kwahyo m1 umeiona kubwa mpka umeindika 🤣🤣🤣🤣🤣 kahela ka supu hako🤣🤣🤣🤣🤣 mwaka mzima unalipa 1m unaliali mtandaoni dah maelezo kibaomimi sio mwizi tafadhari,ni raia mwema na mlipa kodi wa nchi hii. Nina biashara zangu ambazo nina TIN namba ambayo nalipia 1m kila mwaka,nina lipia mapato ya halmashauri yangu na kila nikiagiza mzigo nadai rist halali kwa muuzaji. thibitisha wizi wangu.
😂😂😂 Kasongo weeee bolinga nanga.. kasongo mbonawewoo mbonawewoooo....wewe Shooter Again si ndo wewe ulituaga kuwa unaenda kongo kulinda amani jimboni goma, umerudi lini na kwa nini ulirudi.
Naunga mkono hoja.Naomba wafanye haraka kazi ya kumpeleka mbinguni mwizi na mchawi hawafai kuishi
Jf ni msitu zaidi ya Amazonwewe Shooter Again si ndo wewe ulituaga kuwa unaenda kongo kulinda amani jimboni goma, umerudi lini na kwa nini ulirudi.
Huyu inawezekana ndio aliyewahi kunipiga simu yangu hapo kariakoo,maana pamoja na kuwa niliweka kwenye mfuko wa shati na ulikuwa umebana,mwamba aliichomoa bila hata kunigusa...Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
Acha umbeaAisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
Mkuu we ni mwizi?Acha umbea
Duuh hatariHuyu inawezekana ndio aliyewahi kunipiga simu yangu hapo kariakoo,maana pamoja na kuwa niliweka kwenye mfuko wa shati na ulikuwa umebana,mwamba aliichomoa bila hata kunigusa...
Ndio mkuu... japo sio kiviiiileMkuu we ni mwizi?
Mwaka jana nilipishana nae sim kumbe kishabeba katokea jamaa mmoja hivi kumbe kamuona bhn alooo kamwambia mpe sim yake uyo jamaa apa apo nipo na mzzigo wa kutosha mfukoni hakuliwaza ilo wala nini😆😆😆nikamwambia nakuitia mwizi jamaa kasema msamehe kwani Hawa wamesomeaAisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
Bora washauri wezi waache kujichukulia mali za watu.Kapicha kidogo mkuu! Rai yangu kwa raia tuache kujichukulia sheria mkononi, tuna vyombo vya ulinzi kama polisi ndivyo vina haki na wajibu wa kutoa adhabu kwa mtuhumiwa yeyote yule nchini.
Kwenye matukio kama hayo ya mob justice mistaken identity Huwa ni nyingi Sana. Mara nyingi kutokana na msongamano aliyefanya tukio hijichanganya na kwa wenge la aliyeibiwa akigeuka akikutana na mshba mshamba anasema ndio huyo. Au mara nyingine mwizi anampigia kelele aliyemuibia unakuta watu wakija Wala hawaulizi wala.luchunguza wao ni kuanza kupiga na Kila kitu walichokuwa nao. Damu za vijana wapole ,wageni na wasio na hatia zimemwagika.sana kwa.mfumo.huuAisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
BONGO Maisha magumu,Jamaa sijui hawakomi aisee anapigika vibaya sana
Kumbeee ndio zakooo ehwewe Shooter Again si ndo wewe ulituaga kuwa unaenda kongo kulinda amani jimboni goma, umerudi lini na kwa nini ulirudi.
Mwizi ni wa kuchoma moto kama hutaki kero usiibe, ukinusurika bas utapata haki yako ukiwa tayar mlemavu wa maishaKapicha kidogo mkuu! Rai yangu kwa raia tuache kujichukulia sheria mkononi, tuna vyombo vya ulinzi kama polisi ndivyo vina haki na wajibu wa kutoa adhabu kwa mtuhumiwa yeyote yule nchini.