Mwl mwenzangu anataka mume

Mwl mwenzangu anataka mume

salama jaman!
....nisiwe mnafki...japo mwenyewe niliweka tangazo humu kutaka mume lakini niliochat nao hatukuwahi fikia muhafaka...ila baadae Mungu alinijaalia nikampata mwanaume katika mazingira ya face to face.

Bado nina iman mpo mlioserious...ni mwl yupo mbeya uyole...ana 28...hajawai zaa...she is a ngoni one.primary school teacher...maji ya kunde kuelekeaweupe ...mrefu wastani ila kwenye ufupi hayumo.mpole sana...mambo mengine mtaulizana.

samahan jaman...yupo serious sana.Naomba pm ...msije na utaniutan jaman plzz.

Inaonyesha Wote wawili Wewe na huyo Mwenzako mna bahati mbaya na dhiki mno na Wanaume. Jitakaseni Kwanza mtaolewa tu. Ukina Mwanamke anatafuta Mume Mitandaoni jua ya kwamba amefilisika fikra / upeo kwa kiwango cha juu kabisa na hayuko pia mbali kuwa Mwendawazimu wa Kutukuka.
 
Njoo tuyajenge

Njoo.
 
Si kweli Mkuu.... Si kweli..
 
acha unafiki wewe umekosa mume unakuja kwa njia nyingine eti mwalimu mwenzako anatafuta wakati ni wewe?kama unamsaidia kutafuta na umsaidie katika mambo ya kitandani pia kwa mume utayempatia! shwaini kabisa
 
Amepata?? Kama bado mpe ujumbe wangu [emoji3]
 
sina kazi mm ni supermarioo je nimekidhi vigezo ? au na sisi hatuna haki kama vibamia?
 
MBONA SIFA ZOTE UALIZOTAJA NI ZAKO.. HATA UMRI WAKO NI 28
KUWA SERIOUSLY
 
Back
Top Bottom