Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Hapana, pengine hiyo alopiga kele ndio mwizi mwenyewe.

Iliwah nitokea hii, jamaa kaniuzia Sabuni badala ya simu, nlipomshtukia kumdai, ananiita Mwizi.

Ghafla wakajaa, na wanaojaa ni wenzi wenzake.

Bahati nzuri kulikua na Maboda wameona like tukio, ndio ilikua pona yangu
Aliopiga kelele kijana mdogo na Kwa muonekano kwao Kuna pesa na jamaa aliyechomwa moto sura yake ni ya wizi hauulizi mara mbili akipigiwa kelele nafikiri ushanielewa nikikuambia hauulizi mara Mbili
 
Sio haki mkuu na sio kwamba sijawahi kupigwa tukio. Ila ukiona wananchi wanajichukulia hatua inamaana mifumo ya kiulinzi na usalama ni mibovu.
Sidhani kama ni mfumo wa ulinzi, it is very personal ndiyo maana hata ukikimbilia Polisi haisaidii. CHADEMA kule Arusha wanawaomba wananchi wasiwaue wezi badala yake wawaue CCM eti kwa ripoti ya CAG, hawajui wasemalo, hawawajui Watanzania.
 
Waswahili wanakurupuka Sana hawapo logically

Kuna jamaa walimpiga mawe na kumuua kimchezo mchezo na hakuwa ameiba.

Wezi wanatabia ya kukuibia na kukuangushia jumba bovu

Hii imenipelekea kutoshiriki tukio lolote la kupiga mwizi maana Mimi MTU akiniibia lazima aliyeniibia apate matatizo makubwa Sana kuzidi hata huo moto wa kuchomwa au kufungwa jela.
 
Wewe itakua kibaka
 
Style hii ya wizi nimekutana nayo sana, kuna mmoja alinipokonya wallet nilimwitia watu mpaka akairudisha mwenyewe bahati nzuri aliondoka mapema
 
Ingawa wezi wanalostisha ila kumchoma mtu kwa kumhisi ni mwizi haijakaa poa.
Kuna watu wengi wapo magerezani kwa makosa Kama haya ya kuua na kuchoma moto wezi

Wezi hawafai kabisa kuwepo Ila ukiona watu wanaenda kuua usiende hilo eneo

Kuna mzee alikaa ndani miaka 7 kwa kuua wezi

Na wapo watu kibao wapo gerezani wana kesi za mauaji za kuua wezi

So logically inaweza kumfanya MTU kuwa safe hasa ktk kufata mkumbo
 
Mzee sisi tutawachoma sana acha wizi siku Yako yaja
 
Back
Top Bottom