Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Majibu yako ni "nilitaka kukwambia" haya bwana mwanatheolojia na huyo Mungu wako ambae anaweza kujaribiwa na kiumbe ambacho amekiumbe mwenyewe alafu eti kimwambie "Mali zote za ulimwengu nitakupa ukiinamana kunisujudu" ni aina flanu mtazamo wa kiazimu hivi.

But to me, God is a living entity greater than Jesus.

And the idea that "GOD BECAME A MAN IN JESU" is a very late idea.

Mungu ni Mungu na wala hajawahi kugeuka kuwa Yesu.

Kitu pekee kipya ambacho nimekuja kukigundua hivi karibuni kutokana na kusoma biblia ni kwamba, Yesu ni kana kwamba maisha yake hayakuanzia duniani.

Ni kiumbe ambacho kilishakuwepo mbinguni mda tu na kilikuwa kikiishi huko kabla kuja duniani kuzaliwa na kuishi kama mtu.

Hii haina maana kuwa kuwa kuishi kwake mbinguni ndiyo alikuwa Mungu, hapana

Bali alikuwa tu na uhusiano wa karibu na Mungu kuliko hata malaika.

Ndiyo maana baadhi ya wanatheolojia wameenda mbali zaidi na kusema kuwa, Mungu kabla kuumba kitu chochote kile, alimuumba mwanae wa pekee Yesu kristo kwanza kabla ya kuumba chochote kile.

Then baada ya hapo ndipo akawaumba malaika na vitu vingine vilivyofata.

Ngoja tu niishie kwanza hapa, kwa sababu at the end of the day siku ya kiama tutahukumiwa kwa DHAMBI na wala si kwa sababu uliamini Yesu ni Mungu au Siyo Mungu, wala si kwa sababu uliamini ukristo au uislam.

Tutaenda kuhukumiwa kwa dhambi zetu wala si kwa dini zetu.

Na Uzuri dini zote tatu za Ibrahim (Ukristo,uislamu na uyahudi/Judaism) zinakataza maovu ambayo kwa kiasi yanafanana kwa imani zote tatu.

Ndiyo maana mimi naonaga anae ona ukristo ni dini isiyo ya haki au Islam ni dini isiyo ya haki ni anajihemkisha kidini tu.

Ila Mungu hajawahi kuwa fala kama sisi wanadamu, anajua vizuri tu mgawanyiko wa hizi dini hadi na madhehebu yake, na huenda ni mango wake wa maksudi kabisa ili tu muitafte kweli vizuri, tofauti na mngekuwa dini moja tu dunia nzima huenda mngekuwa mafala zaidi.

Ni kama tu mnara wa babeli Mungu alipo uangusha alafu kesho yake kila mtu akaamka anaongea lugha yake,hakuna anamwelewa mwenzie na umoja wao ukaishia hapo.

Probably hata huku kwenye mgawanyo wa dini na madhehebu huenda ni strategy ya Mungu kukufanya wewe ujaribu kumtafta kwa biidi zaidi na kueneza habari zake.

Angalia wale wanafunzi 12 wa Yesu walivyo tawanyika baada ya Yesu kupaa.

Wengine wakaenda ulaya huko kama kina petro na Paulo sijui, wengine wakaja Africa (Ethiopia) lengo kueneza habari za Mungu.

Unadhani wangebaki pale pale middle Eastern countries huko kwingine duniani watu wangemjuaje Mungu.
Mbona mungu kajaribiwa sana tu au usomi dini ...hata wewe unaweza kumjaribu mungu ila kuna hatari ya dhambi
 
Ningekuletea uzi ambao niliwauliza wakristo kwanini yesu alijalibiwa majaribu 3 nini maana yake ...yale majatibu matatu ni ufunuo wa njia 3 za ibilisi kumwangusha mwanadamu ...kuna siku nilimsikia shekh anasema kuwa shetani umwangusha mwanadamu kwa njia mbili ...nikajua huyo shekh naye kashindwa kujua njia ya 3 ambayo shetani anamwangusha mwanadamu ...sasa nakushauri kasome upya yale majaribu kwa kutumia akili utagundua kitu ndani yake .....
Yule shekh alipatatia kuzitaja njia mbili za shetani kumwangisha mtu dhambini nazo ni
1) matamanio
2)madhira
3)....................jibu kama unayo akili

Majibu yako ni "nilitaka kukwambia" haya bwana mwanatheolojia na huyo Mungu wako ambae anaweza kujaribiwa na kiumbe ambacho amekiumbe mwenyewe alafu eti kimwambie "Mali zote za ulimwengu nitakupa ukiinamana kunisujudu" ni aina flanu mtazamo wa kiazimu hivi.

But to me, God is a living entity greater than Jesus.

And the idea that "GOD BECAME A MAN IN JESU" is a very late idea.

Mungu ni Mungu na wala hajawahi kugeuka kuwa Yesu.

Kitu pekee kipya ambacho nimekuja kukigundua hivi karibuni kutokana na kusoma biblia ni kwamba, Yesu ni kana kwamba maisha yake hayakuanzia duniani.

Ni kiumbe ambacho kilishakuwepo mbinguni mda tu na kilikuwa kikiishi huko kabla kuja duniani kuzaliwa na kuishi kama mtu.

Hii haina maana kuwa kuwa kuishi kwake mbinguni ndiyo alikuwa Mungu, hapana

Bali alikuwa tu na uhusiano wa karibu na Mungu kuliko hata malaika.

Ndiyo maana baadhi ya wanatheolojia wameenda mbali zaidi na kusema kuwa, Mungu kabla kuumba kitu chochote kile, alimuumba mwanae wa pekee Yesu kristo kwanza kabla ya kuumba chochote kile.

Then baada ya hapo ndipo akawaumba malaika na vitu vingine vilivyofata.

Ngoja tu niishie kwanza hapa, kwa sababu at the end of the day siku ya kiama tutahukumiwa kwa DHAMBI na wala si kwa sababu uliamini Yesu ni Mungu au Siyo Mungu, wala si kwa sababu uliamini ukristo au uislam.

Tutaenda kuhukumiwa kwa dhambi zetu wala si kwa dini zetu.

Na Uzuri dini zote tatu za Ibrahim (Ukristo,uislamu na uyahudi/Judaism) zinakataza maovu ambayo kwa kiasi yanafanana kwa imani zote tatu.

Ndiyo maana mimi naonaga anae ona ukristo ni dini isiyo ya haki au Islam ni dini isiyo ya haki ni anajihemkisha kidini tu.

Ila Mungu hajawahi kuwa fala kama sisi wanadamu, anajua vizuri tu mgawanyiko wa hizi dini hadi na madhehebu yake, na huenda ni mango wake wa maksudi kabisa ili tu muitafte kweli vizuri, tofauti na mngekuwa dini moja tu dunia nzima huenda mngekuwa mafala zaidi.

Ni kama tu mnara wa babeli Mungu alipo uangusha alafu kesho yake kila mtu akaamka anaongea lugha yake,hakuna anamwelewa mwenzie na umoja wao ukaishia hapo.

Probably hata huku kwenye mgawanyo wa dini na madhehebu huenda ni strategy ya Mungu kukufanya wewe ujaribu kumtafta kwa biidi zaidi na kueneza habari zake.

Angalia wale wanafunzi 12 wa Yesu walivyo tawanyika baada ya Yesu kupaa.

Wengine wakaenda ulaya huko kama kina petro na Paulo sijui, wengine wakaja Africa (Ethiopia) lengo kueneza habari za Mungu.

Unadhani wangebaki pale pale middle Eastern countries huko kwingine duniani watu wangemjuaje Mungu.
Maswali yako niya kijinga shetani anaweza kumjaribu yoyote hata wewe unaweza kumjaribu mungu hata kumtukana ...je nikikuuliza na mimi maswali ya kipumbavu kama yako mfano umesema mungu ni mungu tu ni mkuu sana awezi kujaribiwa je mbona mtu yoyote anaweza kumtukana huyo mungu mkuu unaye msema wewe hata sasa...je kama mungu mkuu hivyo anatukanajwe na viumbe vyake ....? Ni sawa na swali lako la kujaribiwa kwa yesu ...ni watu wangapi tunamtukana mungu na tupo tu kawaida wala mungu ajatuangamiza sekunde moja... je basi hakuna mungu ? Yesu alijaribiwa hadi na mafarisayo ...ukusoma yesu anawaambia mafarisayo mbona mnanijaribu ...akawaambia ipo wapi sarafu ni ya nani sura hii na chapa hii.....siyo yesu tu aliye jaribiwa.... Mungu huyo unaye msema naye kajaribiwa sana tu kasome maandiko ...hoja zako niza kijinga maana zinakufunga hadi wewe mwenyewe
 
Nafsi ya yesu ndiyo mungu ...miili siyo uzima uzima ni nafsi ....kituko ni Muhammad...waislamu wanakuambia Muhammad nafsi yake ilitakasika toka ajafika duniani.. tena wanakuambia kafiri ndiyo anatakiwa kusilimu ...tena wanakuambia mtoto uzaliwa akiwa ni muislamu ...tena wanakuambiq mitume wote wa kweli kina musa, issa, nk walikuwa waislamu ...sasa swali je Muhammad alikuwa kafiri maana ana ambiwa na malaika awe wa kwanza kusilimu na mnasema kafiri ndiyo anatakiwa kusilimu ...je Muhammad alikuwa mcha mungu toka udogo wake ? ..kama ndiyo vipi asilimu tena ...kama ndiyo vipi alichanganyikiwa kutokewa na malaika ikiwa alikuwa ni mchamungu tena mkubwa kuliko wachamungu wote ...je muislamu usilimu kuwa muislamu ? Je washia anaweza kusilimu kuwa wasunni ?
Kama matiki na fafanuzi ya uislamu wenyewe unadhibitisha kuwa Muhammad alikuwa kafiri ndiyo maana alitakiwa kusilimu mapangoni ....pia inathibitisha uislamu ni dini mpya.. FaizaFoxy BWANA UTAMU unisahidie nisipotee kwa kutokuelewa haya....bila ya kumsahau shekh mandazi adriz ... Malaria 2
Hivi nyinyi waislamu mmechanganyikiwa mbona sijibiwi maswali yangu hata siku moja tena nina watagi kabisa mnajificha kama amyaoni ...tena haya maswali ninayo wauliza humu ni maswali madogo na mepesi tu je nikiwauliza maswali magumu sindiyo mtakimbia JF kabisa ...nilitegemea leo asuhuhi nikute majibu kama 10 hivi nashangaa hakuna jibu hata moja ....basi muhammad awa laanini kwa kushindwa kutetea dini yake😕
 
🙂🙂🙂

Hivi hii biblia inafasiriwa kwa mtazamo wako uonavyo wewe au jinsi theology imemaanisha.

Na yule aliyepaa mbinguni na kuketi mkono wa kuume wa Mungu Baba mwenyezi ni nani
Majibu zaidi ...kumbuka msalabani yesu anamwambia yule mtu leo hii utakuwa nami pema peponi .....sasa tumia akili huyo ambaye leo atakuwa pema peponi ndiye aliye keti kitini yaani nafsi ya mungu...kisha tunasikia kuwa yesu kafa na kufufuka siku ya 3 na kupaa mbinguni ...tumia akili .....Baba ni nafsi ya yesu ndiyo mungu na mwana ni mwili ambao hiyo nafsi ya mungu ilikuwa ndani yake pasipo na nafsi ya mwanadamu ....mbona fafanuzi ipo wazi kabisa ...Nafsi ya Mungu haiwezi kufa hata sekunde moja kwa kuwa ndiyo mungu kilicho kufa ni mwili na siku ya 3 nafsi ya Mungu ikaulejea mwili ...ndiyo kufufuka kwa yesu kisha akapaa mbinguni mwili na nafsi ...nilisha eleza hapa Mungu ni nini na yesu ni nini na roho mtakatifu ni nini
1) MUNGU NI NAFSI YA MUNGU
2) YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU (hapa ndiyo uungu wa yesu ulipo jificha kama fumbo )
3)ROHO MTAKATIFU NI MWILI WA BINADAMU WENYE NAFSI YA MWANADAMU PAMOJA NA NAFSI YA MUNGU ( yaani nafsi mbili ndani ya mwili mmoja)
 
Screenshot_20250205_183922~2.jpg
 
Ugumu wa kukuamini uyasemayo ni illusion.Akili ya binadamu inapoconcentrate sana kwa jambo moja magonjwa ya akili hutokea.Mathalani,shetani ni kitu cha kufikirika hivyo katika hali ya akili kuvurugika itaanza kuchannel mauzauza ambayo ni rahisi kuyasadiki kama shetani.Utaanthropomorphize shetani kwa umbo fulani,yesu kwa umbo fulani na hizi zote ni dalili za ugonjwa wa akili uitwao schizophrenia.Tatizo la magonjwa ya akili matibabu yake ni magumu mno.Bila ya shaka ndiyo maana serikali zinapiga marufuku matumizi ya bangi kwa kuhofia taifa kuathirika.
 
Hallucinations not illusion
 
Salaam, Shalom!!

Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.

Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?

Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.

..... Mwisho wa kunukuu....

Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,

Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.

Ndipo tujue yafuatayo.

1. Mbingu ni halisi Si hadithi.

2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.

3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.

Mungu awabariki.
Yani ukuu wa Mungu thamani yake ni kupanda farasi mweupe?! Yani hakuna kitu kingine nje ya imagination ya mwanadamu ambacho kitambeba huyo Mungu?!
Au kwa vile Farasi mweupe ni matamanio ya binadamu, mnaamua kumtwika na Mungu naye uwezo/hadhi yake ni kupanda farasi mweupe?!

Kwanini isiwe farasi mwekundu au mweusi au wa blue etc ili aonekane vizuri
 
Kwa iyo maziwa na asali nayo ndio vyakula mnavyoona vinafaa sana huko mbinguni?
 
Sema Tanzania tunapangwa sana na watu wajinga wajinga.
 
Nafsi ya yesu ndiyo mungu ...miili siyo uzima uzima ni nafsi ....kituko ni Muhammad...waislamu wanakuambia Muhammad nafsi yake ilitakasika toka ajafika duniani.. tena wanakuambia kafiri ndiyo anatakiwa kusilimu ...tena wanakuambia mtoto uzaliwa akiwa ni muislamu ...tena wanakuambia mitume wote wa kweli kina musa, issa, nk walikuwa waislamu ...sasa swali je Muhammad alikuwa kafiri maana ana ambiwa na malaika awe wa kwanza kusilimu na mnasema kafiri ndiyo anatakiwa kusilimu ...je Muhammad alikuwa mcha mungu toka udogo wake ? ..kama ndiyo vipi asilimu tena ...kama ndiyo vipi alichanganyikiwa kutokewa na malaika ikiwa alikuwa ni mchamungu tena mkubwa kuliko wachamungu wote ...je muislamu usilimu kuwa muislamu ? Je washia wanaweza kusilimu kuwa wasunni ?
Kama matiki na fafanuzi ya uislamu wenyewe unadhibitisha kuwa Muhammad alikuwa kafiri ndiyo maana alitakiwa kusilimu mapangoni ....pia inathibitisha uislamu ni dini mpya.. FaizaFoxy BWANA UTAMU unisahidie nisipotee kwa kutokuelewa haya....bila ya kumsahau shekh mandazi adriz ... Malaria 2
Njoo huku kuna maswali ya hoja yako MduduAli
 
Salaam, Shalom!!

Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.

Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?

Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.

..... Mwisho wa kunukuu....

Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,

Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.

Ndipo tujue yafuatayo.

1. Mbingu ni halisi Si hadithi.

2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.

3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.

Mungu awabariki.
Huyu mzee ameona vijana wa juzi, kina kapora, kuhani Musa, na kenge wengine, wanampiga bao kwa kukusanya maokoto kibao ya sadaka kutoka kwa mazwazwa, ameona na yeye atafute kiki ya kutokea.
 
Sasa hushangai matajiri kushuka kuzimu Ili kupata utajiri wa Damu,

Ila unashangaa Mwakasege kwenda Mbinguni!
 
Yupo sahihi kushangaa kwenda mbinguni...maana imeandikwa 👉 njia ya uzima (kwenda mbinguni ) ni nyembamba tena ina vikwazo vingi ila iendayo kuzimu ni pana sana na imejaa anasa nyingi😁😁
Sasa hivi kina mwakasege ...kina zumaridi kina mwamposa wanakwenda mbinguni kama chooni tu tena choo cha wagonjwa wa kuhara wanapishana kila siku wakipigana vikumbo vya kutoka na kuingia mbinguni 😁😁😁 mbingu gani hiyo ni ile ile aliyo sema bwana yesu kuwa njia yake ni nyembamba nao waionao ni wachache Rabbon
 
Wazungu na waarabu washenzi sana walituachia Matango pori yaitwayo dini tunapigania kwenda peponi halafu waarabu wanachukua bandari zetu na wazungu wanachukua madini yetu. Sisi tunasubiri pepo mbaya zaidi kuna wengine wamedanganywA kuwa wasihangaike na mademu wa duniani mziki upo mbinguni mademu bikra 70 na utapewa tanker moja la alkasusu!
 
Sasa Kuna mwarabu atachukua bandari bila kukuroga Kwa kutumia majini Yao Ili usiwapinge?
 
Back
Top Bottom