Mwizi aliyekuja kuiba saa tisa usiku

Mwizi aliyekuja kuiba saa tisa usiku

Kuna bwana mmoja aliukataza umati usimfukuze mwizi badala yake wamwachie yeye hiyo kazi.Jamaa akaanza kumkimbikiza mwizi peke yake tena kimyakimya sijajua jamaa lengo lake lilikuwa ni nini.
 
Aahahahahahaaaaa

Huko ndo kwenyewe, masham sham kama yote 🤪🤪
Nilishawahi kukusimulia jinsi nilivyofumaniwa nikipiga chabo?
Nikaulizwa mbona unachungulia dirishani huku umesimamisha kiungo utamu?
Nikajibu Komando Kipensi huyo, anapiga roba.
Kabla sijaendelea kujiezela nijikuta nimesha katwa mtama
 
Nilishawahi kukusimulia jinsi nilivyofumaniwa nikipiga chabo?
Nikaulizwa mbona unachungulia dirishani huku umesimamisha kiungo utamu?
Nikajibu Komando Kipensi huyo, anapiga roba.
Kabla sijaendelea kujiezela nijikuta nimesha katwa mtama

Bujiiii its still morning, my ribs need all the energy for the day. 😆😆😆😆
 
Usiku wa kuamkia leo kibaka aliingia ndani na akafanikiwa kuchomoka na decoder ya Dstv, uzuri tukashtuka tukaanza kupiga kelele za mwizi huku tukimfukuza.

Tukiwa tunaendelea kumfukuza mwizi wetu, tukasikia tena kelele zikitokea kwenye nyumba jirani, mwizi huyo anaruka kaiba simu!!!! Majirani wakaunga tela kufukuza mwizi wa simu.

Wale wezi wakawa wamekimbilia njia moja, huku kelele zikiendelea, mwiziii huyoooo, kaiba dekodaaaaa. Kundi lingine, mwizi huuyooooo kaiba simuuuuu.

Baada ya dakika kadhaa mwizi mmoja kapiga kelele, wote tusimame, naye akasimama, tukawa kwenye bumbuwazi.
Mwizi wa dekoda akasema, mbona kundi kubwa linaniandama?

Mnaofukuza mwizi wa simu kaeni upande wa kushoto.

Mnaofukuza mwizi simu kaeni kulia.

Jamaa wakaenda kulia. Mwizi akasema kila mtu afukuze mwizi wake.

Akaanza Tena kutoka mbio ili tuanze tena kumfukuza🤣😂😅
😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom