Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.
Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kachomwa na petrol muda huu ni noma Cha ajabu jamaa anakimbia na moto wake anataka kufa na mtu wakati alivyokua anaiba alikua peke yake bahati nzuri raia wakamdhibiti.