Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
nitumie video pmHivi wadau kumbe style ya wizi Ile ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee Leo Kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa kariakoo kamgusa mtu sijui alishasahi kuibiwa si ndio kamstukia kamwitia mwizi aisee jamaa kaunguzwa mda huu ni noma ningeweka video sema Sheria za jamii forum zinakataza
Sijui na yeye kwanini aibeKwanini wamuue
Kila anayekosea angekuwa anauliwa sidhani kama Dunia ingekuwa na aatu
Watu wameamka saa kumi na moja alfajiri harafu wanarudi saa tano usiku ndio wapo home kwa mapambano hayo kuuawa kawaida tu ukisumbua Wananchi wenye hasira kali.Kwanini wamuue
Kila anayekosea angekuwa anauliwa sidhani kama Dunia ingekuwa na aatu
We mbona unatembea na wake za watu, mnafiki, chuki, uchoyo n.kSijui na yeye kwanini aibe
Bado sijakamatwa nikkamatwa na Mimi nipewe haki stahikiWe mbona unatembea na wake za watu, mnafiki, chuki, uchoyo n.k
Huyo Mwizi ni lazima tu atakuwa Shabiki Tukuka wa Yanga SC.Hivi wadau kumbe style ya wizi Ile ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee Leo Kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kaunguzwa muda huu ni noma
DuuhHuyo ni lazima tu atakuwa ni Shabiki Tukuka wa Yanga SC.
Sisi waungwana tukikamata tunakuonya tunakupa muda wa kujirekebishaBado sijakamatwa nikkamatwa na Mimi nipewe haki stahiki
Vizuri mwambie mkeo aibe kariakoo mkuu mbali na kituo Cha polisi msimbaziAngekua mwizi mwanamke asingechomwa
wanawake 50 -50 is just theoretical
Wezi sio watu wazuri siwapendi maana walishawahi kunipiga tukio lakini hii ya kuwachoma moto naona sio sahihi. Jeshi la police linatakiwa kufanya kazi yake.Hivi wadau kumbe style ya wizi Ile ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.
Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kaunguzwa muda huu ni noma.
Angekua mwizi mwanamke asingechomwa
wanawake 50 -50 is just theoretical
Duuh basi wataisha aiseeMashabiki wa Utopolo wanaiba saaana siku hizi wakanunue jezi
Hiyo Mijanja Sasa mtu anaiba kariakoo hata askali hamna si kujitafutia kifoKuna ile mijizi mingine inalindwa na askari