Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Sasa ikiwa huamini BIBLIA umefuata nini kwenye Uzi huu ambao msingi wa yaliyoandikwa katika Uzi huu ni neno la Mungu ?
It's a free forum, hebu tumia akili(common sense) japo kidogo.
Discussions za 'neno la Mungu' as you've described it ni kwa wanaoliamini na wasioliamini to balance the arguments.
 
Tumia akili roho ni spirit kwa kiswahili ni ROHO kwa kidini ni SPIRIT kwa kisayansi ni ENERGY....usichanganye mambo NASFI ni ufahamu wa kujitambua ndiyo nafsi ....mara nyingi watu wanachanganya roho na nafsi ...vitu vyote ni roho hata mungu ni roho na ufalme wake wote ni roho ...ufalme wa mungu na vitu vyote na uwezo wote na nguvu xote na uzima wote nk...hivyo neno SPIRIT NDIYO KILA KITU HAKUNA KISICHUKUWA SPIRIT YAANI ENERGY
 
It's a free forum, hebu tumia akili(common sense) japo kidogo.
Discussions za 'neno la Mungu' as you've described it ni kwa wanaoliamini na wasioliamini to balance the arguments.
Siri za Mungu kupitia neno lake hazifunuliwi kupitia common sense!
 
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuhusu siku ya kiama alisema πŸ‘‰hata mwana hajui ila baba ....wanafunzi wake wakadhani kasema yeye ajui siku ya kiama wakaacha kumsumbia kwa kumuuliza uliza kumbe maana ya yale maneno ya Yesu kuwa mwana hajui alimaanisha mwili haujii ila baba ( yaani nafsi inajua) kasome upya injili yote kwa kutumia fafanuzi nilizo kupa utajua ukweli wa haya ninayo kuambia na utajua kuwa injili imenyoka....vizuri sana sema watu mmeshindwa kujua Yesu na Mungu na Roho Mtakatifu ni nini?
 
INNA LILAH WAINNA ILAIH RAGIUN msiba mkubwa huu AISEE..

Kwahyo Nabii MUSSA ulimuona na ukamtambua,, AISEE πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
INNA LILAH WAINNA ILAIH RAGIUN msiba mkubwa huu AISEE..

Kwahyo Nabii MUSSA ulimuona na ukamtambua,, AISEE πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kati ya kupanda farasi mweupe na Tesla car kiukweli kabisa nachagua Tesla, farasi unafika kiuno kiko hoi huku wife anakusubiri.
Teknolojia yote na na umbuzi Duniani ni tone tu la vitu vilivyomo Mbinguni,

Malaika walioasi walicopy baadhi na kuwapa WANADAMU, ndipo ujiulize vingapi vilivyo Mbinguni visivyokuwepo duniani.

Ungebadili Hilo Jina ungeaanza kuwa na akili kidogo.
 
INNA LILAH WAINNA ILAIH RAGIUN msiba mkubwa huu AISEE..

Kwahyo Nabii MUSSA ulimuona na ukamtambua,, AISEE πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ninakubaliana na mwalimu(Rabbon inamaanisha mwalimu) mleta mada. Mbingu ni halisi. Mbingu ipo.

Mungu ( Yesu Kristo) kwa uwezo mkubwa alionao , anaweza kujibadilisha na kuonekana katika maumbo mengi tofauti tofauti.

Swali muhimu la kujiuliza ni Je, Yesu Kristo ni beberu kama beberu wa Daniel 8:5 au Yesu Kristo ni mwanakondoo kama mwanakondoo wa ufunuo 5:6-7. Yesu Kristo ni nani ?

Kwa uelewa wangu mdogo naona Beberu wa Daniel 8:5 ndiye yule anaye tajwa katika Biblia kuwa anaketi katika kiti cha enzi . Beberu wa Daniel 8:5 ndiye yeye anayeketi katika kiti cha enzi. Ile pembe iliyopo katikati ya macho yake ni jicho la tatu.

Mwanakondoo wa ufunuo 5:6-7 aliyechinjwa ni Yesu Kristo aliyesulubiwa msalabani.Mwanakondoo aliyechinjwa ni nyota ya mashariki.Kwenye astrology( kama mama jusi wale walioiona nyota ya mashariki) , nyota ya mashariki ni sawa sawa na jicho la tatu. Lakini naona mwanakondoo aliyechinjwa ni jicho la tatu la mkono wa kulia( left-brain) .

Na Beberu wa Daniel 8:5 ana jicho la tatu la mkono wa kushoto( right-brain).

Swali zaidi , Yesu Kristo ndiye Mungu mwenyewe anayeketi kwenye kiti cha enzi , Yesu Kristo ndiye beberu wa Daniel 8:5 ? Je , yeye anayeketi kwenye kiti cha enzi ndiye aliyejibadilisha kuwa nyota ya mashariki ( mwanakondoo) ili awakomboe wanadamu right-handed ambao ndio 99% ya watu duniani ?
 
INNA LILAH WAINNA ILAIH RAGIUN msiba mkubwa huu AISEE..

Kwahyo Nabii MUSSA ulimuona na ukamtambua,, AISEE πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Hata mudi ukienda kuzimu utamkuta na kutambua, maana Roho inajua yote.
 
Ndani ya BIBLIA hakuna kitu kinaitwa jicho la tatu.

Kina macho ya Roho mawili.
 
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa.

Na Bado mtapigwa sn AISEE πŸ˜„πŸ˜
Endelea kukaa gizani ukimtumainia mganga na visomo vya majini ,mwisho wa hayo ni kuzimu.
 
Kwa wale wasiotaka kwenda mbali Yesu amerahisisha unaweza kuonana naye hapa bongo kupitia Neno katika matayo 25:35-40 kirahisi.
 
Ndani ya BIBLIA hakuna kitu kinaitwa jicho la tatu.

Kina macho ya Roho mawili.
Hayo macho yako mawili ya nyama ukiyabadilisha kuwa macho ya Roho , yatakudanganya. Jicho la tatu lipo whether you like it or not.
 
Kwa wale wasiotaka kwenda mbali Yesu amerahisisha unaweza kuonana naye hapa bongo kupitia Neno katika matayo 25:35-40 kirahisi.
Ukisoma NENO la Mungu Kwa Roho, utaisikia sauti yake dhahiri akisema nawe kupitia neno lake.

Ndio maana hayupo awwzaye kusoma BIBLIA akaimaliza na kuelewa yote,

Kila siku ni mpya, same verse ukisoma Leo utapata ufunuo wa Leo, ukija kusoma kesho kutwa utapata ufunuo mpya zaidi na zaidi.

Ubarikiwe Kwa kuliona Hilo.
 
Hayo macho yako mawili ya nyama ukiyabadilisha kuwa macho ya Roho , yatakudanganya. Jicho la tatu lipo whether you like it or not.
Kwa kuwa jicho la tatu halipo kimaandiko,

Hayo ni mafundisho ya WANADAMU na mashetani hivyo Wana wa Mungu hatupaswi kuyafuata.

Macho ya MWILI hayabadulisgwi kuwa ya Roho,

Ila mtu wa ndani ambaye ni wewe, Roho ana macho mawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…