mwoneni huyu jamaa,anahitaji ushauri

anahitaji ushauri gani fafanua kwa kujichubua au kuweka dawa????
 
Take us briefly, to the point. Anahitaji ushauri gani???? Jali time and material resources!!! Yaani tuanze kubuni aina ya ushauri!!!!???
i mean vipodozi hiyo sura huoni bro?
 
Hakuna shida ya kumpa ushauri huyu, ndiyo burdani yani kwani ana matatizo yanayomkuta? jamani tusiingilie maisha ya watu.
 
Jamani kama shida yake ni kuitwa mzuri afanyaje....! na ukimchunguza kwa undani zaidi utakuta ni shoga huyo mwanaume rijali na mwenye akili timamu hawezi kufanya ujinga wa namna hiyo.

Binafsi simwone huruma hata kidogo! #@~x@#x@#*^x! wahedi kabisa
 
some pipo bwana! mnataka watu waishi kama mnavyotaka nyie? kila mtu na maisha yake jamani.
 
i mean vipodozi hiyo sura huoni bro?


Mkuu babu kijana, umenifungua macho!!!! Kwani kujipamba ni vibaya?? Mbona Mike J naye alikuwa anajipamba, mpaka wanja na lipstick??? Kwa hiyo unataka kuniambia yuko sokoni??? Wape wadau contact zake!!!!
 
hivi huyu si yule mtaalam wa filamu kweli kwa nini asitafutwe aambiwe hatima na madhara ya utumiaji wa hivi vipodozi?
 
nafikiri apewe bwana immidiately.
 
Ushauri gani tena. Kama mahakamani yeye mwenyewe hakuwa anakwenda hadi kesi yake ya kupasuliwa kioo na Wema ikafutwa
 
Mkuu babu kijana, umenifungua macho!!!! Kwani kujipamba ni vibaya?? Mbona Mike J naye alikuwa anajipamba, mpaka wanja na lipstick??? Kwa hiyo unataka kuniambia yuko sokoni??? Wape wadau contact zake!!!!
mkuu hata mimi natafuta namba zake maana hii ngoma siyo siri iko sokoni,nataka niipe mwaliko inifuate huku.
 
Mijitu mingine bana......kosa lake ni nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…