Kwanza aliowataja shujaa Reg Mengi kuwa ni mafisadi papa wamekaa kimya, hawathubutu kujibu mashambulizi maana wanajua kuwa yaliyosemwa ni kweli tupu. Pili wanaogopa wakijibu mashambulizi yataweza kuibuliwa mengi mabaya zaidi dhidi yao na biashara zao haramu. Mafia huwa ni wajanja sana!! Kama wameonewa wawahi mahakamani!!! Huyo the so called Sophia Simba katumwa na nani kuropoka??? Nilitegemea kama Waziri wa maadili mema atakaa kimya maana ni aibu kwa ofisi yake!!!! Hana adabu kabisa huyo mama!!! Ila kwa upande mwingine sishangai maana pale ni sehemu nyeti na lazima atakuwa amewekwa pale na RA na EL maana ndiyo waongoza nchi!!!!
Utanikubalia kuwa katika kampeni za the so called UWT chair hata Presede mwenyewe alimpigia huyu mama kampeni?? Na hela ya kampeni ilichangiwa pia na mafisadi?? Kwa mantiki hiyo ana kila sababu ya kutetea mafisadi.
Serikali ya awamu ya nne haitakuwa na ufanisi wowote ule kwa kipindi chote itakayokuwa madarakani maana haina watendaji bali ina viongozi wengi vibaraka wa mtandao ambao wanatumikia interests za waliowaweka madarakani. Wale mashujaaa wachache kama kina Anne wanashindwa kupata support ya hawa vibaraka. Ila tu nataka watambue kuwa tunawahitaji sisi watanzania tulio na uchungu na nchi yetu, hivyo they have majority support from our side.
Keep it up my uncle, brothet Mengi. Shame to Sophia ambaye haoni uchungu na umaskini wa watanzania walio wengi, anaona furaha na utajiri wa mafisadi wachache kwa kuwa wanafanikisha kuwepo kwake katika cheo.
On the othe side of the coin, my uncle Mengi be carefully na tabasamu la JK!!!! Ana hasira na wewe sana maana unagusia sana mafisadi ambao wengi wao ndiyo waliomuweka madarakani kwa fedha za michoro!!! Tena ulipomtaja RA ulitonesha Kidonda, ulipomtaja Tanil Somaiya, ujue ni mtoaji zaka mkubwa kwa UVCCM. Je mnakumbuka kuwa JK ndiye alikuwa mgeni rasmi kupokea hundi ile ya mil 400 toka ka TS kwa UVCCM?? Yaani kila aliyetajwa ana role kubwa sana kwa JK!! Watch out!!
Jeet Patel ni kama alichukuliwa kusulubiwa on behalf ya hao waliobakishwa!!! Pengine atakuwa amekubali kwa hilo ila kuna kafidia fulani ambako kanamsubiri!!!! Take it from me!! Nilicheka sana niliposikia kuwa Jeet alikamatwa na kufikishwa mahakamani wakati ndiye alikuwa host mkubwa wa visherehe vya kupongezana!!! Ni yeye wa tender zote through Noble Motors ku supply magari yote ya uchaguzi!!! Ni yeye....... you name all!! He is also a Mafia!!!! Acheni kutuweka michanga ndani ya macho!!!!