Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #81
Hao wamechoma mwizi wao na wewe kama unaona unaibiwa hayo mabilioni nenda kawachome kwani Kuna mtu kakukatazaHao wanaojichukulia sheria kumchoma mtu moto eti wanauchungu wa kuibiwa simu au wallet wanashangaza. Tukiwaambia kuna hawa wanaotuibia mabilioni tuwakemee eti wanaona hayawahusu na hawana uchungu wowote.
Hivi wangekuwa na uchungu wa kweli na kuibiwa hawa kina Madelu wanaokwapua mabilioni na kutuletea ugumu wa maisha si wangewachoma moto na kusubiri nyama I've na kutafuna minofu yao kwa hasira kabisa?