PreGE2025 Mwl. Mbelwa Petro: CHADEMA wanasadifu harakati za mnyama pimbi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkweliii

Member
Joined
Apr 15, 2025
Posts
16
Reaction score
5
"CHADEMA wana harakati kama za mnyama pimbi, unawakuta juzi wanaimba NO HATE, NO FEAR!, jana wanaimba JOIN THE CHAIN!, leo wanaimba STRONGER TOGETHER!, kesho utawakuta wanaimba NO REFORM, NO ELECTION!, na bangi za Lema zikikolea kichwani anaanza kuwaimbisha wanachama TONE TONE mara NIMO!

CHADEMA hakuna mkakati unaokamilika na kuleta matokeo, ni chama kinachokosa consistencies katika mikakati, chama kwa sasa kinaendeshwa kwa stimu."

Mwl. Mbelwa Petro, akiwa anapokelewa na Makamu Mwenyekiti CCM Taifa Stephen Wasira, 25 Machi, 2025 mkoani Kagera.
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 

Attachments

  • FB_IMG_1743955210578.jpg
    32.6 KB · Views: 35
hajui dunia uyu ,
 
Gentleman kwahiyo,
kwa kifupi mwalimu mbelwa ana maanisha Chadema ni mapimbi right?🐒
 
Hiyo chadema ya hayo ma-slogans ilikuwa ya yule con artist, msugua santuri.
 
Kweli CHADEMA imewashika pabaya sana.. Maana si kwa mipasho hii na hizi multiple IDS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…