Day 1 gongs
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 518
- 1,053
Ukabila wake Sa100 upo wapi zaidi ya kutaka kutumia hao unaowataja kupata uungwaji mkono na kundi kubwa la kanda ya ziwa na kwenye siasa hilo si shida . Hayo matusi ni yapo unayozungumzia wewe yanayo tukanwa na hao viongozi wa chama tawala au watendaji wake.Je vyeo huyu Leo waziri mkuu without potifolio huyu kesho mtukanaji wa chama kisa msukuma afae asifae yeye atukane tu
Hakuna uongo katika hilo mfano kizazi chake tu Nyerere kinapata nafasi nyingi na kubwa serikalini, Kwa upande wa kabila lake ni dogo hivyo jamii inayomzunguka ya kurya ndiyo ameipa nafasi ya Vyeo kwenye Mifumo mingi haswa ya ulinzi hiyo yote ni kuonesha ukabila upo na haukuanzia Leo. Jipange ili kuonesha ukabila wa Raisi Samia najua utaangukia kwenye Udini ndiyo chaka lako zaidi.Wewe ni mwongo Nyerere hakuwahi kuwa mkabila,usichokijua Nyerere ni Mzanaki nitajie Wazanaki kumi mashuhuri kwenye vyeo baada ya Nyerere.Wewe kuona Wakurya wengi jeshini unafikiri na Nyerere ni Mkurya hiyo ni danganya toto.Mama Samiah ni mkabila aliyepindukia tena ni mdini mdini.
Mjinga kama fuvu lako.Punguza ujinga
Leta takwimu zako mbona mnakuwa wapumbavu huo ujinga mlikalilishwa na nani, mnazani sehemu za baridi ndio zinazalisha, au kwa vile wakazi wa dar mnatumia mchele kutoka mbeya mnazani na mikoa mingine ni hivyo hivyo, huo ubongo wako nahisi umechanganyika na sperm za mbuzi.Kama takwimu zako zinaonesha kanda ya ziwa wanazalisha chakula kuliko kanda ya nyanda za juu kusini basi geuza takataka izo takwimu zako
Urais mtausikiaMjinga kama fuvu lako.
Sina shida na wasukuma ila kwanini wote wateuliwe kuwa Naibu Waziri mkuu mwenezi sie tumenusa kuna jambo eti nyie wasukuma bila kuwapa vyeo hamutaichagua CCM wanawaigopa hii inaindicate kuwa nyie mutatumia ukabila kutoichagua CCm . hoja yangu ni ya msingi nduguUtakuwa na tatizo na wasukuma wewe. Ina maana wasukuma Wana shida Gani mpaka wabaguliwe kupewa uongozi kwenye inchi hii. ACHA ubaguzi wa kishamba
Sawa mkuu hoja nzuriTabia tuache Katika siasa!!
Ila katika kuoa kuulizia kabila kama mi mmachame au mmeru ni bora zaidi ukajua mapemaaaa [emoji2]
Uu takwimu za sensa wanyakyusa wengi wasafya niwenyeji wa mbeya mjini kiasili indignousKwa Mbeya wanyakusa ni 10% tu hivyo hakuna impact yoyote. Sema wasafwa ndio wengi kwa Mbeya.
Pengine hujui
Usiwe na wasiwasi kabisa na Wasukuma Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!Mwl Nyerere, ila leo kunakitu. Jambo hili la ukabila Mwl alikemea sana; dalili au viashiria vyake, hongera Mwl. Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda mbegu za ukabila. Tunaona kanda ya Wasukuma inaonesha bila wao, CCM itashindwa; viongozi wanahonga vyeo Wasukuma ili waichague CCM, jamani!
Uteuzi wa Biteko Doto, juzi uteuzi wa Makonda kisa ili Wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa Watanzania ni dhana mpya ili kujenga element za ukabila. Tunajifunza, Mwl alichaguliwa na Watanzania akiwa anatokea kwenye kabila dogo sana, Wazanaki; pia Mkapa kwa Wa Makua na Kikwete Wakwele. Hatujawahi taifa hili kuwaogopa Wasukuma.
Ikitokea Watanzania wakajua hili, ukabila uko njiani; kesho Wanyakyusa wataanza nao kuogopwa. Niliombee taifa letu, sisi tayari tumeshaunganishwa, hatuna ukabila.
Ukabila huweza pandikizwa na viongozi kuwa kabila Fulani ni bora au maarufu unasahau wahutu na Watusi ukabila wao ulikuzwa na viongozi wao wa kikabilaUsiwe na wasiwasi kabisa na Wasukuma Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
P
Mchele wa Mbeya unatumika hadi Uganda, Kenya na Pakistan sio Dar tuLeta takwimu zako mbona mnakuwa wapumbavu huo ujinga mlikalilishwa na nani, mnazani sehemu za baridi ndio zinazalisha, au kwa vile wakazi wa dar mnatumia mchele kutoka mbeya mnazani na mikoa mingine ni hivyo hivyo, huo ubongo wako nahisi umechanganyika na sperm za mbuzi.
Nyuma ya pazia, ikulu na viongozi wa juu walijaa watu wa Musoma.Mwl Nyerere, ila leo kunakitu. Jambo hili la ukabila Mwl alikemea sana; dalili au viashiria vyake, hongera Mwl. Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda mbegu za ukabila. Tunaona kanda ya Wasukuma inaonesha bila wao, CCM itashindwa; viongozi wanahonga vyeo Wasukuma ili waichague CCM, jamani!
Uteuzi wa Biteko Doto, juzi uteuzi wa Makonda kisa ili Wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa Watanzania ni dhana mpya ili kujenga element za ukabila. Tunajifunza, Mwl alichaguliwa na Watanzania akiwa anatokea kwenye kabila dogo sana, Wazanaki; pia Mkapa kwa Wa Makua na Kikwete Wakwele. Hatujawahi taifa hili kuwaogopa Wasukuma.
Ikitokea Watanzania wakajua hili, ukabila uko njiani; kesho Wanyakyusa wataanza nao kuogopwa. Niliombee taifa letu, sisi tayari tumeshaunganishwa, hatuna ukabila.
Jeshini wakurya, wasukuma hawajawahi kushika nafasi, wanyakyusa walijaa BIMA, wachaga TRA na HAZINA, wafipa hawajawahi ushika kitu, wahehe usalama wa taifa, ruvuma hawajawahi kushika kitu, wahaya walikuwa na eneo lao nimesahau,Jeshini kulijaa Wasukuma,Wanyakyusa,Wafipa,Wakurya na watu wa Ruvuma,msitunganye.
Venance Mabeyo ni kabila gani?Jeshini wakurya, wasukuma hawajawahi kushika nafasi, wanyakyusa walijaa BIMA, wachaga TRA na HAZINA, wafipa hawajawahi ushika kitu, wahehe usalama wa taifa, ruvuma hawajawahi kushika kitu, wahaya walikuwa na eneo lao nimesahau,
hata makabila mengine haimaanishi hakuna wanajeshi. msijifanye kujitoa ufahamu kwamba hili jambo hamlifahamu. hata hivyo tunajua mwalimu alifanya hivyo sio kwa sababu ya ukabila bali alikuwa anajilinda asipinduliwe watu wa kwao wasingempindua kirahisi. angelikuwa mkabila, angewaingiza wengi TRA na hazina sehemu zilizonona.Venance Mabeyo ni kabila gani?
Nyerere hakuwahi kuwa mkabila hata siku moja na ndiye mwamba Afrika aliyeunganisha nchi inaongea lugha moja ambayo siyo ya Kikoloni au ya Kigeni.Nyerere alikuwa mtu wa ajabu.hata makabila mengine haimaanishi hakuna wanajeshi. msijifanye kujitoa ufahamu kwamba hili jambo hamlifahamu. hata hivyo tunajua mwalimu alifanya hivyo sio kwa sababu ya ukabila bali alikuwa anajilinda asipinduliwe watu wa kwao wasingempindua kirahisi. angelikuwa mkabila, angewaingiza wengi TRA na hazina sehemu zilizonona.
hilo neno usiende kuliongea uchagani. watakushangaa. kwanini aliwachukia wachaga? kwanini wachaga hata wakifaulu walikuwa hawapati nafasi na wakipata watapelekwa sumbawanga au ruvuma? kwani ukabila ni nini? ukabila ni kupendelea kabila lako, au kutofanya kitu kwa kabila fulani kwasababu tu watu hao ni member wa kabila fulani. hata hivyo kuna ukabila mzuri na mbaya. ule wa kurundika watu wa mkoa wako kwenye vyombo vya ulinzi ilikuwa na faida sio ya kutenganisha watu ila kuzuia coup detat, na ile ya kutowapa nafasi za shule wachaga ilitaka wote tuwe level sawa. hata sio vibaya. kuna mangi alikuwa akipata division one na pembeni kuna mfipa kapata division three, atachukuliwa mfipa na mangi ataachwa au atapelekwa mkoa wa mbali kabisa huko. sisemi hii ilikuwa mbaya, ila hatuwezi kuuita sio ukabila. come into your senses.Nyerere hakuwahi kuwa mkabila hata siku moja na ndiye mwamba Afrika aliyeunganisha nchi inaongea lugha moja ambayo siyo ya Kikoloni au ya Kigeni.Nyerere alikuwa mtu wa ajabu.