The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Nimekuta mahali kipande hiki cha hotuba ya baba wa taifa kwa tafsiri niliyojaaliwa mimi, ni kuwa mwalimu anasisitiza kwamba kwa afya ya bara la Africa ni tusipanbane na watu wa misimamo mikali kwa sababu kupambana nao kutamaanisha wao pia wajibu mashambulizi.
Sasa kama hoja ni hiyo mbona ni kama ccm wamehama sana toka kwenye mtazamo wa mwaasiasi wa hiki chama!?
Kwani kuna ubaya gani kuwaruhusu wanaotofautiana na sisi bila kuwatia misukosuko!?
Mbona wenzetu Kenya wameweza sana kuvumiliana kisiasa!?