Mwizi wangu namjua, nipeni mbinu za kumkamata

Mwizi wangu namjua, nipeni mbinu za kumkamata

Mfanyabiashara anaefungua mzigo adi Dubai anaiba simu? au sasa unaweza kusema kua ni mtu wa aina gani ili nikupe mbinu.
Je hapo mlipokutana ni ugenini kwa wote? make mlipiga stori kabla.
Je ukimpata unataka kufanyeje..
Jamaa mimi mwenyewe simwelewi ame mu itroduce mfanyabishara anaefunga mzigo Dubai anakuaje mwizi hii chai kbsaaa 🤣🤣🤣
 
Wew ni mfano wa ng’ombe wa kijiji kila mmoja ata kukamua ukikatisha juu ya macho yao.

Brother kunivitu vingi vya kufanya kabra aujumuamini mpita njia tena uliekutana nae kwenye kiza kinene, mkisindikizwa na pombe za kutoka ughaibuni kwa jina la vijana wa tips wanaita (import)...
Pole na karibu Mjini..

Hukuwekewa dawa nahisi ni tishu ndo ilikufanya ukazima kama mshumaa ....
Maelezo kidogo hapo mstari wa mwisho.
 
Back
Top Bottom