Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #61
Njoo pmntumie na mimi jmn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo pmntumie na mimi jmn
Washenzi sana nawajua Hawa jamaa wamesha sababisha watu kungongwa sana na magari hapa kariakoo sababu mtu akiibiwa anapagawaNa ilikuwa hela pekee nilibakiwa nayo mfukoni, bila kufanya namna ningerudi nyumbani kwa miguu😀
Pia nakukumbusha kwamba mtume صلى الله عليه و سلمKatika kitabu Cha suratul al tawrat kwenye Qur'an tukufu mola mlezi alikwisha kuandika katika amri zake ya kwamba usiibe. Naye atakaye Iba ni dhambi na halali yake akatwe vidole vya mikono na hata mwili ikiwa atarudia makosa hadhaa.
Ukitenda dhambi fahari yake ni maut basi watu wa mola mlezi jitahadharini. Allah Akbar.
Wewe itakua ni mwizi ila unajifichia kwenye dini sio siku Yako inakujaPia nakukumbusha kwamba mtume صلى الله عليه و سلم
amekataza kumuadhibu kiumbe chochote kwa kutumia moto.
Mtume katika hadithi sahihi anasema:
لا يعذب بالنار إلا رب النار
Asiadhibu kwa moto isipokuwa Mola wa moto kwa maana Allaah peke yake aliyeumba moto ndiye mwenye haki ya kuwaadhibu viumbe waliomkosea kwa kutumia moto.
Pia mtume kakataza kuua kwa mateso hata kama unayemuua ana haki ya kuuawa pale aliposema
فإذا ذبحتم فأحسنوا الذبحة وإذا قتلتم فأحسنوا القتلة.
Mkichinja chinjeni kwa wema na mnapoua ueni kwa wema na ameelekeza mtume mtu akitaka kuchinja ahakikishe kisu chake kina makali ya kutosha ili asitumie muda mrefu kumuumiza mnyama kabla hajafa. Kwahiyo kuwachoma wezi kwa moto ni kinyume kabisa na mafundisho ya uislamu.
Pale mtu anabeba hela kiasi chochote bila hofu ila izunguke mle mle kariakoo isitoke nje..Hiyo mwizi atakuwa mgeni,
Unaenda kuiba kko 😄
Ova
Wizi inakera ila kuchoma binaadamu moto kisa kuibiwa sio sawa its too harsh, kuna makosa kama kulawiti au kubaka watoto hapo ningeunga mkono maana ni kama kuuaHivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.
Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kachomwa na petrol muda huu ni noma.
S.Baba, hiyo suratul Altawrat Iko juzuu ya ngapi na ina Aya ngapi mkuu mbona wengine hatujawahi iona.??!! Ni kweli adhabu za wezi, majambazi na magaidi zimefafanuliwa katika sura kadhaa katika Quran ila hiyo surat al tawrat unatupiga na kitu kizito mkuu.
Unauonaje huyo mwizi akimuibia mtu halafu aliyeibiwa akafa kwa mshtuko wa presha kisa kuibiwa hiyo ni sawa etiWizi inakera ila kuchoma binaadamu moto kisa kuibiwa sio sawa its too harsh, kuna makosa kama kulawiti au kubaka watoto hapo ningeunga mkono maana ni kama kuua
Sikatai. Sidhani kama kuna mtanzania ana miaka 30 na hajawahi kuiba japo mia tano tsh 500/= Mimi na wewe sote ni wezi ila hatupendi wengine watuibie.Wewe itakua ni mwizi ila unajifichia kwenye dini sio siku Yako inakuja
Kama mwizi ni wewe mkuu Mimi nimekulia maadali Bora sijawahi kuiba Cha mtu na wazazi wangu walikua wanajitosheleza vizuri sana kunihudumiaSikatai. Sidhani kama kuna mtanzania ana miaka 30 na hajawahi kuiba japo mia tano tsh 500/= Mimi na wewe sote ni wezi ila hatupendi wengine watuibie.
Nilichokiandika hapo ni mafunzo ya dini inavyotaka sasa ukiamini ni sawa na ukikataa pia hulazimishwi, tumrudie Mungu tutubie kwake, atatusamehe yale mabaya tuliyoyafanya zamani.
Hata Alex Masawe alisilimu huko nchini Dubai na sasa ni muislamu safi kabisa , mambo ya ujambazi kaachana nayo.
Mwenyewe juzi niliibiwa kwenye bajaji najitu ambalo hata sikujua limeingiza mda gani mkono wake mfukoni, lilllazimisha likae siti ya kati kisha likashuka mbele tu hapo umbali wa kutmbea kwa mguu. Kuji search limeondoka na laki na sitini. Nitaliwekea mtego moto ulihusu, shenzi yakeHivi wadau kumbe style ya wizi wa kizamani ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.
Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kachomwa na petrol muda huu ni noma.
Huo utakuwa ni udhaifu wa mtu ila huwezi kuchoma mtu moto kisa amekuibia, hiyo adhabu ni kubwa sana hata kwa sheria za mungu mfano zamani mtu anakatwa mkono sasa hizi habari za kuua kisa umeibiwa siyo sawa tuache ukatili kwa binaadamu wenzetuUnauonaje huyo mwizi akimuibia mtu halafu aliyeibiwa akafa kwa mshtuko wa presha kisa kuibiwa hiyo ni sawa eti
Jinga sana wewe inaonekana ni jizi yaani mtu afe kisa jizi limemuibia halafu useme udhaifu wa mtu shenzi asingemuibia angepata presha Kwa huo mdaHuo utakuwa ni udhaifu wa mtu ila huwezi kuchoma mtu moto kisa amekuibia, hiyo adhabu ni kubwa sana hata kwa sheria za mungu mfano zamani mtu anakatwa mkono sasa hizi habari za kuua kisa umeibiwa siyo sawa tuache ukatili kwa binaadamu wenzetu
Nayo itengenezewe mazingira ipigwe kiberiti tu. Hiyo ndio inafanya hawa wa Kariakoo wawepo.Kuna ile mijizi mingine inalindwa na askari
Hahaha ehe masawe kawa msafiSikatai. Sidhani kama kuna mtanzania ana miaka 30 na hajawahi kuiba japo mia tano tsh 500/= Mimi na wewe sote ni wezi ila hatupendi wengine watuibie.
Nilichokiandika hapo ni mafunzo ya dini inavyotaka sasa ukiamini ni sawa na ukikataa pia hulazimishwi, tumrudie Mungu tutubie kwake, atatusamehe yale mabaya tuliyoyafanya zamani.
Hata Alex Masawe alisilimu huko nchini Dubai na sasa ni muislamu safi kabisa , mambo ya ujambazi kaachana nayo.
Ulishawahi kuingia kwenye 18 za wezi wakasomba kila kilicho chako? au chochote cha muhimu kwako?Kwanini wamuue
Kila anayekosea angekuwa anauliwa sidhani kama Dunia ingekuwa na aatu