Mwizi wa account ya Star wa Bongo SHAMSA FORD Atishia Kuanika maovu ya Mastar wa Bongo.

Mwizi wa account ya Star wa Bongo SHAMSA FORD Atishia Kuanika maovu ya Mastar wa Bongo.

ngoja kwanza usitutoe nje ya mada.

Tupo busy na Bashite.
 
Akishamuanika anafaidika nini? Ujinga mwingine bwana, hivi watu wa IT hawana cha kujivunia zaidi ya kuiba account za watu? Ujinga tu
At the end of the day hakuna jipya chini ya jua hata akimuanika hakuna atakachopata na hata akipata hatodumu nacho...Watu wengine wanakuwa na elimu na vyeti lkn huyo wanaemuita bashite afadhali kuliko wao,very stupid
 
Back
Top Bottom