Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1]Ndo kinachotokea sasa, hata awamu ya kwanza haijaisha watu washaanza kutangaza ushindi asilimia 100.
Njaa ni mbaya sana aseee
AiseeeeeFaru Juma yeye ndio analazimisha mabadiliko ya katiba, ili awe Mfalme
Peleka ujumbe huu kwenye vyombo vya habari usambae kwa kila kaya!"Kila nilipokuwa nikitaka kung'atuka walikuwa wakiniambia: 'Mwalimu endelea tu, hii nchi ni changa na umeitoa mbali. Nchi hii haitaendelea bila wewe'. Nami niliiendelea hadi pale nilipokuja kugundua kumbe nchi changa waliyoiongelea ni familia zao, na hazitaendelea bila mimi kuwepo madarakani, maana walikuwa hawana uhakika kama Rais ajaye atawaacha katika nafasi walizokuwa nazo." - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Wewe utakuwa unipendi aiseeeee, tambua ya kwamba hata kumbukizi za Mwalimu kuna baadhi ya watu miongoni mwetu hawataki kuzisikia na kuziona kabisa katika maisha yaoPeleka ujumbe huu kwenye vyombo vya habari usambae kwa kila kaya!
"Kila nilipokuwa nikitaka kung'atuka walikuwa wakiniambia: 'Mwalimu endelea tu, hii nchi ni changa na umeitoa mbali. Nchi hii haitaendelea bila wewe'. Nami niliiendelea hadi pale nilipokuja kugundua kumbe nchi changa waliyoiongelea ni familia zao, na hazitaendelea bila mimi kuwepo madarakani, maana walikuwa hawana uhakika kama Rais ajaye atawaacha katika nafasi walizokuwa nazo." - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
We tatizo lako ndio walawale mwl. Nyerere amewalenga kwenye hiyo kotesheni yake hapo mwanzo mwa thread...ila wewe na akina bia yetu wasiwasi wenu ni kwamba waliowapa kazi ya kufanya propaganda (na kuwalipa) huenda utawala ujao wasiwepo sasa mnahofia kibarua chenu hali itakuwaje endapo akija mtawala mpya...so binafsi nawaelewa sana mkuu pambana watoto waende chooni!.Chuma kimefanya vizuri tunakiongezea muda
Kweli kabisaKwa hili ataambiwa anawashwawashwa, habari ya ubaba wa Taifa itawekwa kando!