tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
vijana wa aina hiyo ni wachache sana katika taifa letu au ni ngumu kuwapata hapa kwetu kwa kuwa kufanya hivyo kunahitaji uwe unauwezo wa kupata mahitaji yako ya msingi kupitia njia mbalimbali zilizo halali. sasa vijana wetu wengi hasa wasomi ambao ndio wananafasi zaidi katika kujenga hoja kutokana na kukaa darasani uwezo wa kubuni njia mwafaka kwa ajili kupata mahitaji yao ya msingi unawalakini, sehemu kubwa ya vijana wasomi wanategemea kuja kupata nafasi zenye kuleta suluhu katika kupata mahitaji kutoka kwa serikali, unataka wawe majasiri wa kuhoji ili waondokewe na matumaini angalau wakati fulani kuja kupata nafasi ambazo zitawezesha kufaidi vizuri keki ya taifa?.Ujue ukihoji sana unaweza kuwaharibia unaowahoji.Hii ni nukuu ya J. K. Nyerere akiwambia watanzania kuwa wanahitajika vijana Jeuri, wenye uwezo wa kuhoji na siyo wanaoitikia kila kitu kama vijana was sasa wa chama tawala maana ni waoga sana na hawawezi kuhoji chochote kazi ni kusifia hata mambo ya kipumbavu. @ Tanzania kuna njaa Rais anasema hakuna na vijana wa ccm nao wanashabikia, utadhani wanaoathilika na njaa ni CHADEMA tu.
Kamanda Lema na Tundu Lisu msiache kuiambia ukweli serikali maana kunahitajika wakosoaji wengi zaidi bili kujali itikadi hongera zako Zito
Hao tunawaita vijana wasio na maono na wenye uelewa mfu,vijana wanaojipendekeza kwa bwana mkubwa ili wajaze matumbo yao,vijana wavivu wa kufikiri na wavivu wa kujitegemea wa kutafuta mkate wao wa kila siku bila kupangiwa masharti na yeyote,vijana wa aina hiyo ni wachache sana katika taifa letu au ni ngumu kuwapata hapa kwetu kwa kuwa kufanya hivyo kunahitaji uwe unauwezo wa kupata mahitaji yako ya msingi kupitia njia mbalimbali zilizo halali. sasa vijana wetu wengi hasa wasomi ambao ndio wananafasi zaidi katika kujenga hoja kutokana na kukaa darasani uwezo wa kubuni njia mwafaka kwa ajili kupata mahitaji yao ya msingi unawalakini, sehemu kubwa ya vijana wasomi wanategemea kuja kupata nafasi zenye kuleta suluhu katika kupata mahitaji kutoka kwa serikali, unataka wawe majasiri wa kuhoji ili waondokewe na matumaini angalau wakati fulani kuja kupata nafasi ambazo zitawezesha kufaidi vizuri keki ya taifa?.Ujue ukihoji sana unaweza kuwaharibia unaowahoji.
Ni kweli mkuu ila kwa Uoga huu tulionao je? Tutafika?vijana wa aina hiyo ni wachache sana katika taifa letu au ni ngumu kuwapata hapa kwetu kwa kuwa kufanya hivyo kunahitaji uwe unauwezo wa kupata mahitaji yako ya msingi kupitia njia mbalimbali zilizo halali. sasa vijana wetu wengi hasa wasomi ambao ndio wananafasi zaidi katika kujenga hoja kutokana na kukaa darasani uwezo wa kubuni njia mwafaka kwa ajili kupata mahitaji yao ya msingi unawalakini, sehemu kubwa ya vijana wasomi wanategemea kuja kupata nafasi zenye kuleta suluhu katika kupata mahitaji kutoka kwa serikali, unataka wawe majasiri wa kuhoji ili waondokewe na matumaini angalau wakati fulani kuja kupata nafasi ambazo zitawezesha kufaidi vizuri keki ya taifa?.Ujue ukihoji sana unaweza kuwaharibia unaowahoji.
Usitegemee vijana wa hivyo katika taifa la vijana wenye njaa na wanafiki kama tanzaniaHii ni nukuu ya J. K. Nyerere akiwambia watanzania kuwa wanahitajika vijana Jeuri, wenye uwezo wa kuhoji na siyo wanaoitikia kila kitu kama vijana was sasa wa chama tawala maana ni waoga sana na hawawezi kuhoji chochote kazi ni kusifia hata mambo ya kipumbavu. @ Tanzania kuna njaa Rais anasema hakuna na vijana wa ccm nao wanashabikia, utadhani wanaoathilika na njaa ni CHADEMA tu.
Kamanda Lema na Tundu Lisu msiache kuiambia ukweli serikali maana kunahitajika wakosoaji wengi zaidi bili kujali itikadi hongera zako Zito
If you can't tell them the truth, then you are one of them !!!Ni kweli mkuu ila kwa Uoga huu tulionao je? Tutafika?
Mwalimu wangu mmoja alisema kama utashindwa kuwambia ukweli basi nawe utakuwa miongoni mwao
Wengi wameona ukiwatukana viongozi wa upinzani unapewa wilaya ndio maana unaona wanajitoa ufahamu km hawakuzaliwa wamejizaa wana matusi hatari hao Uvccm njaa kariKweli kabisa maana watu hawajishughulishi na mambo ua nchi Bali kusifia viongozi tu
Pambana mkuu Uyui bado inasubiri mtuKuna watu wanafikiri kuhoji ni sawa Na kutukana! Kutukana sio kuhoji!
Kuhoji kunaendana na hoja!
Sasa wapinzani wao wanatukana wanafikiri ndio wanahoji!