ndio wanahitajika watu kama hao na ateuliwe kweli asipewe mshahara wala marupurupu zaidi ya kulishwa, malazi na matibabu ya bureKuna mzalendo mmoja jna aliomba ateuliwe kuwa balozi Cuba tena yuko tayari kufanya kazi Bila mshahara.....bure yaani!
So
Huyu kweli mzalendo[emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala asitumie v8 awe mkomonist haswaandio wanahitajika watu kama hao na ateuliwe kweli asipewe mshahara wala marupurupu zaidi ya kulishwa, malazi na matibabu ya bure
ukitoa CAG , hao wengine wachumia tumboZitto Kabwe, Hussein Bashe, Halima Mdee, Mbilinyi aka Sugu, CAG Assadi nk. Pia inategemea umesimama angle ipi kumjua kijana jeuri ambaye anapenda kuiona nchi yake inasonga mbele. Kuna wengine kama kina profesa Kabudi nimewaacha makusudi cause ( according to me ) wana subiri maelekezo ndio wafanye kitu so kwangu hawa sio mashujaa
Inategemea na angle uliokaa kuliona hilo mkuuukitoa CAG , hao wengine wachumia tumbo
Hivi wakina mapalala,kasanga tumbo,kambona nk ilikuwajeWakuu naomba kuuliza kidogo tafadhari hivi kipindi Cha awamu ya kwanza mwalimu Nyerere aliweza kuvumilia ukosoaji wa watu ambao walikuwa kinyume na siasa zake ?
Isiwe unahimiza jambo fulani kumbe hata wewe binafsi hukuweza kuyaishi ambayo uliyanena.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakika Mwalimu alinena sasa yana timia.Mwl.Julius k.nyerere kuhusu vijana wa Tanzania
…...."Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini; si vijana waoga, akina “ndiyo bwana mkubwa". Vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya Kitanzania. Ni kazi bure kwetu, na kwa kweli ni ubatili mtupu, kuwa na Taifa lenye “silaha” za kisasa lakini vijana wake ni waoga."....
Naingiwa na mashaka kama vijana wa Leo tuna sifa hizo
Sifa za vijana wa Leo
-waoga
-Tusiofuatilia mwenendo wa nchi yetu
-wavivu wasiopenda kazi
-walalamikaji pasi na utendaji
-wasio na maamuzi
Mwalimu Nyerere katika umri kama wetu alikua akiwaza namna ya kuutafuta Uhuru wa Tanganyika . Tuamke vijana tuhoji bila woga tunapopaona hapaendi sawa tupambanie maendeleo ya Taifa
Kidemokrasia na kiuchumi tusikubali kukandamizwa wazee hawa waliojaa kwenye maofisi na idara nyeti za serikali ndo wametufikisha hapa
Vijana tubadilike tuamke kwa ajili ya maendeleo yetu na kizazi kinachokuja. Tukumbuke tukikaa kimya leo tutakuna kuulizwa na wajukuu kjpindi tukiwa wazee afu tutajibu nini?. Amkeni tuamke tujenge tanzania yetu.