Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

Haya sasa serikali yenyewe ndio hiyo.... Fisadi akiguswa wanakuja mbogo... raia wema wakiguswa wanakaa kimyaa kama walikufa mwaka na nusu uliopita! Kweli serikali inayofadhiliwa na mafisadi ipo kwa manufaa ya mafisadi!!! Na walaanike
 
Jama mengi anakerwa sana na mismanagement of public funds kwasababu kama zifuatavyo:

- nimfanyabiashara katika competetive environments,
- hawezi kukaa kimya wakati watu wachache wanajichukuria faida bure and then
- he is a tanzanian natively, he stands for his rights.
 
Kabla ya kujibu swali kuhusu kitendo cha Mengi, ambaye anamiliki televisheni ya ITV na kituo cha redio cha Radio One Stereo, kutaja majina ya watu hao aliowaita mafisadi papa, Simba alihoji: " Hapa kuna mtu wa ITV?.
????
Akiongea na Mwananchi baada ya kupata taarifa za kauli ya Simba, Mengi alisema: "Namuombea kwa Mwenyezi Mungu na kwa maskini wa Tanzania ili wamsamehe kwa sababu hajui anenalo."


Naye Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika aliwaambia waandishi wa habari kuwa serikali itamchukulia hatua za kisheria Mengi iwapo itabainika alikiuka taratibu na kanuni za nchi kwa kutangaza majina ya watu anaowatuhumu kwa ufisadi.

"Tumekusudia kupata ule mkanda wa video, pia tusome maelezo yake ya kimaandishi... tukigundua kuna mahala ambapo sheria haikuzingatiwa, (Mengi) atachukuliwa hatua," alisema Mkuchika.

Mengi ana haki ya kusema atakacho kama raia mwengine. Kama kuna mtu ambae ameona kuwa amechafuliwa jina lake kutokana na kauli yake, ampeleke mahakamani. Serikali ikijiingiza kwenye hili itakuwa imechemsha. Kwa kufanya hivyo wataonekana kama vile wanatumiwa na waliotajwa. Wangejimazia tu.

Amandla.....

Tupo pamoja mkuu wangu... Nikijaribu kunukuu vifungu hapo juu najikuta nabaki nimeduwaa tu! Tunakoelekea siko...! Waziri anajiingiza kichwakichwa?!?

Ah.... mpaka inachefua. Hivi rais alitoa wapi viwaziri pambafu kama hivi???

Ndivyo tulivyo...
 
Walivyo na miguu myepesi kuchunguza mambo yanayotetea uhafidhina! wangekuwa wepesi kuchunguza upotevu wa pesa si tungekuwa tumefika mbali kimaendeleo! Kwanza Sophia asituchefua maana ofisi yake ndio kichaka cha mafisadi.

Watawachunguza mafisadi wenzao waliowawezesha kuingia Ikulu? Si serikali yote itaanguka. Inaelekea Rostam kishawatisha kwamba ni lazima wamlinde kwa kila hali akiadhirika tu basi na Serikali tote imeadhirika!!! Halafu bado watu wanapiga debe ni Kikwete tu 2010!!! Maskini nchi yetu imevamiwa na wasiotakia mema.
 
Once upon a time,watu walpomtolea macho kuwa this lady z empty headed kuna member waliomtetea.Now she z showin her tru colours!Sad indeed.
 
Tatizo kubwa ni kuwa, joto la moto uliowashwa dhidi ya ufisadi unazidi kuwakaribia mafisadi wote. Hii ndio sababu zinatafutwa kila mbinu za kuuepushia mbali ili joto lake lisije waoka.

Kwa mfano, badala ya kupambana na mambo ambayo yanawafanya wazalendo kama Dr. Slaa kupata vielelezo vya ufisadi, wao wanakimbilia kutunga kanuni za kuwahukumu watakao onekana nazo. Nyaraka hizo zinawaumbua na joto lake litawaoka. Njia rahisi ni kutangaza vita na wale wanaowaamsha wananchi kuhusu uozo wanaoufanya.

Hali kadhalika, ukisikia kuwa fisadi mmoja kakulikana, unajua kesho mimi nitajulikana. Njia rahisi si kuwa mzalendo na hivyo kuwa mwadilifu, bali ni kuwatisha na kuwafedhehesha wale wanaowafichua mafisadi. Mzalendo ni yule anayewaficha na kuwakikingia kifua wafilisi wa nchi, sio yule anayepigana vita ya kweli dhidi ya mabaradhuli hao.

One day, we will all emerge kill all the fisadis. They deserve to be killed. We will organise to burn them, so that justice takes place right here on earth!
 
Jamani, nahisi sifa moja kubwa ya kuwa mwanasiasa Tanzania ni uwezo uliopitiliza wa kuwa mnafiki. Sishangai serikali ikimgeuka Mengi. Ila katiba si inaruhusu mtu kutoa maoni yake na kama inaonekana kuna waliokosewa wampeleke mahakamani. Serikali kuwatetea hawa wafanyabiashara ambao wengi tunajua wanatudhulumu, ndio watakuwa wamechemsha
 
Bado mwawashangaa mawaziri wa jk? ......
 
Hivi ni kweli mawaziri wanaweza kuja na kusema hayo waliyosema bila ya kuona haya?. Nashindwa kuelewa na kuamini walipataje uwaziri. Wanasema Kwamba Mh. Mengi hana haki ya kuwataja mafisadi aliowataja kwani nani katika Tanzania ya leo asiyejua kwamba waliotajwa na Mengi ni mafisadi?. Alichofanya Mengi ni kuonesha ujasiri wa kuwataja hadharani lakini 98% ya watanzania tunawajua na tulikuwa tunajua kwamba waliotajwa na Mengi ni mafisadi. Na hawa mawaziri wawili toka lini wamekuwa wasemaji wa serikali?. Kwanini kimbelembele?.
 
Ninapongeza kauli za serikali kwani watanzania wote tuna haki sawa na hakuna wa kumuhukumu mwengine pasi na mamlaka halali yaani mahakama. Kama Mengi ana ushahidi wa madai yake na ana vielelezo kwanini hakuviwasilisha katika mamlaka husika ili anaowatuhumu wachukuliwe hatua zipasazo? Hivi leo hii kila mtu anayemtuhumu mwenzie atinge maelezo amchafue kwa nia ya aliyechafuliwa aende mahakamani? Hakuna mantiki hata kidogo, watu wote wafuate sheria na utaratibu uliopo na si kutumia nafasi maalum kupindisha mambo.

Endapo serikali ingekaa kimya maana yake ina kubaliana na uendeshaji wa nchi bila ya kuzingatia utawala bora.

Serikali haipo kwa ajili ya wanyonge tu bali hata akina Mengi na Rostam. Ni vema basi ni lazima ikemee yale yote mabaya ikiwa ni pamoja na kauli za uchochezi, kuchukua sheria mikononi, ufisadi nk.
Serikali yetu iko imara wakati wote na iendelee kufanya kazi kwa faida ya wananchi wote bila ya kuwaonea aibu watu wachache kama Mengi wanaotaka kutimiza matakwa yao binafsi kwa mgongo wa mafisadi nk.

Tuziachie mamlaka husika zifanye kazi ya kutoa hukumu na si vinginevyo.
 
kapa ni supu mengi ameichemsha watu wakainywa halafu wameikubali ni tamu sana

kapa ni supu sofia simba ameichemsha ikangua yote kwenye sufuria na sufuria lenyewe masizi matupu

huyu sofia simba na mkuchika lazima watakuwa wapumbavu maana yake hata kama unawapenda mafisadi na wewe ni mwanasiasa lazima ujue wa TZ wanawachukia hawa watu na mengi watu wanamkubali kwa hiyo wewe unatakiwa umshambulie kwa njia nyingine.
kina choniuma mimi ni TZ kuwa na mawaziri mwenye uwezo mdogo wa kufikiria. Halafu saa ingine ukiwa mjinga sana unafikiri kila mtu ni mjinga kama wewe. kweli wana siasa wa TZ wana upeo mdogo.
kama sofia simba ndio huyu, halafu mkuchika na mkullo, ndio maana JK anamuona Masha kama Newton

kama wanataka kumgeuza mengi mandela wampeleke mahakamani , maana yake hata hiyo budget support ya wafadhili itakatwa yote...

huyu sofia ni mtoto wa iddi simba au la
iddi simba na mengi si marafiki....
 

Naye Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika aliwaambia waandishi wa habari kuwa serikali itamchukulia hatua za kisheria Mengi iwapo itabainika alikiuka taratibu na kanuni za nchi kwa kutangaza majina ya watu anaowatuhumu kwa ufisadi.
Hivi nchi yetu ina taratibu na kanuni zipi katika kutangaza majina ya mafisadi? Zilitungwa lini na nani? Can somebody pse educate me on this!
 
Ninapongeza kauli za serikali kwani watanzania wote tuna haki sawa na hakuna wa kumuhukumu mwengine pasi na mamlaka halali yaani mahakama.


sasa kama hili ni kweli (kitu ambacho unaonekana unakiamini), kuna tofauti gani ya ilichofanya serikali na alichofanya Mengi? Serikali (Mkuchika na Simba) wamemhukumu Mengi kuwa "amechemsha" na kuwa "amevunja sheria" wakati wao siyo mahakama! Kwa maneno mengine wamemuita Mhalifu bila ya kumfikisha mahakamani!

Au kwa vile ni "serikali" basi unaunga mkono kauli yao lakini ya Mengi huiungi mkono kwa sababu japo wote wamefanya kile kile (kutoa tuhuma dhidi ya mtu mwingine) la Mengi limekukera zaidi?


Kama Mengi ana ushahidi wa madai yake na ana vielelezo kwanini hakuviwasilisha katika mamlaka husika ili anaowatuhumu wachukuliwe hatua zipasazo?

Swali hilo hilo linaulizwa kwa Simba na Mkuchika, kama wanajua Mengi kachemsha na kuwa kavunja sheria kwanini kuzungumzia hayo kwenye vyombo vya habari badala ya ushahidi walio nao kuupeleka kwenye vyombo husika ili achukuliwe hatua?

Hivi leo hii kila mtu anayemtuhumu mwenzie atinge maelezo amchafue kwa nia ya aliyechafuliwa aende mahakamani? Hakuna mantiki hata kidogo, watu wote wafuate sheria na utaratibu uliopo na si kutumia nafasi maalum kupindisha mambo.

Je kanuni hii inamhusu Mengi tu (haimhusu Rostam au serikali maana wote wamewahi kutumia vyombo vya habari kutoa tuhuma nzito bila kwenda mahakamani?

Endapo serikali ingekaa kimya maana yake ina kubaliana na uendeshaji wa nchi bila ya kuzingatia utawala bora.

Kwa kusema kwao wamethibitisha kuwa hawazingatii utawala bora!
Serikali haipo kwa ajili ya wanyonge tu bali hata akina Mengi na Rostam. Ni vema basi ni lazima ikemee yale yote mabaya ikiwa ni pamoja na kauli za uchochezi, kuchukua sheria mikononi, ufisadi nk.

Inakuwaje kama serikali ndiyo mvunjaji sheria wa kwanza nchini? Nani ataiambia? Au kwako serikali haiwezi kufanya makosa?

Serikali yetu iko imara wakati wote na iendelee kufanya kazi kwa faida ya wananchi wote bila ya kuwaonea aibu watu wachache kama Mengi wanaotaka kutimiza matakwa yao binafsi kwa mgongo wa mafisadi nk.

Na kwa wale wanaotaka kutumia migongo ya walalahoi na wapambanao na ufisadi ili kujijengeya himaya yao ya ufisadi na ambao wameiweka serikali mikononi mwao itakuwaje? Mbona siyo Simba wala Mkuchika aliyejitokeza kusema lolote wakati Rostam amezungumza na waandishi wa habari Mei mwaka jana?

Tuziachie mamlaka husika zifanye kazi ya kutoa hukumu na si vinginevyo.

Inaonekana kwako mamlaka "husika" za kutoa hukumu ni pamoja na mawaziri! Ungenipa moyo kuwa unajaribu kuwa fair kama ungepinga kitendo cha Mkuchika na Simba kumhukumu Mengi bila kumfikisha mahakamani au kumpa nafasi ya kujitetea! Hukufanya hivyo na hivyo kuthibitisha kuwa una maslahi zaidi ya kutaka haki itendeke kwa kila mhusika.

Well, different strokes for different folks I guess.
 
waandishi wabari wa bongo wanatakiwa wakokee moto hii kitu ili ilete mfarakano ndani ya ccm wengine wanatakiwa wakamuulize kilango lazima jibu lake litakuwa tofauti na hawa, wengine masha, wengine sita, wengine ngeleja, wengine mwandosya, wengine pinda, wengine sas, wengine el, wengine seleli, wengine mkullo,wengine makamba, ili mradi kuleta mgawanyiko
 
Last edited:
  1. Imekuwaje tena whistle blowing ikawa ni sawa na kuhukumu mtu?
  2. Hivi kazi ya vyombo vya sheria sio kuchukua tetesi na kuzichunguza?
  3. Iweje tena mtoa tetesi aanze kusimangwa na serikali badala ya kupewa ulinzi ili asaidie uchunguzi?
  4. Kama hata mtu kama Mengi shutuma zake juu ya ufisadi zinamgeuzia kibao yeye mwenyewe, ni nani tena atakayethubutu kufungua mdomo unless iwe ni mitandaoni (JF) n.k?
Hii ni wazi kuwa serikali yetu iko madarakani kutokana na nguvu za kifedha za hao mafisadi.

Swali langu ni kuwa kwa nini Bunge letu ambalo ndilo chombo pekee chenye uwezo wa kumchukulia JK hatua, linaendelea kuwa kimya wakati ni wazi kuwa JK ndiye anayewalinda wanaoimaliza nchi?
 
Mengi kawa out hawa watu kama mafisadi, kama mtu anataka kumtaka Mengi ushahidi ili ku substantiate maneno yake nitaelewa.

Lakini habari ya kusema Mengi kachemka bila hata ya kujua Mengi ana ammunition gani, kesho keshokutwa unaweza kuaibika ukashindwa hata kumuomba radhi.

Mengi si mahakama na hana wajibu wala mamlaka ya kupitisha hukumu, yeye anatoa maoni yake kama mtanzania huru, kama mtu anajiona kapakaziwa na Mengi mahakama ziko, anaweza kufungua mashtaka.

Yaani hao walioitwa mafisadi wenyewe hawajasema viwaziri visharukia issue? Whats wrong with this picture, some puppeteering going on here?

Hey,what are you taking about..
What is the prob with our loved Mengi,an innocent civ who is trying to cry on behalf of us.
Mengi has on intention of becoming a President of these rotten country rather he believes on his words that HE want to live after his death,in other words he want to give out more so as to be remembered much, not like Mr. Mkapa who even before dying he is no longer there B'se of him taking much from the poor.
Let Simba and Mkuchika dies alone with their Fraud,no body will remember them 😡
 
Bottom line ni kwamba S Simba and G Mkuchika wametoa maoni yao kama mawaziri wa ziwara zao na sio tamko la serikali..... Serikali ya Tanzania itoe tamko hafifu kama hilo?? Whom am I kidding, it is an alinacha style of Govt anyway!!!

This is the saddest thang that has happened to Tz in its more than 45 years history...... we need some help and faaaast!!!
 
Bottom line ni kwamba S Simba and G Mkuchika wametoa maoni yao kama mawaziri wa ziwara zao na sio tamko la serikali..... Serikali ya Tanzania itoe tamko hafifu kama hilo?? Whom am I kidding, it is an alinacha style of Govt anyway!!!

This is the saddest thang that has happened to Tz in its more than 45 years history...... we need some help and faaaast!!!

Mawaziri ni mawaziri katika serikali gani? Na kama wametoa tamko official linakuwa tamko la nani?
 
ndio siasa za serikali ya kikwete hizo ....kila ambaye anamuona tishio ...basi ni FISADI..tumewahimiza wawapeleke hawa kina Lowassa, Rostam, Karamagi etc mahakamani hawataki.... sasa huwezi kumkazania mtu uchawi kama wewe si mchawi..... wote wachawi tu hawa... na tangu mwanzo tulisema hapa USHIRIKA WA WANGA HUWA HAUDUMU!

Kikwete ni fisadi ...na namuonea Mengi huruma kwa kumtaja SUBASH PATEL... ambaye amemjengea Kikwete majumba yake ya CHALINZE, MIGOMBANI na BAGAMOYO.. yet kuna majengo ya ghorofa mjini na kiwanda kipya cha chuma wapo ubia.... yet mradi wa chuma LIGANGA..[MCHUCHUMA] .. Wapo wote na subash..... that is just a tip of iceberg...

YOU CANNOT EAT A CAKE AND HAVE IT... kwa Mengi kuwataja partner wa rais kama subash .... na asimtaje ni kama amechamtaja... bora tu angemalizia kwa kumtaja.... sasa Kikwete kapiga mahesabu akajuwa kama marafiki wamatajwa ... ni signal kuwa na yeye amewekwa RANSOM... lazima ammalize tu Mengi ... namuonea huruma sana Mengi anapigana vita ISIYO NA JEMEDARI...
 
Back
Top Bottom