pamoja komredi. Leo kwako kesho kwangu kwa hiyo ni muhimu kuwa moyo wa utoaji

Kweli mkuu sote ni binadamu tupo njia moja.
Nimekupata komredi ngoja tusubili mods watupe maelekezo.
 
Hili ni wazo zuri sana Mkuu.Cha msingi ni kutoa maelekezo ni wapi tutapeleka hiyo michango..Binafsi niko tayari kuchangia,nitapledge baada ya kupewa hayo maelekezo..Tuwasaidie ndugu zetu hawa jamani....Pa1
 
Back
Top Bottom