Mwl. Nyerere alisema heri Mjinga kuliko Mpumbavu. Sasa najiuliza huenda Mpumbavu ni bora kuliko Chawa

Tuna Imani na Karume Oyaa Oyaa Oyaaa..., Karume Kweli... KWELI..., Karume Kweli Kweli kweli kweli Karume.... Karume Kweli Kweli......

Tuna Imani na Kawawa... Oyaa Oyaa Oyaaa...,

Hizo ni nyimbo mashuleni kuonyesha solidarity.., tofauti na Kiongozi anachukua mike amepewa dakika tano atanumia sita na nusu kuleta sifa hivyo kukusa muda wa kuongea cha kuongea.....
Ilianzia kwa baba wa taifa
 
Ilianzia kwa baba wa taifa
Beti la kwanza Nyerere, la Pili Karume la Tatu Kawawa hizo ndio zilikuwa nyimbo enzi zile za Pan Africanism mkuu sasa tungeimba nini....

Hata kina Tom Mboya wa Kenya tuliwaimba.....

Sasa tunawahesabu hao!!
Waliokufa kwa tabu, bila hata ya sababu.
Wengi hawana hesabu waliokufa kwa tabu duniani.

TOM MBOYA wa Kenya huyo!!
Si kiongozi mbaya, kala risasi ya taya.
Maharamia wabaya wala hawaoni haya kumuua.​
 
Actually, Juliasi alimaanisha kifaji (liability, limitation, dhima, upungufu, udhaifu, kasoro, dosari, deni, ukomo, ulemavu), na wala siyo kipaji kama wengi wanavyodhani.

Wengi huchanganya sana matamshi ya maneno husika.
Hii mkuu iwekewe bango kama lile waliloweka yanga.
 
Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa;

Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini (nadhani tumbo lake linatawala kichwa chake)

By the way Mdau hapo chini Jasmoni Tegga (amesema kwamba Nyerere alimaanisha Kifaji na sio Kipaji kama wengi tulivyokuwa tunafikiri - Mimi ili nisiwe mpumbavu na nilikuwa Mjinga nalichukua hilo na kulifanyia Kazi....
Chawa ni mtu wa hovyo sana
 
Kwa kweli chawa ni kichefuchefu kitupu
 
Hawa huzaliwa mahala pachafu

Chawa hukausha damu, ni adui wa afya.
 
Back
Top Bottom