Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Sheria za mtando haziniruhusu mkuu kutuma picha hapa maana jamaa anapigika vibaya sana mda huuKapicha kidogo mkuu! Rai yangu kwa raia tuache kujichukulia sheria mkononi, tuna vyombo vya ulinzi kama polisi ndivyo vina haki na wajibu wa kutoa adhabu kwa mtuhumiwa yeyote yule nchini.
Haujawai kuibiwaKapicha kidogo mkuu! Rai yangu kwa raia tuache kujichukulia sheria mkononi, tuna vyombo vya ulinzi kama polisi ndivyo vina haki na wajibu wa kutoa adhabu kwa mtuhumiwa yeyote yule nchini.
Hatari mkuuAlitesa mara 39 ila Leo ndio arobaini yake imefika.
Huyo atakuwa ni Shabiki tu Tukuka wa Yanga SC, kwani hao ndiyo Wezi Waandamizi Kariakoo nzima, Mchikichini na Ilala.Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
wewe Shooter Again si ndo wewe ulituaga kuwa unaenda kongo kulinda amani jimboni goma, umerudi lini na kwa nini ulirudi.Jamaa sijui hawakomi aisee anapigika vibaya sana
Anza kuwaambia hao wezi ndo wanaanza kujichukulia sheria mkononi. Sijui kwañini unaona raia tuu ndo wanachukua sheria mkononi nyie wezi mnapoiba mnakuwa hamchukui sheria mkononi.Kapicha kidogo mkuu! Rai yangu kwa raia tuache kujichukulia sheria mkononi, tuna vyombo vya ulinzi kama polisi ndivyo vina haki na wajibu wa kutoa adhabu kwa mtuhumiwa yeyote yule nchini.
Wamtie moto tuhAisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
shabiki wa simba aliyekosa nauli ya kwenda kwao nanjilinji akaamua aibe, tff unaona hasara ya kuahirisha mechi ?Huyo atakuwa ni Shabiki tu Tukuka wa Yanga SC, kwani hao ndiyo Wezi Waandamizi Kariakoo nzima, Mchikichini na Ilala.
Tuma picha mkuu,wamuue haraka mbwa huyo!Jamaa sijui hawakomi aisee anapigika vibaya sana
Huyo mwizi na ccm awana tofauti waue tu ...wapate baraka za allahAisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
mimi sio mwizi tafadhari,ni raia mwema na mlipa kodi wa nchi hii. Nina biashara zangu ambazo nina TIN namba ambayo nalipia 1m kila mwaka,nina lipia mapato ya halmashauri yangu na kila nikiagiza mzigo nadai rist halali kwa muuzaji. thibitisha wizi wangu.Anza kuwaambia hao wezi ndo wanaanza kujichukulia sheria mkononi. Sijui kwañini unaona raia tuu ndo wanachukua sheria mkononi nyie wezi mnapoiba mnakuwa hamchukui sheria mkononi.