Al maktoum
JF-Expert Member
- Nov 23, 2022
- 499
- 678
Nawambia msikitini wakija kuswali kwamba haifai kuchoma moto wezi wawapeleke kwenye mamlaka zinazohusika.Ndio maana nikasema kwanini haya mawaidha usiyaseme kariakoo mkuu Ili uokoe wezi wanaouwawa kwakuaumesema Allah apendi fanya siku ujitoe muanga Kwa ajili ya mwizi mkuu hata ukifa utakua umepata thwawabu Kwa allah
Wale wanaokwenda makanisani pia viongozi wao watawaambia kuwa bwana Yesu anasema : " samehe saba mara sabini."Na kwamba mtu akikunyang'anya koti mpe na shati"
Wale wasioenda misikitini wala makanisani tuiachia serikali iwaeleweshe kutii sheria bila shuruti!.