Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Hao wanaojichukulia sheria kumchoma mtu moto eti wanauchungu wa kuibiwa simu au wallet wanashangaza. Tukiwaambia kuna hawa wanaotuibia mabilioni tuwakemee eti wanaona hayawahusu na hawana uchungu wowote.
Hivi wangekuwa na uchungu wa kweli na kuibiwa hawa kina Madelu wanaokwapua mabilioni na kutuletea ugumu wa maisha si wangewachoma moto na kusubiri nyama I've na kutafuna minofu yao kwa hasira kabisa?
Hiyo ni kazi ya gen z huko Nairobi sisi wa Tz hatuwezi hiyo kitu.
 
Wewe ndio hutumii akili unatumia mihemuko ,huwezi kuua kwa kila kosa unalofanyiwa hisia na hasira inapunguza uwezo wa kufikiri , wewe ndio hukoseagi? Be reasonable. Mtu yoyote anayeendekeza hasira hasira huyo akili kisoda
Akili zetu na ukomavu wetu unapimwa katika mambp mengi kubwa ni uwezo wetu wa kidhibiti hasira na kusamehe, grow up
Wewe ni jizi Sasa endelea mzee ipo siku Yako Haina jina
 
HONGERA sana kwa hilo. Pia muombe Mungu awaongoze watoto na wajukuu zako wasijejiingiza katika tabia za wizi na udokozi.
Ila ukweli watanzania wengi ni wezi.
Wengine ni waheshimiwa wakubwa wanaoshinda ndani ya suti nzitonzito lakini ni wezi wa raslimali za taifa huku wakijipangia mishahara minono.
Mimi hao sijawaona wakiiba nimemuona huyu wa Leo hao ni juu Yako wenye suti nzito usinilishe maneno
 
K
Kwa maswali yako dhaifu unauliza basi ni dhahiri wewe ni mwislam jina na mola mlezi hakutambui.

Kwa maswali yako dhoofu basi ni kielezo ya kwamba wewe hujasoma dini vyema na kuielewa.
Kweli kabisa sheikh, sharifu, maulana, Mufti mkuu Mimi mwanafunzi wako niko chini ya miguu yako , niambie SURATUL AL TAWRAT inapatikana juzuu ya ngapi na msahafu wa aina gani?!
Nifundishe Maallim wangu mkuu Mimi mwanafunzi sijui kitu ila Bado natafuta elimu na sisi tumeambiwa:
فاسألوا أهل الذكر إن كنتم لا تعلمون.
(Waulizeni watu wenye elimu ikiwa nyinyi hamjui) Mimi sijui chochote kuhusu Suratul Al tawrat Iko juzuu ya ngapi nifundishe sheikh wangu mkuu!.
 
Nasema endelea na wizi wako ipo siku Yako Haina jina utajichanganya Kwa raia wasioijua kesho yao
Akili kisoda umekosa malezi tu ,endelea na ukatili wako kutoa damu za watu , na ukapimwe akili ,inashangaza kuona binaadamu anafurahia mateso ya binaadamu mwenzake , ushetani tu umekujaa
 
Akili kisoda umekosa malezi tu ,endelea na ukatili wako kutoa damu za watu , na ukapimwe akili ,inashangaza kuona binaadamu anafurahia mateso ya binaadamu mwenzake , ushetani tubumekujaa
Nasema ipo siku Yako inakuja mwizi wewe unasababisha mama zetu wanakufa na presha ipo siku yako
 
Nasema ipo siku Yako inakuja mwizi wewe unasababisha mama zetu wanakufa na presha ipo siku yak
Punguza ulevi u r talking nonsense ,mrudie mungu wako huko unapoelekea utagombana na kila mtu, mwizi kaiba kariakoo wewe unatuletea habari ya mama kufa , r u ok upstairs?
 
Mimi hao sijawaona wakiiba nimemuona huyu wa Leo hao ni juu Yako wenye suti nzito usinilishe maneno
Haha haha haha 😆 😆 😆
Generation z kule Kenya walivyojua wavaaji wa suti nzito ndio wezi wakuu wanaofilisi raslimali za nchi yao wakaamua kwenda kuwachoma moto huko bungeni.
Waheshimiwa walivyohisi hatari wakatoka mbio kupitia milango ya dharura. Gen z wakachoma moto majengo ya bunge ili hao waheshimiwa warudi vijijini kwao kulima.
 
Back
Top Bottom