Mwl Nyerere: Tunataka kuona Vijana Jasiri, wanaohoji mifumo Kandamizi, Wasiotikia Ndiyo Mzee

Kuna mzalendo mmoja jna aliomba ateuliwe kuwa balozi Cuba tena yuko tayari kufanya kazi Bila mshahara.....bure yaani!
So
Huyu kweli mzalendo[emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio wanahitajika watu kama hao na ateuliwe kweli asipewe mshahara wala marupurupu zaidi ya kulishwa, malazi na matibabu ya bure
 
Wapo vijana, wakina Makonda, Jerry Muro, Le Mutuz,Jokate, Musiba, Hapi, Gambo na yule jamaa aliyeanzisha kampeni ya maguful baki ( nimemsahau jina)
 
Zitto Kabwe, Hussein Bashe, Halima Mdee, Mbilinyi aka Sugu, CAG Assadi nk. Pia inategemea umesimama angle ipi kumjua kijana jeuri ambaye anapenda kuiona nchi yake inasonga mbele. Kuna wengine kama kina profesa Kabudi nimewaacha makusudi cause ( according to me ) wana subiri maelekezo ndio wafanye kitu so kwangu hawa sio mashujaa
 
ukitoa CAG , hao wengine wachumia tumbo
 
Mwl.Julius k.nyerere kuhusu vijana wa Tanzania
…...."Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini; si vijana waoga, akina “ndiyo bwana mkubwa". Vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya Kitanzania. Ni kazi bure kwetu, na kwa kweli ni ubatili mtupu, kuwa na Taifa lenye “silaha” za kisasa lakini vijana wake ni waoga."....
Naingiwa na mashaka kama vijana wa Leo tuna sifa hizo
Sifa za vijana wa Leo
-waoga
-Tusiofuatilia mwenendo wa nchi yetu
-wavivu wasiopenda kazi
-walalamikaji pasi na utendaji
-wasio na maamuzi
Mwalimu Nyerere katika umri kama wetu alikua akiwaza namna ya kuutafuta Uhuru wa Tanganyika . Tuamke vijana tuhoji bila woga tunapopaona hapaendi sawa tupambanie maendeleo ya Taifa
Kidemokrasia na kiuchumi tusikubali kukandamizwa wazee hawa waliojaa kwenye maofisi na idara nyeti za serikali ndo wametufikisha hapa
Vijana tubadilike tuamke kwa ajili ya maendeleo yetu na kizazi kinachokuja. Tukumbuke tukikaa kimya leo tutakuna kuulizwa na wajukuu kjpindi tukiwa wazee afu tutajibu nini?. Amkeni tuamke tujenge tanzania yetu.
 
Wazee wako vizuri vijana kina Gwajima wanakula kondoo then wanapiga watu risasi bashite
 
Yawezekana alimaanisha lakini hulka ys utawala ilimzidia maana ata yeye alijua madhara ya Katiba hii aliyotuachia lakini hakutaka kuigusa kwakuwa ilikua inabeba chama chake na yeye mwenyewe.
 
Wakuu naomba kuuliza kidogo tafadhari hivi kipindi Cha awamu ya kwanza mwalimu Nyerere aliweza kuvumilia ukosoaji wa watu ambao walikuwa kinyume na siasa zake ?

Isiwe unahimiza jambo fulani kumbe hata wewe binafsi hukuweza kuyaishi ambayo uliyanena.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wakina mapalala,kasanga tumbo,kambona nk ilikuwaje

Ova
 
Mwalimu Nyerere hakuwavumilia waliomkosoa yeye na utawala wake
 
Maneno tu ya jukwaani,mnaambiwa kosoweni...lakini nyuma ya pazia tofauti
Hakunaga kiongozi au utawala wa kiafrika unaokubali kukosolewaga

Ova
 
Mwl.Julius k.nyerere kuhusu vijana wa Tanzania
…...."Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini; si vijana waoga, akina “ndiyo bwana mkubwa". Vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya Kitanzania. Ni kazi bure kwetu, na kwa kweli ni ubatili mtupu, kuwa na Taifa lenye “silaha” za kisasa lakini vijana wake ni waoga."....
Naingiwa na mashaka kama vijana wa Leo tuna sifa hizo
Sifa za vijana wa Leo
-waoga
-Tusiofuatilia mwenendo wa nchi yetu
-wavivu wasiopenda kazi
-walalamikaji pasi na utendaji
-wasio na maamuzi
Mwalimu Nyerere katika umri kama wetu alikua akiwaza namna ya kuutafuta Uhuru wa Tanganyika . Tuamke vijana tuhoji bila woga tunapopaona hapaendi sawa tupambanie maendeleo ya Taifa
Kidemokrasia na kiuchumi tusikubali kukandamizwa wazee hawa waliojaa kwenye maofisi na idara nyeti za serikali ndo wametufikisha hapa
Vijana tubadilike tuamke kwa ajili ya maendeleo yetu na kizazi kinachokuja. Tukumbuke tukikaa kimya leo tutakuna kuulizwa na wajukuu kjpindi tukiwa wazee afu tutajibu nini?. Amkeni tuamke tujenge tanzania yetu.
Hakika Mwalimu alinena sasa yana timia.
 
Back
Top Bottom