Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
CCM tuliyoachiwa leo ina kila sifa za kuitwa chama cha kigaidi..ingawa si CCM ambayo mwalimu angependa ikue na kuwa km ilivyo.CCM imefikia mahali ina "ukabila" kidogo wa tofauti ukabila wa kuyakubali amakabila yote ila baadhi, ina ukanda wa kukubali kanda zote ila kanda fulani, na udini ambao haujawahi jificha tangu kabla ya TANU.
Hivi wewe unajua unachokiandika au unasukumwa na fikra zako na matamanio yako. Kuna chama cha kikanda na kikabila zaidi ya Chadema.