Mwl Nyerere: Tunataka kuona Vijana Jasiri, wanaohoji mifumo Kandamizi, Wasiotikia Ndiyo Mzee

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa" Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania.

38e278348e1b740e1f6fd199c6b872b6.jpg
 
Sidhani kama alikua anamaanisha ingekua ivo basi asingekua anapiga biti wote waliojaribu kufanya reasoning dhidi ya utawala wake
 
Hii ni nukuu ya J. K. Nyerere akiwambia watanzania kuwa wanahitajika vijana Jeuri, wenye uwezo wa kuhoji na siyo wanaoitikia kila kitu kama vijana was sasa wa chama tawala maana ni waoga sana na hawawezi kuhoji chochote kazi ni kusifia hata mambo ya kipumbavu. @ Tanzania kuna njaa Rais anasema hakuna na vijana wa ccm nao wanashabikia, utadhani wanaoathilika na njaa ni CHADEMA tu.
Kamanda Lema na Tundu Lisu msiache kuiambia ukweli serikali maana kunahitajika wakosoaji wengi zaidi bili kujali itikadi hongera zako Zito
 
vijana wa aina hiyo ni wachache sana katika taifa letu au ni ngumu kuwapata hapa kwetu kwa kuwa kufanya hivyo kunahitaji uwe unauwezo wa kupata mahitaji yako ya msingi kupitia njia mbalimbali zilizo halali. sasa vijana wetu wengi hasa wasomi ambao ndio wananafasi zaidi katika kujenga hoja kutokana na kukaa darasani uwezo wa kubuni njia mwafaka kwa ajili kupata mahitaji yao ya msingi unawalakini, sehemu kubwa ya vijana wasomi wanategemea kuja kupata nafasi zenye kuleta suluhu katika kupata mahitaji kutoka kwa serikali, unataka wawe majasiri wa kuhoji ili waondokewe na matumaini angalau wakati fulani kuja kupata nafasi ambazo zitawezesha kufaidi vizuri keki ya taifa?.Ujue ukihoji sana unaweza kuwaharibia unaowahoji.
 
Hao tunawaita vijana wasio na maono na wenye uelewa mfu,vijana wanaojipendekeza kwa bwana mkubwa ili wajaze matumbo yao,vijana wavivu wa kufikiri na wavivu wa kujitegemea wa kutafuta mkate wao wa kila siku bila kupangiwa masharti na yeyote,
Kiufupi wamezidiwa hata na ndege wanaojihudumia bila kuwa tegemezi na watumwa kama baadhi ya vijana wa sasa
 
vijana wa aina hiyo ni wachache sana katika taifa letu au ni ngumu kuwapata hapa kwetu kwa kuwa kufanya hivyo kunahitaji uwe unauwezo wa kupata mahitaji yako ya msingi kupitia njia mbalimbali zilizo halali. sasa vijana wetu wengi hasa wasomi ambao ndio wananafasi zaidi katika kujenga hoja kutokana na kukaa darasani uwezo wa kubuni njia mwafaka kwa ajili kupata mahitaji yao ya msingi unawalakini, sehemu kubwa ya vijana wasomi wanategemea kuja kupata nafasi zenye kuleta suluhu katika kupata mahitaji kutoka kwa serikali, unataka wawe majasiri wa kuhoji ili waondokewe na matumaini angalau wakati fulani kuja kupata nafasi ambazo zitawezesha kufaidi vizuri keki ya taifa?.Ujue ukihoji sana unaweza kuwaharibia unaowahoji.
Ni kweli mkuu ila kwa Uoga huu tulionao je? Tutafika?
Mwalimu wangu mmoja alisema kama utashindwa kuwambia ukweli basi nawe utakuwa miongoni mwao
 
Hii ni nukuu ya J. K. Nyerere akiwambia watanzania kuwa wanahitajika vijana Jeuri, wenye uwezo wa kuhoji na siyo wanaoitikia kila kitu kama vijana was sasa wa chama tawala maana ni waoga sana na hawawezi kuhoji chochote kazi ni kusifia hata mambo ya kipumbavu. @ Tanzania kuna njaa Rais anasema hakuna na vijana wa ccm nao wanashabikia, utadhani wanaoathilika na njaa ni CHADEMA tu.
Kamanda Lema na Tundu Lisu msiache kuiambia ukweli serikali maana kunahitajika wakosoaji wengi zaidi bili kujali itikadi hongera zako Zito
Usitegemee vijana wa hivyo katika taifa la vijana wenye njaa na wanafiki kama tanzania
 
Watu wanaogopa hata vivuli vyao.
Juzi Rais anasema mbele ya wataalamu wa sheria kuwa hata wakili anayemtetea mhalifu atawekwa rupango na kufunguliwa kesi. Watu wanapiga makofi hata wasomi tunaowategemea kweli tupo saw a?
 
Kuna watu wanafikiri kuhoji ni sawa Na kutukana! Kutukana sio kuhoji!

Kuhoji kunaendana na hoja!

Sasa wapinzani wao wanatukana wanafikiri ndio wanahoji!
 
Pambana mkuu Uyui bado inasubiri mtu
 
Back
Top Bottom