Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa" Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania.
![]()
Jambo la kizalendo unalileta hapa kikike kike. Unaficha nini sa hapa?Shule flani, mwaka flani tuligoma kuimba wimbo wa taifa kwa sababu ya ufisadi wa Richmond. Unforgettable.
Bavicha Wala hamuhoji, hamna hoja zaidi ya kumtukana Rais Na Serikali Na kuichafua nchi kwa wazungu."Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa" Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania.
![]()
Tusi lipi liweke hapaBavicha Wala hamuhoji, hamna hoja zaidi ya kumtukana Rais Na Serikali Na kuichafua nchi kwa wazungu.
Akiamka sasa hivi, atapata mvurugiko na kufa tena bila kuchelewa.Nyerere "Raisi bora atatoka CCM"
subiri uteuzi wako wa utendaji wa kijiji , utatangazwa hivi karibuniNiko hapa nasubiri uteuzi tuu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk