Mwizi wa simu anaepigwa hapa kariakoo mda huu ni hatari sana

mimi sio mwizi tafadhari,ni raia mwema na mlipa kodi wa nchi hii. Nina biashara zangu ambazo nina TIN namba ambayo nalipia 1m kila mwaka,nina lipia mapato ya halmashauri yangu na kila nikiagiza mzigo nadai rist halali kwa muuzaji. thibitisha wizi wangu.
kwahyo m1 umeiona kubwa mpka umeindika 🤣🤣🤣🤣🤣 kahela ka supu hako🤣🤣🤣🤣🤣 mwaka mzima unalipa 1m unaliali mtandaoni dah maelezo kibao
 
Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
Huyu inawezekana ndio aliyewahi kunipiga simu yangu hapo kariakoo,maana pamoja na kuwa niliweka kwenye mfuko wa shati na ulikuwa umebana,mwamba aliichomoa bila hata kunigusa...
 
Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
Acha umbea
 
Mwaka jana nilipishana nae sim kumbe kishabeba katokea jamaa mmoja hivi kumbe kamuona bhn alooo kamwambia mpe sim yake uyo jamaa apa apo nipo na mzzigo wa kutosha mfukoni hakuliwaza ilo wala nini😆😆😆nikamwambia nakuitia mwizi jamaa kasema msamehe kwani Hawa wamesomea
 
Kapicha kidogo mkuu! Rai yangu kwa raia tuache kujichukulia sheria mkononi, tuna vyombo vya ulinzi kama polisi ndivyo vina haki na wajibu wa kutoa adhabu kwa mtuhumiwa yeyote yule nchini.
Bora washauri wezi waache kujichukulia mali za watu.
Acha tu wananchi wamalize kazi sababu hakuna namna
 
Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
Kwenye matukio kama hayo ya mob justice mistaken identity Huwa ni nyingi Sana. Mara nyingi kutokana na msongamano aliyefanya tukio hijichanganya na kwa wenge la aliyeibiwa akigeuka akikutana na mshba mshamba anasema ndio huyo. Au mara nyingine mwizi anampigia kelele aliyemuibia unakuta watu wakija Wala hawaulizi wala.luchunguza wao ni kuanza kupiga na Kila kitu walichokuwa nao. Damu za vijana wapole ,wageni na wasio na hatia zimemwagika.sana kwa.mfumo.huu
 
Kapicha kidogo mkuu! Rai yangu kwa raia tuache kujichukulia sheria mkononi, tuna vyombo vya ulinzi kama polisi ndivyo vina haki na wajibu wa kutoa adhabu kwa mtuhumiwa yeyote yule nchini.
Mwizi ni wa kuchoma moto kama hutaki kero usiibe, ukinusurika bas utapata haki yako ukiwa tayar mlemavu wa maisha
 
Back
Top Bottom