Watu ambao mnamsoma Mwalimu kama hadithi za Esopo mna shida kubwa ku imagine mazingira aliyokuwa akifanya siasa zake.Mwl.Alipoteza nguvu zake na uhodari wake wa kushawishi mambo.Mwalimu kukifanya Chama kilichompa shida kuondoa Udini,na Ukanda uliokuwepo ktk TAA na TANU na kutumia nguvu na akili nyingi sana kukipa sura ya kitaifa.
Jambo lile kwanza halikuwa rahisi sana kwake kukubaliwa mikoani,na hata kwa wenye chama.Angetumia Nguvu ,weldi wake kuanzisha chama kipya kabisa nchi ingekuwa ipo mbali sana na tusingekuwa na CCM ya kidini na kikanda kama ilivyo leo.
Watu ambao mnamsoma Mwalimu kama hadithi za Esopo mna shida kubwa ku imagine mazingira aliyokuwa akifanya siasa zake.
Kwa vile nafikiri nia ni kuboresha , mtoa mada ruksa kutekeleza yale anayoyaongea kinadharia.
Wasi wasi wangu ni kwamba sidhani kama mtaani kwake tu watu watamwelewa..
Mkuu wewe mwenyewe ni tusi!!!Wewe unamwambia nani mawazo yako ya kiliberali?Na kwanini unatumia nguvu nyingi kuwaamabia wasisikilize wanchokisoma wenyewe na kukielewa?
Unafikiri n auna wasiwasi...kwani hata mtaani wasipomwelewa inakuuma nini?
Mwl.Alipoteza nguvu zake na uhodari wake wa kushawishi mambo.Mwalimu kukifanya Chama kilichompa shida kuondoa Udini,na Ukanda uliokuwepo ktk TAA na TANU na kutumia nguvu na akili nyingi sana kukipa sura ya kitaifa.
Jambo lile kwanza halikuwa rahisi sana kwake kukubaliwa mikoani,na hata kwa wenye chama.Angetumia Nguvu ,weldi wake kuanzisha chama kipya kabisa nchi ingekuwa ipo mbali sana na tusingekuwa na CCM ya kidini na kikanda kama ilivyo leo.
Mkuu wewe mwenyewe ni tusi!!!
Mawazo yako na maandiko yako hayako mbali sana na matamanio yako.
Ugreti thinka shida kweli kweli!
Kunywa Maji ukalale ukue
Kumsahihisha Mwalimu inabidi usome sana political science na kwa kweli ufikiri sana hypothesis yako.Mwl.Alipoteza nguvu zake na uhodari wake wa kushawishi mambo.Mwalimu kukifanya Chama kilichompa shida kuondoa Udini,na Ukanda uliokuwepo ktk TAA na TANU na kutumia nguvu na akili nyingi sana kukipa sura ya kitaifa.
Jambo lile kwanza halikuwa rahisi sana kwake kukubaliwa mikoani,na hata kwa wenye chama.Angetumia Nguvu ,weldi wake kuanzisha chama kipya kabisa nchi ingekuwa ipo mbali sana na tusingekuwa na CCM ya kidini na kikanda kama ilivyo leo.
Kumsahihisha Mwalimu inabidi usome sana political science na kwa kweli ufikiri sana hypothesis yako.
Hii inaweza kuwa abstract inayo muelezea zaidi mtoa mada, vitu vingi asivyovifahamu.
Mtu amaye ni tusi by definition hawezi kutoa mada ambayo ina mashiko.mamsapu Nani kakuambi anatafuta kuwa great thinker?wewe mwehu sana.Mimi natimiza wajibu..sasa kama wewe ndio unadhani hivyo upo huru.
hembu rudisha ubongo ktk majadiliano.Kipi unapinga hapa?Au unanipinga mimi?Nitakuletea nguruwe akueleze km unadhani kitabadilisha uhalisia wa haya.
Mtu amaye ni tusi by definition hawezi kutoa mada ambayo ina mashiko.
Na anacho fikiri mtu ndicho akitoacho hadharani, huwezi pata neno jema kutokana na wazo ovu.
Kwa ujmla zaidi ya matusi, ambayo lazima tukiri kuwa wewe ni bingwa, hujasema kitu cha maana chochote katika uwanda wa watu wenye busara.
Labda huelewi mantiki, wanajamii wanconsider with revulsion mada zisizo na mashiko, underlined na matusi ambayo wewe ni bingwa.Kweli wewe wa hovyo..kama umeona matusi uliyoanzisha nimekuwa bingwa kwanini usijaribu kurudi ktk fikra?Rudi kwenye mada sasa acha umbea.Hapo ndipo utaonyesha kuwa buku 7 hupokei bure.
Naomba next thread uandike kuhusu mada.
Labda huelewi mantiki, wanajamii wanconsider with revulsion mada zisizo na mashiko, underlined na matusi ambayo wewe ni bingwa.
OVER AND OUT!
Mwl..alitumia sana nguvu kumanage wanachama waliokuw akila mara wanataka tangaza uasi, kuliko hata nguvu kubwa nyingine alizotumia kuwaambiwa machief na viongozi wa vyama vingine vilivyokwisha anza mikoani kuikubali TANU.
Vipo vyama makini vilivyokuwepo mikoani ambavyo vilikuwa bora sana kuliko TANU ila wenyewe walikuwa kuviua na kuingia TANU ambayo ilichukua sana muda kupata sura ya kiataifa.Na leo tunayo CCM ambayo si ya kitaifa hivyo ingawa inatumia rasilimali za taifa kujipa taswira hiyo.
CCM ya leo ni ya kikanda,ya kidini, na haina sura ya kitaifa ktk maamuzi ya msingi.