Mwonekano mzuri huvutia kuanzisha Mahusiano, Utu au Tabia nzuri ndio hudumisha mahusiano

Mwonekano mzuri huvutia kuanzisha Mahusiano, Utu au Tabia nzuri ndio hudumisha mahusiano

Blue G upo wewe?

Upo sahihi kiasi kikubwa kwamba mwonekano mzuri huvutia kuanzisha mahusiano, hii hu apply sana kwa watu ambao hukutana kwa mara ya kwanza/total strangers...

Lakini ili uendelee kuwa na watu/mtu ni lazima kuwe na 'chemistry' (sijui kiswahili fasaha), kuna watu sisi wengine tunaweza ona wana tabia mbaya lakini wao vile wanaendana wako fresh tu (mathalani Amber Rutty na yule mshikaji wake vile sisi raia tunawachukulia ni tofauti na wao wanavyojichukulia)...
 
Nipo kiongozi Watu8

asante kwa mchango wako mujarabu

nimefurahishwa sana na mfano wako umenifanya nicheke kwa sauti,inawezekana giggy na mshkaji wake kwa macho ya jamii wanaonekana watu Fulani wasioeleweka ,lakini inawezekana kila mmoja ana sifa na tabia ambazo zinayadumisha mahusiano yao,labda kila mmoja au mmojawapo ana elements za kujali sana,kutunza,kujitoa kwa mwenzake,mambo ambayo walio nje hawawezi kuona ila walio ndani wanajuana.

kuhusu ya chemistry ya watu kwenye mahusiano ipo sana na pengine naweza sema inahusiana na tabia za watu walio kwenye mahusiano,tuseme chemistry yao inakuwa inamatch vilivyo na kuwafanya wadumu kwa sababu tabia zao ni kama zipo kwa ajili ya wao kukamilishana,yaani kama mtu Fulani anakuwa nusu ya mtu mwingine Katika maana ya kwamba nusu hii na nusu ile ukiziweka pamoja zinaleta kitu kizima kilichokamilika sijui kama naeleweka na sijui kama nimo kwenye mstari ule ule wa chemistry au tayari nishatoka,

kwa nini nasema hivyo?

kwa sababu japo sijui sana kuhusu hiyo chemistry thing,najaribu tu kuwaza tuseme watu wana chemistry lakini probably mmoja wao au wote wawili wana tabia ambazo sio zenye afya kwa mahusiano labda cheating,not caring,not compassionate,katili n.k bado uhusiano wa namna hii unaweza ukadumu tu in the name of chemistry?(of which naisikia sana lakini kuielezea hasa ni nini siwezi na sijui)
 
huwa unampa na hela? ili tujue kama huwa anakuomba kwa sbabau ya ubora wa kazi yake au ili umpe dau zuri

madem karibia wote ni wauzaji mkuu, kupata ku

ma bila kumpa pesa ni ngumu mno, wacha nimsomeshe 'mileage'
 
Kizazi cha sasa kinaangalia muonekano tu tabia zikiwa mbofu mbofu tutajua huko mbele mbele.
 
Hehehehe huzijui stress ya kugongewa wewe tena yule dem pisi kinyama unaemkubali toka katika sakafu ya moyo! Tunaoa wakawaida kimkakati ili hata haya yakijitokeza ni rahisi to let go!
Ah wacha wee
Kumbe huwa mnaogopa kuumizwa,nikajua wa kulialia ni kina dada tu kumbe ngoma dro🤣🤣🤣
 
madem karibia wote ni wauzaji mkuu, kupata ku

ma bila kumpa pesa ni ngumu mno, wacha nimsomeshe 'mileage'
unaposema wacha umsomeshe mileage unamaanisha unamkomomoa kiongozi au?
 
Habarini Wana MMU,

Nimekuwa nikijaribu kufikiria hii kauli ya "mke sio sura bali tabia" na matumizi yake,wengi hasa vijana wa siku hizi wanaichukulia kauli hii kama kauli iliyopitwa na wakati hasa kwa kuwa vijana wengi siku hizi ni wazee wa pisi kali wakiamini kuwa na pisi kali au smart handsome guys katika mahusiano,kutawafanya wawe na furaha,hamasa na kufarijika sikuzote za mahusiano yao just kwa kuangalia tu na kufurahisha macho kwa uumbaji makini wa muumba.

Binafsi nina maoni tofauti kidogo, nadhani mwonekano mzuri una nafsi ndogo sana kwenye mahusiano(unless otherwise uwe unaolea au unaolewa for macho ya watu au sifa kutoka kwa watu jamaa ana mke mzuri au Fulani ana mume mzuri sana) nafasi ya mwonekano hasa ni pale ambapo mtu huamua kuingia kwenye mahusiano,mwonekano humvuta kisha kazi ya mwonekano huishia hapo, kinachofuatia hapo ni utu au tabia ya mtu ambayo ndiyo ina nafasi kubwa sana ya kuamua mstakabali wa mahusiano yoyote yale, eiza yawe mazuri,mabaya,matamu,machungu,yadumu au yaishie njiani.

naomba nieleweke vizuri hapa simaanishi watu wasijali kuhusu mwonekano wapendwa lakini ebu karibuni tujadili kwa pamoja wengine mna maoni gani juu ya mwonekano? Nini nafasi ya mwonekano katika mahusiano? Inawezekana mwonekano pekee ukatosha kudumisha mahusiano? Kuna mtu amewahi kushuhudia mahusiano au ndoa ambayo imedumu kwa ajili ya mwonekano wa wahusika au mhusika mmojawapo?

Karibuni tujadili kwa pamoja
naunga mkono. Maana sisi wanaume wengi ukishachapa mtu wiki na mwezi tu unaona mvuto wa mamdenyi unapotea kabisa. Kitakachoendelea kudumisha mapenzi ni tabia zake njema za kuvutia.
 
sure kiongozi ni kama tunajisahau sana kukubali kuwa mwonekano una sehemu ndogo sana katika kuyafanya mahusiano yadumu,tunaupa mwonekano kipaumbele sana kiasi tunasahau kabisa kuwa kuna mengi yatahitajika huko mbeleni Zaidi ya mwonekano
Hii kwangu ina apply sana maana najijua. Hata nipewe mwanamke malaika na umbo zuri kiasi gani nikishambabua wiki moja tu naanza kumwona wa kawaida.
 
Kizazi cha sasa kinaangalia muonekano tu tabia zikiwa mbofu mbofu tutajua huko mbele mbele.
na ndio maana ndoa na mahusiano ya sasa kudumu ni changamoto kwa sababu tunafocus na mambo ambayo siyo ya msingi na wala hayana mchango wowote ule katika kuyadumisha mahusiano yetu,Mungu tu atusaidie maanake ni kazi kweli kweli
 
naunga mkono. Maana sisi wanaume wengi ukishachapa mtu wiki na mwezi tu unaona mvuto wa mamdenyi unapotea kabisa. Kitakachoendelea kudumisha mapenzi ni tabia zake njema za kuvutia.
Amina mkuu pamoja sana katika hili
 
Back
Top Bottom