Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Siasa ndio zinatukwamisha waafrika. Sio kila muda ni wa siasa wakati mwingine tuungane Kama taifa tuchape kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Logic yako imejikita kwenye nadharia ipi? kwamba ata wanasiasa wakitunga sheria mbovu kuhusu kuchapa kazi isijadiliwe bali tuchape tu kazi?Siasa ndio zinatukwamisha waafrika. Sio kila muda ni wa siasa wakati mwingine tuungane Kama taifa tuchape kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app