Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

ushamba tu unawasumbua, kama mnataka kuwatetea semeni tu hadharani.

na wewe dikteta ni mmoja wa uvccm tabora, huna jipya.
 
Hiyo shule alimaliza au alidisco.......? Wakuu mliokuwa nae hiyo 1987-1991 mtufahamishe
 
...Ok. wewe, kama unakwenda sambamba na yanayokuzunguka na yanayoendelea nchini mwako, hukuelewa wanamaanisha nini?? Dont make a Mountain out of a Mole hill, Man!!
 
ushamba tu unawasumbua, kama mnataka kuwatetea semeni tu hadharani.

na wewe dikteta ni mmoja wa uvccm tabora, huna jipya.

Mii ni kweli mwanachama mwandamizi wa Uvccm lakini sijawahi kufika tabora...lakini inausiana nini na nilichokiandika hapa
 
Pamoja na kwamba unasema akina RA et al wametajwa sana, why this time akina SOFIA SIMBA et al wakurupuke huko waliko waanze kupiga mbinja zisizoeleweka..'eti kachemsha, ooh kakosea..'?? Ask urself then utaona smthing is burning smwhere...huu ni moshi tu moto wenyewe baaaado!
 
...Ok. wewe, kama unakwenda sambamba na yanayokuzunguka na yanayoendelea nchini mwako, hukuelewa wanamaanisha nini?? Dont make a Mountain out of a Mole hill, Man!!

Kuelewa wanachomaanisha kunaweza kupindwa na jinsi walivyokiandika, tusi-assume tu kwamba watu wataelewa hata kama waandishi wakiandika vibaya.

Kama ni hivyo basi waache kuandika kabisa, na kama sisi tunakwenda sambamba na yanayotuzunguka tutaelewa tu, whats the point of writing if the writing is bad?
 
Nipashe inabidi wawe makini na maandiko yao walichoandika ni kosa.
 
anko obama anaita hii ni 'distraction from real issues'. mnataka tuanze kujadili waandishi wameandikaje! the real issues ambazo zinatuathiri watz ni mafisadi, na wametajwa na mengi. mambo ya waandishi wa habari na uandishi mbaya sio issue.
 
Nia yetu wote ni kuhakikisha mafisadi wanachukuliwa hatua, lakini walichoandika Nipashe inamaanisha watanzania wote wenye asili ya kiasia ni mafisadi papa kitu ambacho si kweli. Kitu kama hiki kingeandikwa huko kwa Obama unapopasema ingekua bonge la soo. Nipashe wamechemsha.
 
wewe ndio umetafsiri hivyo, na umekosea.
 
wewe ndio umetafsiri hivyo, na umekosea.

Labda nikuulize wewe Nipashe walimaanisha nini hapa.
 
anko obama anaita hii ni 'distraction from real issues'. mnataka tuanze kujadili waandishi wameandikaje! the real issues ambazo zinatuathiri watz ni mafisadi, na wametajwa na mengi. mambo ya waandishi wa habari na uandishi mbaya sio issue.

...as long as we know the matter on hand! Spot On, Mkuu!
 
Hebu eleza vizuri tafadhali, wamepotosha nini, na ukweli ni nini?

Labda na wewe tukwambie andika "abstract" ya hiyo paraghraph.
 
Mengi ameamua kuplay race card badala ya issue yenyewe ya ufisadi, nadhani hana ushahidi wowote na huko mahakamani lazima abanwe.
 
mafisadi wanateteana na wanasimama pamoja mpaka mwisho wa dahari.
 
wengine wanawatetea kwa TZS 2000/= ama 3000/= za mara moja kwa miaka 5! ... wakati wa kampeni!

Yaani huwezi amini, hiyo ndo garama ya maisha ya dhiki kwa watanzania wengi! Just t-shirt ya kijani, pilau na kofia!

Kuna sehemu moja nilishuhudia wamama wamebeba watoto migongoni kama kilo mita tano wana kimbia vumbi jingiiii jua kaliii wakishangilia t-shirt na kwenda kula ubwabwa!.

Nilishindwa jizuia nikawafata wawili nikawambia jamani hurumieni hao watoto, warudisheni nyumbani! tena katoto kengine kalikuwa kana kohoa sana macho mekunduuu.. yani nikasema jamani, hivi watanzania ndo tumeisha kuwa mandondocha kiasi hiki? Kwakweli inakera sana! Our price is too low!
 
DIKTETA, heshima yako mkuu lakini naona kama Mkapa alivyowahi kusema tusiwe wavivu wa kufikiri.
Na nisingependa kuamini kuwa wewe umeangukia kundi hilo.
Sasa kama wezi wote ni wahindi utawaitaje?
Hapa tuna kesi ya waTanzania wenye asili ya Asia na wote wana ufisadi unaolingana, sasa ulitaka Mengi awaiteje-waafrika weupe?
Mark you rushwa yote kubwa kubwa hapa nchini inaongozwa na hawa watu, actualy ni ujinga kujiingiza katika mabano ya ya kuona kwamba kwa vile mtu ni mweupe basi tutafute lugha ya staha ilikumhifadhi.Mwizi ni mwizi mura.
 
WADAU , THIS IS A BURNING ISSSUE.LETS NOT WATER IT DOWN:
-Wajanja wachache wanapo suka mtandao wa kuiba milioni 152 kwa siku kwa miaka miwili-Richmond
-Wajanja wanaoopoa Bilioni 40 BOT-Kagoda
-Mjumba ya thamani ya millioni500-800 yanapouzwa kwa Nssf kwa bilion 48
-Radar inapoongezwa bei ili wajanja wakate chao cha juu bil 40
-Ndege ya Rais inaponunuliwa kwa mabilioni harafu hairuki
Sasa mkuu ukikwazwa na hilo utaniita natafuta umaarufu?
Ni heri sasa watu wanapoongea maana wakiamua kutenda kama Anna Kilango alivyosema "patakuwa hapakaliki hapa"
-
 
SOFIA Simba amekula ndoano sasa mwenye mshipi anavuta kamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…