erasto sichila
Member
- Sep 20, 2023
- 26
- 40
Utakuwa na tatizo na wasukuma wewe. Ina maana wasukuma Wana shida Gani mpaka wabaguliwe kupewa uongozi kwenye inchi hii. ACHA ubaguzi wa kishambaMWL NYERERE ,ILA LEO KUNAKITU
Jambo hili LA ukabila mwl alikemea sana ,dalili au viashiria vyake ,hongera MWL .
Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda begu za ukabila
Tunaona eti kanda ya wasukuma ,inaonesha bila wao ,CCM itashindwa hivo, viongozi wanahonga vyeo wasukuma ili waichague CCM jamani !
Uteuzi was Biteko Doto ,juzi uteuzi wa Makonda kisa ili wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa waTanzania ni,dhana mpya ili kujenga element za ukabila
Tunajifunza,MWL alichaguliwa na wa Tanzania akiwa anatokea kwenye ,kabila dogo sana wazanaki ,pia Mkapa kwa, Wa makua na Kikwete Wakwele
Hatuja wahi taifa hili Ku waogopa Wasukuma
Ikitokea Watanzania wakajua hili ,ukabila uko njiani tena Mkubwa ,kesho Wanyakyusa ,wataanza nao kuogopwa.
Niliombee taifa letu sisi tulisha unganishwa hatuna ukabila
Jamani ccm ni basi sasa wanataka kutuharibia nchi yetu waondoke!MWL NYERERE ,ILA LEO KUNAKITU
Jambo hili LA ukabila mwl alikemea sana ,dalili au viashiria vyake ,hongera MWL .
Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda begu za ukabila
Tunaona eti kanda ya wasukuma ,inaonesha bila wao ,CCM itashindwa hivo, viongozi wanahonga vyeo wasukuma ili waichague CCM jamani !
Uteuzi was Biteko Doto ,juzi uteuzi wa Makonda kisa ili wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa waTanzania ni,dhana mpya ili kujenga element za ukabila
Tunajifunza,MWL alichaguliwa na wa Tanzania akiwa anatokea kwenye ,kabila dogo sana wazanaki ,pia Mkapa kwa, Wa makua na Kikwete Wakwele
Hatuja wahi taifa hili Ku waogopa Wasukuma
Ikitokea Watanzania wakajua hili ,ukabila uko njiani tena Mkubwa ,kesho Wanyakyusa ,wataanza nao kuogopwa.
Niliombee taifa letu sisi tulisha unganishwa hatuna ukabila
Una uhakika kwamba Nyerere ndiye alikuwa anawafanyia usaili wale wote waliokuwa na nia ya kujiunga na jeshi Tanzania nzima?wakati anasema ukabila una kazi gani, hapo hapo kwenye jeshi na polisi alijaza watu wa musoma, na ndio imekuwa historia hadi leo. though kwa habari ya makabila mengine alijitahidi kutuunganisha na inawezekana kutokana na kupindua marais kulikokuwepo enzi zile, icho ndio kilimpelekea kufanya hivyo. kiukweli, nyerere hakuwa mkabila kuliko wengi wetu.
of course sina uhakika, ila huwa sielewi kwanini imekuwa hivyo hadi leo. hebu tuambie, ilitokeaje tokeaje?Una uhakika kwamba Nyerere ndiye alikuwa anawafanyia usaili wale wote waliokuwa na nia ya kujiunga na jeshi Tanzania nzima?
Sidhani kama umesoma alichokiandika au ulivyoona tu "wasukuma" ukaanza kuandika.Utakuwa na tatizo na wasukuma ww,Ina maana wasukuma Wana shida Gani mpaka wabaguliwe kupewa uongozi kwenye inchi hii,ACHA ubaguzi wa kishamba
Nchi hii Ina matatizo mengi ya ukabila Kuna taasi kubwa nyingi wamejazana watu wa kasikazini mbona hamkemeiMWL NYERERE ,ILA LEO KUNAKITU
Jambo hili LA ukabila mwl alikemea sana ,dalili au viashiria vyake ,hongera MWL .
Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda begu za ukabila
Tunaona eti kanda ya wasukuma ,inaonesha bila wao ,CCM itashindwa hivo, viongozi wanahonga vyeo wasukuma ili waichague CCM jamani !
Uteuzi was Biteko Doto ,juzi uteuzi wa Makonda kisa ili wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa waTanzania ni,dhana mpya ili kujenga element za ukabila
Tunajifunza,MWL alichaguliwa na wa Tanzania akiwa anatokea kwenye ,kabila dogo sana wazanaki ,pia Mkapa kwa, Wa makua na Kikwete Wakwele
Hatuja wahi taifa hili Ku waogopa Wasukuma
Ikitokea Watanzania wakajua hili ,ukabila uko njiani tena Mkubwa ,kesho Wanyakyusa ,wataanza nao kuogopwa.
Niliombee taifa letu sisi tulisha unganishwa hatuna ukabila
Uko sahihi kabisa,Magufuri aliharibu sana taswira ya umoja na mshikamano wa Watanzania.MWL NYERERE ,ILA LEO KUNAKITU
Jambo hili LA ukabila mwl alikemea sana ,dalili au viashiria vyake ,hongera MWL .
Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda begu za ukabila
Tunaona eti kanda ya wasukuma ,inaonesha bila wao ,CCM itashindwa hivo, viongozi wanahonga vyeo wasukuma ili waichague CCM jamani !
Uteuzi was Biteko Doto ,juzi uteuzi wa Makonda kisa ili wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa waTanzania ni,dhana mpya ili kujenga element za ukabila
Tunajifunza,MWL alichaguliwa na wa Tanzania akiwa anatokea kwenye ,kabila dogo sana wazanaki ,pia Mkapa kwa, Wa makua na Kikwete Wakwele
Hatuja wahi taifa hili Ku waogopa Wasukuma
Ikitokea Watanzania wakajua hili ,ukabila uko njiani tena Mkubwa ,kesho Wanyakyusa ,wataanza nao kuogopwa.
Niliombee taifa letu sisi tulisha unganishwa hatuna ukabila
"Sina uhakika","Ila huwa sielewi"!Kwa hayo maneno tu Ilipaswa kuwa mtulivu na kufanya udadisi ili uoneshe umahiri wako wa kujifunza.Hilo swali lako sintolijibu hadi ufute maneno yako ya kubahatisha na uchonganishi.of course sina uhakika, ila huwa sielewi kwanini imekuwa hivyo hadi leo. hebu tuambie, ilitokeaje tokeaje?
Kwa Mbeya wanyakusa ni 10% tu hivyo hakuna impact yoyote. Sema wasafwa ndio wengi kwa Mbeya.MWL NYERERE ,ILA LEO KUNAKITU
Jambo hili LA ukabila mwl alikemea sana ,dalili au viashiria vyake ,hongera MWL .
Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda begu za ukabila
Tunaona eti kanda ya wasukuma ,inaonesha bila wao ,CCM itashindwa hivo, viongozi wanahonga vyeo wasukuma ili waichague CCM jamani !
Uteuzi was Biteko Doto ,juzi uteuzi wa Makonda kisa ili wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa waTanzania ni,dhana mpya ili kujenga element za ukabila
Tunajifunza,MWL alichaguliwa na wa Tanzania akiwa anatokea kwenye ,kabila dogo sana wazanaki ,pia Mkapa kwa, Wa makua na Kikwete Wakwele
Hatuja wahi taifa hili Ku waogopa Wasukuma
Ikitokea Watanzania wakajua hili ,ukabila uko njiani tena Mkubwa ,kesho Wanyakyusa ,wataanza nao kuogopwa.
Niliombee taifa letu sisi tulisha unganishwa hatuna ukabila
ACHA unafiki hamna watu Wana ubaguzi na ukabila kama watu wa kasikazini hasa wachaga nenda taasi nyeti utayakuta yamejazana menyewe afu yanakemea ukabila acheni ujinga hii nchi sio ya wachagaMWL NYERERE ,ILA LEO KUNAKITU
Jambo hili LA ukabila mwl alikemea sana ,dalili au viashiria vyake ,hongera MWL .
Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda begu za ukabila
Tunaona eti kanda ya wasukuma ,inaonesha bila wao ,CCM itashindwa hivo, viongozi wanahonga vyeo wasukuma ili waichague CCM jamani !
Uteuzi was Biteko Doto ,juzi uteuzi wa Makonda kisa ili wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa waTanzania ni,dhana mpya ili kujenga element za ukabila
Tunajifunza,MWL alichaguliwa na wa Tanzania akiwa anatokea kwenye ,kabila dogo sana wazanaki ,pia Mkapa kwa, Wa makua na Kikwete Wakwele
Hatuja wahi taifa hili Ku waogopa Wasukuma
Ikitokea Watanzania wakajua hili ,ukabila uko njiani tena Mkubwa ,kesho Wanyakyusa ,wataanza nao kuogopwa.
Niliombee taifa letu sisi tulisha unganishwa hatuna ukabi
ukijibu au usipojibu inanipunguzia nini? as a matter of fact? kwa akili yako kabisa ina maana hujui kwanini watu wengi wa Mkoa wa Mara ni mapolisi na wanajeshi? basi utakuwa huna ubongo."Sina uhakika","Ila huwa sielewi"!Kwa hayo maneno tu Ilipaswa kuwa mtulivu na kufanya udadisi ili uoneshe umahiri wako wa kujifunza.Hilo swali lako sintolijibu hadi ufute maneno yako ya kubahatisha na uchonganishi.
Waache wawe wengi huko unapopataja.Wewe na wenzio wa kabila lenu mmezoea kucheza midundiko na bao muendelee hivyohivyo.Kupanga ni kupata ulitakalo.ukijibu au usipojibu inanipunguzia nini? as a matter of fact? kwa akili yako kabisa ina maana hujui kwanini watu wengi wa Mkoa wa Mara ni mapolisi na wanajeshi? basi utakuwa huna ubongo.