Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Haha haha haha 😆 😆 😆
Generation z kule Kenya walivyojua wavaaji wa suti nzito ndio wezi wakuu wanaofilisi raslimali za nchi yao wakaamua kwenda kuwachoma moto huko bungeni.
Waheshimiwa walivyohisi hatari wakatoka mbio kupitia milango ya dharura. Gen z wakachoma moto majengo ya bunge ili hao waheshimiwa warudi vijijini kwao kulima.
Wewe unasubiri nini kwenda kuchoma bunge maana umegundua unaibiwa Mimi sijaona wakiniibia wenzako Kenya wakienda wewe unasubiri nini mkuu
 
Sera za kuchoma wahalifu moto ni kinyume na mafundisho ya dini yangu. Siwaungi mkono gen z. Mimi naamini ktk utendaji kazi wa vyombo vya Dola na vyombo vya sheria.
Tuna polisi, mahakma na magereza.
Mtu akikamatwa katenda uhalifu apelekwe polisi. Polisi watampeleka mahakamani na hakimu au jaji akiridhika kulingana na ushahidi kuwa mtuhumiwa ana hatia sheria itachukuwa mkondo wake.
Ila raia kujichukulia sheria mkononi na kuwachoma wezi moto na kuwaua mambo haya yatakiwa yasikike huko maporini ambapo mkono wa serikali hauwezi kufika. NAPINGA KITENDO CHA KUWAUA WEZI KWA KUWACHOMA MOTO.
Tunao polisi, tunazo mahakama na tunayo magereza. Tuacheni vyombo vya Dola vifanye kazi yake.
 
ivi haiwekezan kuwakata tu viganja then watimke zao na ulemavu wa kujitakia!?
 
Hivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.

Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kachomwa na petrol muda huu ni noma Cha ajabu jamaa anakimbia na moto wake anataka kufa na mtu wakati alivyokua anaiba alikua peke yake bahati nzuri raia wakamdhibiti.
nI MWIZI KWELI?
 
Sera za kuchoma wahalifu moto ni kinyume na mafundisho ya dini yangu. Siwaungi mkono gen z. Mimi naamini ktk utendaji kazi wa vyombo vya Dola na vyombo vya sheria.
Tuna polisi, mahakma na magereza.
Mtu akikamatwa katenda uhalifu apelekwe polisi. Polisi watampeleka mahakamani na hakimu au jaji akiridhika kulingana na ushahidi kuwa mtuhumiwa ana hatia sheria itachukuwa mkondo wake.
Ila raia kujichukulia sheria mkononi na kuwachoma wezi moto na kuwaua mambo haya yatakiwa yasikike huko maporini ambapo mkono wa serikali hauwezi kufika. NAPINGA KITENDO CHA KUWAUA WEZI KWA KUWACHOMA MOTO.
Tunao polisi, tunazo mahakama na tunayo magereza. Tuacheni vyombo vya Dola vifanye kazi yake.
Unaonaje siku mtu akamatwe kaiba kariakoo halafu haya maneno uyaseme Kwa raia
 
Wananchi wenye hasira wanasikia mawaidha?! .
Hata hivyo kuna kisa kilitokea Tanga mjini kati ya mwaka 2013/14 hivi kijana mmoja alimpora mdada simu, alivyopiga kelele jamaa wakamkimbiza mwizi wakamkamata, wakampiga , wakamwagia petroli, ile wanatafuta kiberiti Kuna sheikh alikuwa anapita akawaambia " Mswalieni Mtume!, Watu wakaitikia : Allaahumma swalli wa Sallim aleyhi." Baada ya hapo hasira zilitulia na sheikh akawashauri yule mwizi wampeleke polisi, jamaa wakakubali na yule kijana mwizi akawa amepona baada ya kuwa Alisha mwagiwa petroli. Sasa kwa kuwa mji wa Tanga wakazi wake wengi ni waislamu na ambao wamelelewa malezi ya kuheshimu masheikh na maustadhi unaweza kuwapa mawaidha wakakuelewa. LAKINI KWA WANANCHI WA KARIAKOO HATA POLISI AKIJIPENDEKEZA WANAWEZA KUMPIGA PIA!.
 
Ndio maana nikasema kwanini haya mawaidha usiyaseme kariakoo mkuu Ili uokoe wezi wanaouwawa kwakuaumesema Allah apendi fanya siku ujitoe muanga Kwa ajili ya mwizi mkuu hata ukifa utakua umepata thwawabu Kwa allah
 
Hivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.

Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kachomwa na petrol muda huu ni noma Cha ajabu jamaa anakimbia na moto wake anataka kufa na mtu wakati alivyokua anaiba alikua peke yake bahati nzuri raia wakamdhibiti.
Hapana, pengine hiyo alopiga kele ndio mwizi mwenyewe.

Iliwah nitokea hii, jamaa kaniuzia Sabuni badala ya simu, nlipomshtukia kumdai, ananiita Mwizi.

Ghafla wakajaa, na wanaojaa ni wenzi wenzake.

Bahati nzuri kulikua na Maboda wameona like tukio, ndio ilikua pona yangu
 
Back
Top Bottom