Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Mwl.Alipoteza nguvu zake na uhodari wake wa kushawishi mambo.Mwalimu kukifanya Chama kilichompa shida kuondoa Udini,na Ukanda uliokuwepo ktk TAA na TANU na kutumia nguvu na akili nyingi sana kukipa sura ya kitaifa.
Jambo lile kwanza halikuwa rahisi sana kwake kukubaliwa mikoani,na hata kwa wenye chama.Angetumia Nguvu ,weldi wake kuanzisha chama kipya kabisa nchi ingekuwa ipo mbali sana na tusingekuwa na CCM ya kidini na kikanda kama ilivyo leo.