babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i mean vipodozi hiyo sura huoni bro?Take us briefly, to the point. Anahitaji ushauri gani???? Jali time and material resources!!! Yaani tuanze kubuni aina ya ushauri!!!!???
i mean vipodozi hiyo sura huoni bro?
mmh!!!!yale yale ya ze usweet!!!!!kaka wa watu kajipendezea jamani acheni kumtafuta ubaya.....amenyoa safi, nywele imetulia, pimples taken care of sasa wewe unaemnanga unataka awe vipi?
mkuu hata mimi natafuta namba zake maana hii ngoma siyo siri iko sokoni,nataka niipe mwaliko inifuate huku.Mkuu babu kijana, umenifungua macho!!!! Kwani kujipamba ni vibaya?? Mbona Mike J naye alikuwa anajipamba, mpaka wanja na lipstick??? Kwa hiyo unataka kuniambia yuko sokoni??? Wape wadau contact zake!!!!
Kwa nini mmeweka picha ya Yo Yo bila ridhaa yake? Ngoja nimtafute Farida awape ban....
Mijitu mingine bana......kosa lake ni nini hapo?
Mie sio public figure kihivyo kama alivyo jamaa.....mie undergroundYo Yo...hujafanya kosa lolote....watu wamekuzimia tu. Wape namba....