Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At the end of the day hakuna jipya chini ya jua hata akimuanika hakuna atakachopata na hata akipata hatodumu nacho...Watu wengine wanakuwa na elimu na vyeti lkn huyo wanaemuita bashite afadhali kuliko wao,very stupidAkishamuanika anafaidika nini? Ujinga mwingine bwana, hivi watu wa IT hawana cha kujivunia zaidi ya kuiba account za watu? Ujinga tu
Heee[emoji28]John Ulabu Mafunguo.
najua serikali inahaha kudukua account ya mange ili wakamate wavujishaji wa siri hivyo huyu jamaa acheze na fursa,Dogo akil ming apewe kazi tcra
Napita jamanihahahahaha mkuu naona unahasira sana ila kutaja jina la hyo mbwa hapa naona kama unampaishaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]