Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,310
- 8,213
Wasukuma hawalishi Tanzania, mikoa inayolisha sehemu kubwa ya Tanzania ni ya nyanda za juu Kusini.
Wasukuma hawalishi Tanzania, mikoa inayolisha sehemu kubwa ya Tanzania ni ya nyanda za juu Kusini.
Ukitoka ndotoni utajua kuwa ulikuwa unaota, ukiingia kwenye uongozi ndio utajua kwanini Samia kafanya hivi, mwanzo alikuwa na mawazo kama yako lakini maji yamemfika shingoni akaona bora awakaribishe tena hao wasukuma nyie wenye IQ ndogo mnaowadharau.Hakuna kabila lina nguvu kushinda jingine
Ni woga wa watawala tu hasa Ccm wamekua waoga,mnawapa watu umuhimu na nguvu wasizokua nazo
Punguza ujuaji wa kijinga utakuja kunikumbuka baadae.Ukiona unajibiwa kwa wepesi bila kutiliwa maanani ujue anayekujibu amekudharau.Kwa ufupi haupo level yake.Hata vitu vidogo vya kujua sababu za watu wa Mara kuupenda uaskari haujui halafu unacharaza muandiko na kujieleza ulivyopata degree mwaka 2000?Ulisoma shule au ulisoma magazeti?
Hizo chuki zenu za kuwagombanisha wasukuma na serikali tulishajua kitambo sana.Wahuni wanataka kuharibu taifa
Niache kuukumbuka ugali nikukumbuke wewe ambaye hata sura yako siijui?Gone insane?Punguza ujuaji wa kijinga utakuja kunikumbuka baadae.
Aikambe moise.Niache kuukumbuka ugali nikukumbuke wewe ambaye hata sura yako siijui?Gone insane?
Jeshini kulijaa Wasukuma,Wanyakyusa,Wafipa,Wakurya na watu wa Ruvuma,msitunganye.wakati anasema ukabila una kazi gani, hapo hapo kwenye jeshi na polisi alijaza watu wa musoma, na ndio imekuwa historia hadi leo. though kwa habari ya makabila mengine alijitahidi kutuunganisha na inawezekana kutokana na kupindua marais kulikokuwepo enzi zile, icho ndio kilimpelekea kufanya hivyo. kiukweli, nyerere hakuwa mkabila kuliko wengi wetu.
Ni wabaguzi halafu wana kiburi pia ni wafisadi.Utakuwa na tatizo na wasukuma wewe. Ina maana wasukuma Wana shida Gani mpaka wabaguliwe kupewa uongozi kwenye inchi hii. ACHA ubaguzi wa kishamba
Ujasiri na kujiamini kwa Wakurya kunawabeba.of course sina uhakika, ila huwa sielewi kwanini imekuwa hivyo hadi leo. hebu tuambie, ilitokeaje tokeaje?
Msukuma anamlisha nani wakati Shinyanga kila mwaka njaa.Ukabila muhimu ukitoa ukabila kwa kitu chenye nature ya nguvu kubwaa ni kabila ndo nature yako iyo inakutambulisha popopte kokote maweza kukusaidia pia kukuangamiza unaweza kuchakachua utaifa Ila sio kabila lipo noted na jinsi ulivyoook
Penda kabila kuliko kabila lolote lipiganie kabila lako kuliko kitu kingine nguvu ya kabila bongo hatuijui lakini wenye akili washajua kuna nguvu kubwa ndani ya ukabila zaidi hata ya dini zenu hizo......wasukuma washajijua wanalisha tz nzima cos ni ,wachapakaz,wanapendana,wanajali kabila yao nature zao wana umoja......
Nenda maponde yote yenye asili ya maji mikoa yote ukimkosa msukuma ujue hapo haupo tanzania, Mensa chimbo lolote ukimkosa uyu mtu anaitwa msukuma achana napo hapo kuna njaaa ya kufa mtu............
Wewe ni mwongo Nyerere hakuwahi kuwa mkabila,usichokijua Nyerere ni Mzanaki nitajie Wazanaki kumi mashuhuri kwenye vyeo baada ya Nyerere.Wewe kuona Wakurya wengi jeshini unafikiri na Nyerere ni Mkurya hiyo ni danganya toto.Mama Samiah ni mkabila aliyepindukia tena ni mdini mdini.Unataka kusema sa100 anaendekeza ukabila kuliko alivyokuwa hayati Nyerere au imekaaje ? Hao viongozi wa kanda ya ziwa uliowataja ni karata ya kupata Kura Kwa kanda ya ziwa yenye idadi kubwa ya wapiga Kura na kurudisha mvuto wa Raisi hususani Kwa mgongo wa hayati Jpm. Huo ukabila alifanya muhasisi na hadi wengine wanafuata haswa Kwa makabila yenye idadi kubwa ya watu na bado Mila zao wanazidumisha kama wasukuma .
Ukweli ndiyo huo tangu kale.Wasukuma hawalishi Tanzania, mikoa inayolisha sehemu kubwa ya Tanzania ni ya nyanda za juu Kusini.
Wakati yeye mwenyewe alikuwa cheti feki.Wangekuwa wamechaguliwa wachaga usingeona mapovu, hawa watu wanaongoza kwa ubinasi na ukabila, na magufuli ndio alikuwa dawa yao kuanzia vyeti fake mpaka ukwepaji kodi.
Data zipi pumbavu au umezaliwa juzi.Tatizo huwa unaropoka bila data.
Nimeweka hapo juu, huwa sibishani na wajinga, sorry mkuu.Data zipi pumbavu au umezaliwa juzi.
Huwezi kubishana na mimi kwa sababu wewe ni mjinga,mpumbavu na mkabila.Nimeweka hapo juu, huwa sibishani na wajinga, sorry mkuu.
Wanamlisha tu ujinga Rais Samia naye anajaa upepo tu!Mwl Nyerere, ila leo kunakitu. Jambo hili la ukabila Mwl alikemea sana; dalili au viashiria vyake, hongera Mwl. Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda mbegu za ukabila. Tunaona kanda ya Wasukuma inaonesha bila wao, CCM itashindwa; viongozi wanahonga vyeo Wasukuma ili waichague CCM, jamani!
Uteuzi wa Biteko Doto, juzi uteuzi wa Makonda kisa ili Wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa Watanzania ni dhana mpya ili kujenga element za ukabila. Tunajifunza, Mwl alichaguliwa na Watanzania akiwa anatokea kwenye kabila dogo sana, Wazanaki; pia Mkapa kwa Wa Makua na Kikwete Wakwele. Hatujawahi taifa hili kuwaogopa Wasukuma.
Ikitokea Watanzania wakajua hili, ukabila uko njiani; kesho Wanyakyusa wataanza nao kuogopwa. Niliombee taifa letu, sisi tayari tumeshaunganishwa, hatuna ukabila.
Kama takwimu zako zinaonesha kanda ya ziwa wanazalisha chakula kuliko kanda ya nyanda za juu kusini basi geuza takataka izo takwimu zako
Punguza ujingaUkitoka ndotoni utajua kuwa ulikuwa unaota, ukiingia kwenye uongozi ndio utajua kwanini Samia kafanya hivi, mwanzo alikuwa na mawazo kama yako lakini maji yamemfika shingoni akaona bora awakaribishe tena hao wasukuma nyie wenye IQ ndogo mnaowadharau.