Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 3,984 Reaction score 5,820 Feb 17, 2020 #21 Siasa ndio zinatukwamisha waafrika. Sio kila muda ni wa siasa wakati mwingine tuungane Kama taifa tuchape kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa ndio zinatukwamisha waafrika. Sio kila muda ni wa siasa wakati mwingine tuungane Kama taifa tuchape kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
R ruhi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 4,368 Reaction score 6,661 Feb 17, 2020 #22 Mega Mind Nyerere said: Siasa ndio zinatukwamisha waafrika. Sio kila muda ni wa siasa wakati mwingine tuungane Kama taifa tuchape kazi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Logic yako imejikita kwenye nadharia ipi? kwamba ata wanasiasa wakitunga sheria mbovu kuhusu kuchapa kazi isijadiliwe bali tuchape tu kazi?
Mega Mind Nyerere said: Siasa ndio zinatukwamisha waafrika. Sio kila muda ni wa siasa wakati mwingine tuungane Kama taifa tuchape kazi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Logic yako imejikita kwenye nadharia ipi? kwamba ata wanasiasa wakitunga sheria mbovu kuhusu kuchapa kazi isijadiliwe bali tuchape tu kazi?