Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

Sofia Simba ni kilaza sana. Mkuchika ni 'borer' fulani. Wote hawa ni watumwa wa mafisadi. Wanaokoteza makombo wanayotupiwa na manyang'au na wabakaji wakubwa wa mali za maskini wa Tanzania. Reginald Mengi ni mzalendo anayeujua wajibu wa kizalendo kwa nchi yake. Na sisi tunafuatilia kwa makini hatua zinazokusudiwa kuchukuliwa na mamlaka yoyote ya nchi kwa yeyote. JK hana IQ ya kutosha wala ujasiri wa kimaamuzi. Ni mateka wa waliogharimia 'ambition' yake ya kuitwa 'Rais'. Hataisaidia sana Tanzania. Ushahidi uko ukutani. Mungu Ibariki Tanzania na Watu wake.



Kakunkuna!

Umenikuna!!! That is a very sober analysis of JMK his IQ is below 30! What dou you expect from him... Pumbaaa!!!

This sexed lady goes to the press to talk shiit si amemtuma akaseme!!! and because hajui alichosema!!!! Otherwise he should fire her!!! Mengi amemix kwa kumsifia JMK kama mtu anayepambana na rushwa wapi???

You remember even the security agent turned Prime Minister who cried in parliament last time alisema mafisadi ni watu wenye nguvu!!! Big shame on him Pinda alipaswa kujiuzulu kama EL for disgracing the 4th state kwamba those thieves are financial magnets wapi!!!

Haki ya mungu this bastards will come up with a song very soon ili kutuondoa kwenye track let us wait and see!!
 
Katika kupambana na uharifu siku zote Serikali imekuwa ikisistiza wananchi kushirika katika kuwafichua na hili imekuwa ikisema njia zote zinaweza kutumika, mfano kuwafichua kwa sirii watu wanao shiriki katika mauaji ya ndugu zetu Albino. Katika serikali za mitaa, vijijini na hata sehemu nyingine watu wasumbufu katika jamii mfano Wabakaji, wezi na hata wahujumu maendeleo kwa namna nyingine huwa tunatakiwa kuwasema waziwazi na njia za siri.

Sasa kwa hili la Mengi, tujiulize ni kwanini hawa waheshimiwa wamegeuka sera zao za kushirikisha jamii katika kupambana na uharifu? Au hawa jamaa uharifu wao ni tofauti mbele ya sheria za nchi hii
?

Mtu mmoja makini ajibu hili atuelimishe kabisa kabisa.

Na zaidi.

Hao aliowataja Mengi hawajatajwa wote hapa JF Na Kwingineko?

Au Inakuwaje Haswa mpaka Jambo kama hili lilete kelele namna hii huku likipotoshwa na Main issue ikpigwa chenga na kutupiliwa mbali!!

Isuue Ni Mafisadi 5 wametajwa...

Let them come foward waseme right or left!!!

THEN ITS DONE!!!!!
 
Hivi ule mpango wa kutafuta Warusi waje hapo na kuchezesha kwata Mafisadi (Ex- KGB) umefikia wapi? Maana hawa mabwana naona unyamaunyama ndiyo dawa pekee. Ni au tuwaache maana ni sisi wenyewe tumewafanya matajiri na au tuwalime ili viongozi wetu wakose mtu wa kuwachukulia pesa. Labda hapo watakoma.

Ni kweli kuwa mambo yakienda ovyo basi Wahindi na Waarabu hawa watafukuzwa nchini. Maadamu wana pesa hilo kwao halitakuwa tatizo. Wanaweza hata kwenda kuishi Kenya na kuwa wanakuja kama watalii.

Halafu zeutamu kweli akili mbaya. Kuna watu anatakiwa kuwatoa na Si Kikwete kwenye ukurasa wake. Kuna macandidate wazuri kabisa na watu wangelimpigia makofi. Kuna wengine unaona wanaita kabisa tena kwa sauti ya juu mbele ya umma wa watanzania "ZEUTAMU, NA MIE NITOE KWENYE WWW YAKO......."
 
Katika kupambana na uharifu siku zote Serikali imekuwa ikisistiza wananchi kushirika katika kuwafichua na hili imekuwa ikisema njia zote zinaweza kutumika, mfano kuwafichua kwa sirii watu wanao shiriki katika mauaji ya ndugu zetu Albino. Katika serikali za mitaa, vijijini na hata sehemu nyingine watu wasumbufu katika jamii mfano Wabakaji, wezi na hata wahujumu maendeleo kwa namna nyingine huwa tunatakiwa kuwasema waziwazi na njia za siri.

Sasa kwa hili la Mengi, tujiulize ni kwanini hawa waheshimiwa wamegeuka sera zao za kushirikisha jamii katika kupambana na uharifu? Au hawa jamaa uharifu wao ni tofauti mbele ya sheria za nchi hii?
haya kama Mengi kafanya vizuri kesho akiamka akisema anawajuwa wauwaji wa albino na ataanza kumtaja mmoja mmoja akianzia na wewe, itakuwa sawa? ndo maana mama simba akasema hakuwa na mamlaka ya kuhukumu bali mahakama (hata taratibu za kiimani zinasema hivyo, "usihukumu.....")
Tukianza kushabikia uvunjaji wa taratibu tukumbuke leo kwao kesho itakuja kugeukia ww usije kulalamika, unaonewa, Yeye Mengi akiguswa kidogo tu, utaskia kelele zake mpaka bungeni. sakata lake na Malima lilitumia fedha za walipa kodi kuundiwa tume na kilichoafikiwa hakijuulikani, mbona hakupayukwa kama ule ulikuwa ufisadi kutumia mapesa yale ya wananchi kujadili ugomvi wa kipuuzi tu wa watu wawili?
Hata vipi kama ana hamu ya kuwasema na aende tu mahakamani akatoe ushahidi, asitumie vyombo vyake kama ndo mahakama za kuhukumu watu, wakati sheria zipo.
 
..hao Mawaziri ni viongozi wa waandamizi ktk chama tawala.

..wanajua wapi SERIKALI na CCM vimesimama ktk mapambano dhidi ya UFISADI.

..msifikiri wameropokwa tu na maneno, wametumwa hao, wanajua wanalolifanya.

NB:

..halafu Mwanakijiji alimpamba sana mama Sophia Simba. Mwanakijiji alifikia mpaka kufokea wananchi tena kwa kiingereza. sasa nadhani amejifunza kwamba wale wananchi waliojaribu kumuelekeza kwamba mama Sophia Simba ni bomu hawakukosea.
 
Katika kupambana na uharifu siku zote Serikali imekuwa ikisistiza wananchi kushirika katika kuwafichua na hili imekuwa ikisema njia zote zinaweza kutumika, mfano kuwafichua kwa sirii watu wanao shiriki katika mauaji ya ndugu zetu Albino. Katika serikali za mitaa, vijijini na hata sehemu nyingine watu wasumbufu katika jamii mfano Wabakaji, wezi na hata wahujumu maendeleo kwa namna nyingine huwa tunatakiwa kuwasema waziwazi na njia za siri.

Sasa kwa hili la Mengi, tujiulize ni kwanini hawa waheshimiwa wamegeuka sera zao za kushirikisha jamii katika kupambana na uharifu? Au hawa jamaa uharifu wao ni tofauti mbele ya sheria za nchi hii?

kijunjwe,
Hapo umegonga ikulu, kumbe wanavo itaka jamii ishiriki kufichua uovu ni danganya toto? ama wanataka tuseme tu waiba kuku?

Ina shangaza na kutia shaka kwamba majambazi makubwa ya uchumi wetu yakifuchiliwa serikali inapata kizungu zungu na kuweweseka oh.. sheria zimevunjwa.. kulikoni?
 
kama ndo lazima alivyosema Mengi ndo ndivyo basi wantanzania wamekomboka sasa, likiwafika tu wakimbilie ITV,REDIO ONE...N.K
Hivyo ndo vyombo venye mizani sawia ya kupimia mema na mabaya ya watu.
 
Bila kusahau kuwa ule moto wa NASACO hapendi tuuongelee

mdomo mali yako kaitishe press conference nawewe,

Ukweli unabaki pale pale kwamba Rostamu na wenzake ni majambazi sugu wa uchumi wa Tanzania, lakini za mwizi ni arobaini, walizoea kutuibia na kupachika watu madarakani kwa nguvu ya pesa yao na kuendelea kuwa tawala kwa remote,

Pole yao, arobaini ndo hiyooooo, inawadia, hata wawatumie vibaraka wao kuja sema eti sheria imevunjwa, ndo hivo maji yameisha mwagika, kila mtu kaisha jua wezi haoooooo....,

By the way, rai ya serikali tushirikiane kufichua majambazi na waharifu, si ndo hao Mengi kawataja? Kazi kwa serikali kufatilia ni kweli si kweli, siyo kupinga kwamba ulio tutajia sio bila kutafiti!

Kudos Mengi, tuko nawewe, taja wabaka uchumi wetu wote hata hao kumi walo baki. Lisibakie hata jiwe moja!
 
Hapa tulipo tumefikia njia panda ni lazima tuwe na umoja wa hali ya juu ili kuwashinda mafisadi, na kama tukishindwa kufanya hivyo na kurudi yena madarakani basi tutajuta kwa miaka mingi ijayo na si ajabu nchi ikaingia katika matatizo makubwa zaidi kuliko ambayo tumekwisha yaona.

Hii vita ya ufisadi ni very complex, ufisadi unaanzia kwenye tume ya uchaguzi isiyo huru. Whatever watanzania watakavyoamua ni kwamba tume lazima iipe ushindi CCM. Mimi ushauri wangu ni kwamba sasa tuelekeze kuwaunga mkono wana CCM walioonesha kukerwa na huu mtandao wa kifisadi nadhani mnawajua. Hawa wazalendo waliomo CCM ndiyo watakaoikomboa nchi ila tusitarajie kuwa kura zetu zitaheshimiwa kama zinaitoa CCM madarakani, tumeisha ona Zanzibar 3 times CUF walishinda wakanyimwa ushindi.

Ni pale tutakapoamua sasa basi na ama kuingia mitaani kufanya kile kinachifanywa na wazalendo ama kuwaunga mkono wana CCM wazalendo wenye nia njema na Nchi yetu ili kuwatokomeza hawa mafisadi waliowaweka watu madarakani kwa manufaa yao.
 
ishu ya mengi kweli waziri sophia simba kachemka kwelikweli, nani asiyejua asilimia kubwa ya wahindi nchi hii hawafanyi biashara halali?,kodi wanazokwepa?, kwanini wahindi wengi wakiibiwa hawataki kesi zienda mahakamani? ataweza vipi toa vielelezo jinsi mali ilivyoingia? inawezekana analinda kambi ya husband,ila suala la mkuchika ,kwanza alishachemka kwenye wizara nyingi alizokuwapo,ok labda nielimishwe kwa hili kwani yeye ndo msemaji wa serikali? au kauli ya bwana mkubwa mengi imegonga ikulu?,
usia wangu kwa viongozi ni kua wawe makini na watanzania wa sasa sio wale wliokuwa wanasema ndege itanunuliwa hata wananchi wakila majani kisha watu wakamuachia mungu, mna hubiri amani bila kufuata taratibu za kuikuza amani
 
Walivyo na miguu myepesi kuchunguza mambo yanayotetea uhafidhina! wangekuwa wepesi kuchunguza upotevu wa pesa si tungekuwa tumefika mbali kimaendeleo! Kwanza Sophia asituchefua maana ofisi yake ndio kichaka cha mafisadi.
Na ni juzi tu kwenye uchaguzi wa UWT alituhumiwa kumwaga rushwa ili achaguliwe. Janeth Kahama kamwandikia JK kumlalamikia juu ya rushwa hiyo, kimyaaa hadi leo.
 
Mengi anachosema ni ukweli na watu wote wanajua. Hao mawaziri wanaosema kachemsha ni sawasawa na kusema watanzania wanachemsha kwani watanzania wengi wana mawazo kama ya mengi kuhusu ufisadi. Ufisadi wote wa EPA, Richmond, Rada ni wananchi walianza kusema na si serikali au mawaziri. Kikwete vilevile anatakiwa aweke mawaziri wenye ufanisi na wachapa kazi kama magufuli badala ya mawaziri wanaoshinda kwenye vyombo vya habari kutetea wafisadi.
 
Bila kusahau kuwa ule moto wa NASACO hapendi tuuongelee

Game theory, ana harufu ya kifisadi. mambo yake yote ambayo hua anaandika, anaonekana yuko kwenye defense mechanism, anaandika ili kujilinda na mashambulizi. nakwambia huyu jamaa si ajabu ni mmoja wa wale mafisadi kumi, au hata yale mapapa matano. Kusema ukweli, kilio cha watanzania kimesikika mbele za Mungu. Mengi si mtetezi wa watanzania, yeye anafanya kwa upande wake kama raia. ila, watanzania wanaopata matatizo ya kila siku, machozi yao yanafika kwa Mungu, kufumba na kufumbua, kuna siku mafisadi wote wataisha tanzania. si watanzania watakao wahukumu, ila adhabu yenu ya aibu inawakaribia.

lazima mtavuna mlichopanda. cha ajabu mnasahau kuwa, kila inapoitwa leo, watanzania wanaelimika zaidi kuhusu haki na maslahi yao. hivyo, hata mkijaribu kujilinda, hata mkitumia majambazi kuwaua wale wanaowapinga, moto uko palepale, na hamtakuja kusafisha majina yenu hata siku moja.

Uyo sophia simba aliyepigwaga picha anatoka gesti mwaka huu na mtu(sijui kama likuwa yeye kweli), na aliyepigana na Janeti kipindi cha uchaguzi, na wotw wanaowalinda mafisadi, hawajui kuwa wanakichafua chama cha mapinduzi. Mtajibu mwakani wakati wa kampeni kwanini mliwalinda mafisadi kiasi hicho kama nyie si mafisadi. mawaziri na hata rais mkitaka nyie walindeni tu mafisadi, lakini dawa yenu inachamka na mtajibu maswali yetu. watu wasifikiri Tarime iko Mara tu. Mwakani kuna Tarime ndani ya kila mkoa, vitongoji nk, kwasababu watu wamechoka na Chama kinachowalinda mafisadi.

Nampongeza Mengi kwa juhudi zake, na naendelea kuuliza kama yeye Mengi anavyouliza" HIVI HAWA JAMAA UJASIRI WANAUPATA WAPI?" namjibu, wanaupata kwenye ccm na Rais Kikwete waliyemuweka kwenye uongozi kwa kutumia pesa zetu sisi wenyewe. watanzia si mambumbumbu tena kama wakati wa ujamaa. chao.
 
Kwa Kweli urais wa nchi hii una ubia...............

Sikubaliani na wanaosema kuwa urais wa nchi yetu hauna ubia

NN
 
Inakuwaje Sofia Simba na George Mkuchika wawatetee watuhumiwa wa ufisadi? JK anatakiwa atizame upya mawaziri wake. Tuliambiwa kuwa Sofia Simba alifadhiliwa na mafisadi ktk uchaguzi wa UWT, leo ameuthibitishia ulimwengu kuwa yale yaliyokuwa yakisemwa ni kweli. JK una kazi kubwa sana, huna wasaidizi wazuri wa kukusaidia. Hawa watu kama akina Sofia wanakuchonganisha na wananchi. Badilika. Fanya maamuzi. Ulituambia huna ubia na mtu, lakini mbona mambo yanavyokwenda inaonekana kama kuna watu wana ubia na Urais wako?
 
Back
Top Bottom