Mwizi wa account ya Star wa Bongo SHAMSA FORD Atishia Kuanika maovu ya Mastar wa Bongo.

Mwizi wa account ya Star wa Bongo SHAMSA FORD Atishia Kuanika maovu ya Mastar wa Bongo.

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Mwizi anaejisifia kwa kujiita (Super hacker) Ameiba account ya Star wa Bongo Movie Shamsa Ford amabapo jina la account hyo kwa sasa amelibadilisha na kujiita @umerikoroga utalinywa mwenyewe amepost Tañgazo akidai anataka kuibua maovu yote alioyaona katika Dm yaan sehem ya ujumbe binafsi ya Mwanadada huyo na amedai hivyo atafanya hivyo kama fundisho kwa Master wengine ambao wanatumia mitandao ya kijamii katika mawasiliano yasiyo mazuri.

Mwizi hiyo amejizolea umaarufu gafla katika account hyo ambae yupo hewan mda wote akijibizana na baadhi ya watu waliokuwa wamefuata ukurasa huo wa mwanadada Shamsa Ford.

Mwzi huyo alieiba account ya Shamsa Ford kwa sasa ameigeuza account hyo katika kuitumia katika maswala ya kisiasa huku akiwa ameipatia jina mpya na utambulisho mpya ambapo ameandika bandiko lake (stotus) kuwa "mpole kama unanyolewa" Amezid kutumia account hyo katika matumizi yake binafsi huku akitishia kila anaemjibu vbaya kuwa atamwibia account yake.

c66efa6100d2f6285d275b346dbb10be.jpg
 
Halafu huyu John kumbe naye lofa hivi? Nimeshaanza kupoteza imani nae.
 
dw
 

Attachments

  • 17458160_1513249255387063_5431324974997935766_n.jpg
    17458160_1513249255387063_5431324974997935766_n.jpg
    71.8 KB · Views: 37
Back
Top Bottom