Hakuna kabila lina nguvu kushinda jingineMwl Nyerere, ila leo kunakitu. Jambo hili la ukabila Mwl alikemea sana; dalili au viashiria vyake, hongera Mwl. Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda mbegu za ukabila. Tunaona kanda ya Wasukuma inaonesha bila wao, CCM itashindwa; viongozi wanahonga vyeo Wasukuma ili waichague CCM, jamani!
Uteuzi wa Biteko Doto, juzi uteuzi wa Makonda kisa ili Wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa Watanzania ni dhana mpya ili kujenga element za ukabila. Tunajifunza, Mwl alichaguliwa na Watanzania akiwa anatokea kwenye kabila dogo sana, Wazanaki; pia Mkapa kwa Wa Makua na Kikwete Wakwele. Hatujawahi taifa hili kuwaogopa Wasukuma.
Ikitokea Watanzania wakajua hili, ukabila uko njiani; kesho Wanyakyusa wataanza nao kuogopwa. Niliombee taifa letu, sisi tayari tumeshaunganishwa, hatuna ukabila.
kidesturi sisi hatuchezi bao, sio mtu wa pwani mimi. Dsm penyewe nimekuja nikiwa mtu mzima. kwetu unapiga shule, unatafuta maisha hadi yapatikane. acha dharau.Waache wawe wengi huko unapopataja.Wewe na wenzio wa kabila lenu mmezoea kucheza midundiko na bao muendelee hivyohivyo.Kupanga ni kupata ulitakalo.
Haya piga hiyo shule.Waache hao wengine wapige kwata.kidesturi sisi hatuchezi bao, sio mtu wa pwani mimi. Dsm penyewe nimekuja nikiwa mtu mzima. kwetu unapiga shule, unatafuta maisha hadi yapatikane. acha dharau.
degree ya kwanza chuo kikuu nimemaliza mwaka 2000. zipo zingine za juu. wakati huo wewe bado ulikuwa unakojoa kitandani na unanyonya kidole.Haya piga hiyo shule.Waache hao wengine wapige kwata.
Sahihi.Mimi nina degree centigrades za joto la mwili.Wewe piga sana kitabu Hadi uvae miwani kwenu wakuite bosi.degree ya kwanza chuo kikuu nimemaliza mwaka 2000. zipo zingine za juu. wakati huo wewe bado ulikuwa unakojoa kitandani na unanyonya kidole.
nilikuwa namaanisha, nilishamaliza kusoma wakati wewe bado unanyonya. hilo joto la mwili unamringishia mwanaume mwenzako ni la kupitia mlango gani? au huwa unawapa watu joto? unaelewa maana yake? mwanamke peke yake ndio anaweza kuringia joto kwasababu tukiwalala huwa tunahisi jotoridi ndani yao, sasa wewe hilo jotoridi lako nenda kadiscuss na rainball wenzio.Sahihi.Mimi.nna degree centigrades za joto la mwili.Wewe piga sana kitabu Hadi uvae miwani kwenu wakuite bosi.
Ukiona unajibiwa kwa wepesi bila kutiliwa maanani ujue anayekujibu amekudharau.Kwa ufupi haupo level yake.Hata vitu vidogo vya kujua sababu za watu wa Mara kuupenda uaskari haujui halafu unacharaza muandiko na kujieleza ulivyopata degree mwaka 2000?Ulisoma shule au ulisoma magazeti?nilikuwa namaanisha, nilishamaliza kusoma wakati wewe bado unanyonya. hilo joto la mwili unamringishia mwanaume mwenzako ni la kupitia mlango gani? au huwa unawapa watu joto? unaelewa maana yake? mwanamke peke yake ndio anaweza kuringia joto kwasababu tukiwalala huwa tunahisi jotoridi ndani yao, sasa wewe hilo jotoridi lako nenda kadiscuss na rainball wenzio.
niliongea hivyo ili ujione haupo level yangu. hata hivyo hiyo hainisaidii chochote kwasababu na haiondoi ukweli kwamba ukabila ulikuwepo tangu awali katika nchi hii, though ilizidiana viwango tu awamu kwa awamu. labda tuseme hivyo.Ukiona unajibiwa kwa wepesi bila kutiliwa maanani ujue anayekujibu amekudharau.Kwa ufupi haupo level yake.Hata vitu vidogo vya kujua sababu za watu wa Mara kuupenda uaskari haujui halafu unacharaza muandiko na kujieleza ulivyopata degree mwaka 2000?Ulisoma shule au ulisoma magazeti?
Msomi huwa habahatishi mambo.Ukishaandika "labda" tu unajidhihirisha ulivyoshiba senene wabichi.niliongea hivyo ili ujione haupo level yangu. hata hivyo hiyo hainisaidii chochote kwasababu na haiondoi ukweli kwamba ukabila ulikuwepo tangu awali katika nchi hii, though ilizidiana viwango tu awamu kwa awamu. labda tuseme hivyo.
Ndugu Wanyarwanda na wahutu walipenda sana makabila yao tens wengi waliamini bila kabila lake nchi haiweI ongozwa sisi huko tumetoka hatutaki ukabila wala viashiria vyake ,vimemeaUkabila muhimu ukitoa ukabila kwa kitu chenye nature ya nguvu kubwaa ni kabila ndo nature yako iyo inakutambulisha popopte kokote maweza kukusaidia pia kukuangamiza unaweza kuchakachua utaifa Ila sio kabila lipo noted na jinsi ulivyoook
Penda kabila kuliko kabila lolote lipiganie kabila lako kuliko kitu kingine nguvu ya kabila bongo hatuijui lakini wenye akili washajua kuna nguvu kubwa ndani ya ukabila zaidi hata ya dini zenu hizo......wasukuma washajijua wanalisha tz nzima cos ni ,wachapakaz,wanapendana,wanajali kabila yao nature zao wana umoja......
Nenda maponde yote yenye asili ya maji mikoa yote ukimkosa msukuma ujue hapo haupo tanzania, Mensa chimbo lolote ukimkosa uyu mtu anaitwa msukuma achana napo hapo kuna njaaa ya kufa mtu............
Viashiria vyovyote hatuvitaki mbaya kwenye siasa virusi vya ukabila huwa vinaua nchiACHA unafiki hamna watu Wana ubaguzi na ukabila kama watu wa kasikazini hasa wachaga nenda taasi nyeti utayakuta yamejazana menyewe afu yanakemea ukabila acheni ujinga hii nchi sio ya wachaga
too late, nukta.Mwl Nyerere, ila leo kunakitu. Jambo hili la ukabila Mwl alikemea sana; dalili au viashiria vyake, hongera Mwl. Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda mbegu za ukabila. Tunaona kanda ya Wasukuma inaonesha bila wao, CCM itashindwa; viongozi wanahonga vyeo Wasukuma ili waichague CCM, jamani!
Uteuzi wa Biteko Doto, juzi uteuzi wa Makonda kisa ili Wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa Watanzania ni dhana mpya ili kujenga element za ukabila. Tunajifunza, Mwl alichaguliwa na Watanzania akiwa anatokea kwenye kabila dogo sana, Wazanaki; pia Mkapa kwa Wa Makua na Kikwete Wakwele. Hatujawahi taifa hili kuwaogopa Wasukuma.
Ikitokea Watanzania wakajua hili, ukabila uko njiani; kesho Wanyakyusa wataanza nao kuogopwa. Niliombee taifa letu, sisi tayari tumeshaunganishwa, hatuna ukabila.
waharibu mara ngapi? tayari wamelivurugaWahuni wanataka kuharibu taifa
Je vyeo huyu Leo waziri mkuu without potifolio huyu kesho mtukanaji wa chama kisa msukuma afae asifae yeye atukane tuUnataka kusema sa100 anaendekeza ukabila kuliko alivyokuwa hayati Nyerere au imekaaje ? Hao viongozi wa kanda ya ziwa uliowataja ni karata ya kupata Kura Kwa kanda ya ziwa yenye idadi kubwa ya wapiga Kura na kurudisha mvuto wa Raisi hususani Kwa mgongo wa hayati Jpm. Huo ukabila alifanya muhasisi na hadi wengine wanafuata haswa Kwa makabila yenye idadi kubwa ya watu na bado Mila zao wanazidumisha kama wasukuma .
Wasukuma hawalishi Tanzania, mikoa inayolisha sehemu kubwa ya Tanzania ni ya nyanda za juu Kusini.Ukabila muhimu ukitoa ukabila kwa kitu chenye nature ya nguvu kubwaa ni kabila ndo nature yako iyo inakutambulisha popopte kokote maweza kukusaidia pia kukuangamiza unaweza kuchakachua utaifa Ila sio kabila lipo noted na jinsi ulivyoook
Penda kabila kuliko kabila lolote lipiganie kabila lako kuliko kitu kingine nguvu ya kabila bongo hatuijui lakini wenye akili washajua kuna nguvu kubwa ndani ya ukabila zaidi hata ya dini zenu hizo......wasukuma washajijua wanalisha tz nzima cos ni ,wachapakaz,wanapendana,wanajali kabila yao nature zao wana umoja......
Nenda maponde yote yenye asili ya maji mikoa yote ukimkosa msukuma ujue hapo haupo tanzania, Mensa chimbo lolote ukimkosa uyu mtu anaitwa msukuma achana napo hapo kuna njaaa ya kufa mtu............
Hapa hutowasikia wakiongea, mara siku wa wachaga duniani, hawa watu wa ovyo sana.Nchi hii Ina matatizo mengi ya ukabila Kuna taasi kubwa nyingi wamejazana watu wa kasikazini mbona hamkemei
Msukuma huwa hakosi sehemu yoyote yenye rutuba , ukiona eneo halina msukuma ilo eneo lina laana ya asili.Ukabila muhimu ukitoa ukabila kwa kitu chenye nature ya nguvu kubwaa ni kabila ndo nature yako iyo inakutambulisha popopte kokote maweza kukusaidia pia kukuangamiza unaweza kuchakachua utaifa Ila sio kabila lipo noted na jinsi ulivyoook
Penda kabila kuliko kabila lolote lipiganie kabila lako kuliko kitu kingine nguvu ya kabila bongo hatuijui lakini wenye akili washajua kuna nguvu kubwa ndani ya ukabila zaidi hata ya dini zenu hizo......wasukuma washajijua wanalisha tz nzima cos ni ,wachapakaz,wanapendana,wanajali kabila yao nature zao wana umoja......
Nenda maponde yote yenye asili ya maji mikoa yote ukimkosa msukuma ujue hapo haupo tanzania, Mensa chimbo lolote ukimkosa uyu mtu anaitwa msukuma achana napo hapo kuna njaaa ya kufa mtu............
Wangekuwa wamechaguliwa wachaga usingeona mapovu, hawa watu wanaongoza kwa ubinasi na ukabila, na magufuli ndio alikuwa dawa yao kuanzia vyeti fake mpaka ukwepaji kodi.ACHA unafiki hamna watu Wana ubaguzi na ukabila kama watu wa kasikazini hasa wachaga nenda taasi nyeti utayakuta yamejazana menyewe afu yanakemea ukabila acheni ujinga hii nchi sio ya wachaga
Tatizo huwa unaropoka bila data.Wasukuma hawalishi Tanzania, mikoa inayolisha sehemu kubwa ya Tanzania ni ya nyanda za juu Kusini.