ginyisi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2023
- 287
- 465
Sio ndoto hizo mkuu!?Mwili wangu ulibaki kitandani,
Mimi ambaye ni ROHO ndiye niliyeenda huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ndoto hizo mkuu!?Mwili wangu ulibaki kitandani,
Mimi ambaye ni ROHO ndiye niliyeenda huko.
Mungu baba, Mungu Mwana na Mungu roho mtakatifu.....huyo wa katikati ndio Yesu kumbe aaah watu wa dini wanatuchanganya sanaUnaambiwa Yesu ni Mungu kwasababu eti Mungu ana nafsi tatu
1. Mungu mwana
2. Nimesahau
3. Nimesahau
The Icebreaker anaweza kuwa na kumbukumbu nzuri kwenye hili 😂😂
Kwa hiyo hapa unajibu sayansi au unajibu theology mbona hueleweki.
Mimi nimetumia maandiko kukwambia kuwa nafsi ni muunganiko wa mwili la roho then wewe unakuja na pumba pumba zako hapa mara kingereza ni spirit mara kiswahili ni roho mara kisayansi ni energy ndiyo nini.
Hapa discussion ni theology toa majibu ya ki-theology siyo kubwajaja mara kidini mara kisayansi mara kingereza.
Neno SPIRIT NI ENERGY VITU VYOTE NI ENERGY ...MUNGU NAYE NI ENERGY ILA NDIYE MTAWALA WA ULIWENGU WA ENERGY..Hivyo NAFSI NA MWILI VYOTE NI ENERGY ...Wewe akili zako ni finyu kama jamaa mmoja mnamwita kiraza sijui kiranga 😁Kwa hiyo hapa unajibu sayansi au unajibu theology mbona hueleweki.
Mimi nimetumia maandiko kukwambia kuwa nafsi ni muunganiko wa mwili la roho then wewe unakuja na pumba pumba zako hapa mara kingereza ni spirit mara kiswahili ni roho mara kisayansi ni energy ndiyo nini.
Hapa discussion ni theology toa majibu ya ki-theology siyo kubwajaja mara kidini mara kisayansi mara kingereza.
pumbaaavu yani nyie ni wana wa mungu halafu ndo mumezaliwa taifa hili la CCM. i swear nitakuchapa vibao wewe Rabbon weweeWana wa Mungu tuna macho ya rohoni na yameandikwa ndani ya BIBLIA
Ukifanikiwa kuingia Mbinguni, ukapewa mwili mpya,Mwalimu Mwakasege aondoe Utata...!
Mussa alikua Black ama White!?
Ni mwili ...ndiyo upo kuume ...mungu baba mwenyezi ndiyo nafsi ya kristo ....yesu akisema baba yangu umaanisha nafsi yake siyo kitu kingine nafsi ya kristo ndiyo mungu mwenyezi ..kuna maandiko yesu anasema mungu ata hukumu ila hukumu kamwachia mwana unajua nini maana yake ...maana yake mungu atahukumu ulimwengu akiwa ndani ya mwili wa kristo🙂🙂🙂
Hivi hii biblia inafasiriwa kwa mtazamo wako uonavyo wewe au jinsi theology imemaanisha.
Na yule aliyepaa mbinguni na kuketi mkono wa kuume wa Mungu Baba mwenyezi ni nani
Labda tarafa ya Mbingu ya huko Mlimba, MorogoroUnazungumzia mbingu ipi kaka??
😂😂😂Swali no 3.
Malaika Hawaii Kweli Wala kuolewa.
Lakini Malaika wanakula na kunywa,
Mbinguni Kuna kula na kunywa, na Kuna vyakula vya Kila aina,
Imeandikwa pia yapo maji na mtu wa Uzima, na matunda yapo nk nk.
Kuna kula ila hakuna vyoo. Miili ya kule miili kama ya Malaika ni tofauti na hii tuliyonayo.
Mbinguni Kila mtu ana nyumba yake, na Malaika ndio watatuhudumia, sisi tutakuwa na rank ya juu Mbinguni kuliko Malaika. Kushinda majaribu ya Dunia Si KAZI ndogo,nitajibu swali Moja Moja 🙏
😃😃😃Mzee nimemdhihaki Mungu wapi?
Uzi umeletwa na wewe sio Mungu
Mwambie na Goodluck aondoe utata kwa kututajia location alikolichomea moto lile Benz twende huko kuchukua vyuma chakavu.....Mwalimu Mwakasege aondoe Utata...!
Mussa alikua Black ama White!?
Being silence doesn't mean that I agree with you,but the level of your stupidity left me speechless 😒Roho ndiyo
Neno SPIRIT NI ENERGY VITU VYOTE NI ENERGY ...MUNGU NAYE NI ENERGY ILA NDIYE MTAWALA WA ULIWENGU WA ENERGY..Hivyo NAFSI NA MWILI VYOTE NI ENERGY ...Wewe akili zako ni finyu kama jamaa mmoja mnamwita kiraza sijui kiranga 😁
Haya tuelezee wewe yesu ni nani na roho mtakatifu ni nini alafu nikuulize maswali unijibuBeing silence doesn't mean that I agree with you,but the level of your stupidity left me speechless 😒
kwamba mungu alipewa kibano, kuumbe hata siku ya mwisho tukiiungana hamna kinachoshindikanaUkibahatika kufika Mbinguni,
Utashangaa kumkuta Yesu ndiye amekaa katika KITI Cha enzi.
Na Kwa kuwa Mungu ni MMOJA, ndipo utaungana na waliomsulubisha kulia Kwa huzuni, hawakujua Yesu ndiye Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu.