Mwl. Nyerere aliuliza, Ukabila una kazi gani?

Hakuna kabila lina nguvu kushinda jingine

Ni woga wa watawala tu hasa Ccm wamekua waoga,mnawapa watu umuhimu na nguvu wasizokua nazo
Ukitoka ndotoni utajua kuwa ulikuwa unaota, ukiingia kwenye uongozi ndio utajua kwanini Samia kafanya hivi, mwanzo alikuwa na mawazo kama yako lakini maji yamemfika shingoni akaona bora awakaribishe tena hao wasukuma nyie wenye IQ ndogo mnaowadharau.
 
Punguza ujuaji wa kijinga utakuja kunikumbuka baadae.
 
Jeshini kulijaa Wasukuma,Wanyakyusa,Wafipa,Wakurya na watu wa Ruvuma,msitunganye.
 
Msukuma anamlisha nani wakati Shinyanga kila mwaka njaa.
 
Wewe ni mwongo Nyerere hakuwahi kuwa mkabila,usichokijua Nyerere ni Mzanaki nitajie Wazanaki kumi mashuhuri kwenye vyeo baada ya Nyerere.Wewe kuona Wakurya wengi jeshini unafikiri na Nyerere ni Mkurya hiyo ni danganya toto.Mama Samiah ni mkabila aliyepindukia tena ni mdini mdini.
 
Wangekuwa wamechaguliwa wachaga usingeona mapovu, hawa watu wanaongoza kwa ubinasi na ukabila, na magufuli ndio alikuwa dawa yao kuanzia vyeti fake mpaka ukwepaji kodi.
Wakati yeye mwenyewe alikuwa cheti feki.
 
Hisia zako tu.

Mara mshangilie wasukuma kutenguliwa mara mlielie wakiteuliwa.

Nyie ndiyo wakabila sema mnajibaraguza tu na porojo za Nyerere
 
Wanamlisha tu ujinga Rais Samia naye anajaa upepo tu!

Nani kasema bila hao watu CCM hawawezi kushinda?

Tanzania ina watu milion 61 na hao wanaojisema kuwa bila wao ccm haiwezi shinda hawazidi hata Mil 5 sasa wanaanzaje kuwatisha?

Ni upuuzi tu wanaojijengea wanasiasa ila hauna mantiki yeyote!
 
Ukitoka ndotoni utajua kuwa ulikuwa unaota, ukiingia kwenye uongozi ndio utajua kwanini Samia kafanya hivi, mwanzo alikuwa na mawazo kama yako lakini maji yamemfika shingoni akaona bora awakaribishe tena hao wasukuma nyie wenye IQ ndogo mnaowadharau.
Punguza ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…