Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Kwanini wamuue
Kila anayekosea angekuwa anauliwa sidhani kama Dunia ingekuwa na aatu
Nilikuwaga na roho kama yako hapo zamani lkn tangu wezi waliponitembelea magetoni sina hamu nao kwa sasa nikikuta wamepungukiwa kifaa cha kumchomea nanunua hata kwa songesha
 
Wewe ndio hutumii akili unatumia mihemuko ,huwezi kuua kwa kila kosa unalofanyiwa hisia na hasira inapunguza uwezo wa kufikiri , wewe ndio hukoseagi? Be reasonable. Mtu yoyote anayeendekeza hasira hasira huyo akili kisoda
Akili zetu na ukomavu wetu unapimwa katika mambp mengi kubwa ni uwezo wetu wa kidhibiti hasira na kusamehe, grow up
Sawa kabisa. Kuua sio adhabu bali ni unyama tuu. Na afanyaye hivyo hastahili kuwepo duniani katika ulimwengu wa wastaarabu.
Kama wao wanaona ni sifa basi wakimuua mwizi wasimama hapohapo na mapanga yao ili askari wakija wajieleze kuwa ni wao wamemuua maana ni mwizi huyo!
Tuone faida ya ushujaa wao.
 
Wewe utakuwa ni mwizi😀😀 jokes
 
Ni vipi kama hakuwa ni mwizi labda ni mgonjwa wa akili au ni alimgusa bahati mbaya? [emoji848]

Tuwe tunajipa nafasi ya kutumia Hekima na busara pale tunapokuwa tumehisi jambo baya.

Sio tu kwenye maswala ya ulinzi na usalama wetu na mali zetu lakini pia kwenye maswala ya mahusiano ya kijamii na wapenzi.

Kwann uanze kuropoka na kujipanikisha kwa jambo ambalo ulitakiwa kujipa hata sekunde 20 za kutafakari?

Kumuitia mtu mwizi eneo kama kariakoo ambapo watu wanahangaika kutafuta maisha na wamevurugwa ni Brutality na Execution mbaya sana. Unamhukumu mtu hukumu ya kifo kwa akili ya namna gani?

Ni vipi wewe umehisi kuibiwa kumbe mtu hata hakuwa na wazo kukuibia?

Nakumbuka kuna siku tupo kwenye daladala mdada akimtuhumu mwanaume kuwa anambambia nyumba almaarufu dunga dunga.
Ila baadae ikaja kuonekana bi dada ana mawenge tu. Kuna wanawake huwa akili zao kuna umri ukivuka wanakuwa kama vichaa fresh, yaani anakuwa ni mtu wa kuropoka, kuzua mambo, kuongea vitu ambavyo havieleweki, au kutuhumu watu kwa vitu ambavyo wao wanahisi na sio ambavyo vipo.

Zogo lilikuwa kubwa ila baadae kadiri majibizano yalivyokwenda bi dada alionekana kuwa alimhisi vibaya yule kijana kwasababu kijana alikuwa amenyooka kauli yake. Watu walichangia lakini tayari wakaona kijana anaonekana hana hizo tabia ila bi dada kakurupuka maana baadae akawa na uso fulani wa aibu.

Aliposhuka yule dada gari zima wakageuka tena kumponda na kusema hana akili sawa sawa.

Sasa huwa najiuliza hivi haya matukio ya kukurupuka na kusema mtu ni mwizi kisa amekugusa ulipoweka mali zako, kama umemhisi si unampiga biti tu kisha unasogea kando, unapopiga kelele na nduru /ukunga wa mwizi unataka watu wachukulie namna gani nje ya kuchukulia kuwa kuna mwizi, au hatujui maana ya neno "wanainchi wenye hasira"?

Wakifika watahoji, alitaka kuiba nini, mtu anajibu alitaka kunichukulia simu au pochi nikamuwahi, tayari umeshatoa ushahidi wa wizi. Matokeo yake sasa umeshampa mtu hatia ya wizi na raia wamekusikia ila hawatamuacha salama, wengine watasema tumpige kumuadabisha wengine wakikuta kipigo kimeanza hawatakuja na idea ya kuadabisha wao watataka kumaliza kabisa uhai wa mtu. Akishakufa, utaishi na hiyo dhambi ya kuua mtu? Damu ya mtu haitakuacha salama wewe na uzao wako na wale uwapendao, mtalipia kwa gharama.

Kama una uhakika mwizi amekuibia kabisa na umeona kabisa ameshachukua na anataka toroka hapo unaweza kupiga ukunga wa kuita mwizi. Mtu amekupapasa bahati mbaya wewe unaanza straight kupiga ukunga, wakimpa kichapo hapo utasemaje?

Hizi tabia tuwe makini sana. Naongea kwa machungu hivi hapa nikikumbuka matukio mawili la kwanza ni mwanza pale SAUT kuna demu alikuwa anamcheat boyfriend wake na wanaume wengine, jamaa kujua akamind akamtimbia demu mageto kwake na kuwasha moto kuhusu kujua usaliti wake kisha akadai laptop yake na sim yake, demu sasa hasira zile za kushtukiwa, kuachwa na kunyang'anywa vitu akamuitishia mwizi huyu kijana, raia wakafika na kuanza kutekeleza hukumu bila kuhoji, kijana wawatu akauwawa, ukweli ukaja kujulikana baadae baada ya upelelezi wa polisi kufanyika na kujua kijana ni mwanafunzi wa chuo na alikuja kuchukua mali zake na huyo ni demu wake. Ila ndio kishakufa.

Mwingine ni kijana alienda piga misele, kwa demu, akajibanza sehemu huko uswahilini, mtu akahisi anapiga chabo sijui, si akaanza kumshuku, akamwambia wewe unafanya nini hapo dirishani, mwamba akashindwa kujitetea, ikabidi aondoke kimya kimya, yule mdada ndani bila kutumia utimamu wa akili akaanza itisha makelele ya mwizi jamaa akaona akimbie kuokoa maisha yake raia wakamuunganishia, wakamshika akaanza kula kichapo, aliyekuja muokoa ni mjumbe, walipokuja polisi ikaonekana hakuwa na ajenda hiyo na sms za Kwenye simu yake zilimuokoa.

Ila hii tabia. Mtu akikufanyia ukapona. Hakikisha unakwenda mahakamani kumfungulia mashitaka ya jinai yenye dhamira ya mauwaji kwa njia ya public/mob lynching. Yeye ataiambia jamuhuri ulimkosea nini hadi atoe hukumu ya kifo kwako. Utalipwa fidia na yeye atakula kifungo cha maisha bila ubishi.
 
Wewe ni mwizi unatetea wezi wenzio sio ipo siku Yako na wewe yaani sura ya bangi iitiwe mwizi unafikiri nitauliza petrol inamuhusu
 
Hivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.

Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kachomwa na petrol muda huu ni noma Cha ajabu jamaa anakimbia na moto wake anataka kufa na mtu wakati alivyokua anaiba alikua peke yake bahati nzuri raia wakamdhibiti.
Haya ndio madhara ya wajinga kama wewe mkiwa wengi hapa duniani, mnaojifanya mna hasira mmejaa visasi kwa kujiona mnajua kuhukumu wenzenu ,angalia mtu kuwawa bila ya kosa lolote kwa ajili ya watu wa aina yako
 
Attachments

  • Screenshot_20240812-104711_Instagram.jpg
    Screenshot_20240812-104711_Instagram.jpg
    401.9 KB · Views: 3
Haya ndio madhara ya wajinga kama wewe mkiwa wengi hapa duniani, mnaojifanya mna hasira mmejaa visasi kwa kujiona mnajua kuhukumu wenzenu ,angalia mtu kuwawa bila ya kosa lolote kwa ajili ya watu wa aina yako
Wewe ndio jinga kweli Sasa Cha ajabu kipi hapo kama aliiba haki yake kufa shenzi wewe
 
Wenzako wanatafutwa huko ,aligombana huko bar dodoma wakamuitia mwizi kumbe hakuiba chochote haya ndio madhara ya kuchukua sheria mkononi na kufuata mkumbo, wote wanaoenda kumpiga hakuna hata anayetaka kuhoji kilichotokea kila mtu anatoa hasira zake na stress zake za maisha, ni umasikini tu huo
Ingekuwa kila anayeiba anauliwa sasa makanisa na misikiti yapo kwa kazi gani, na mungu yupo kwa sababu gani, watu wanabadilika ndio maana ya toba, si unaona dotto magari leo kabadilika , sio kila kosa adhabu yake ni kifo, makosa yanayostahili kifo ni yale yenye kuhatarisha uhai wa mtu au watu wengine tu
 
Hivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.

Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kachomwa na petrol muda huu ni noma Cha ajabu jamaa anakimbia na moto wake anataka kufa na mtu wakati alivyokua anaiba alikua peke yake bahati nzuri raia wakamdhibiti.
Nshawah mkat mtu kibao kwa mambo yakise*** km.hayo town watu wakashangaa nkamwambia Jiangalie utaumia akaondoka bila kuaga
 
Back
Top Bottom