Mwl Nyerere: Hata mimi walinambia using'atuke nchi bado inakutegemea, nikaja jua kumbe nchi ni familia zao, hawana uhakika na ajira zao nikiondoka

Ndo kinachotokea sasa, hata awamu ya kwanza haijaisha watu washaanza kutangaza ushindi asilimia 100.
Njaa ni mbaya sana aseee
 
Mweeye no za magufuli atuweke hapa mimi nipo tyari kumpigia nimfafanulie huu ujumbe wa Mwalimu nyerere.
 
Ndugai kuna wakati anahisi sijui ataishi milele,yaani kajisahau kabisa! Mambo hubadilika..tena bila wengi kutegemea.
 
Peleka ujumbe huu kwenye vyombo vya habari usambae kwa kila kaya!
 
Peleka ujumbe huu kwenye vyombo vya habari usambae kwa kila kaya!
Wewe utakuwa unipendi aiseeeee, tambua ya kwamba hata kumbukizi za Mwalimu kuna baadhi ya watu miongoni mwetu hawataki kuzisikia na kuziona kabisa katika maisha yao
 
[emoji23]
 
Chuma kimefanya vizuri tunakiongezea muda
We tatizo lako ndio walawale mwl. Nyerere amewalenga kwenye hiyo kotesheni yake hapo mwanzo mwa thread...ila wewe na akina bia yetu wasiwasi wenu ni kwamba waliowapa kazi ya kufanya propaganda (na kuwalipa) huenda utawala ujao wasiwepo sasa mnahofia kibarua chenu hali itakuwaje endapo akija mtawala mpya...so binafsi nawaelewa sana mkuu pambana watoto waende chooni!.
 
Kwa hili ataambiwa anawashwawashwa, habari ya ubaba wa Taifa itawekwa kando!
 
Mh.Rais mwenyewe amesema second term ndo utakuwa ukomo wake.
 
Shida ya viongozi wa siasa ni Matumbo yao na sio kutatua matatizo ya wananchi.Mwalimu aliona mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…